taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TRA ni taasisi ya kukosa network kweli?

    Nimekuwa nafuatilia masuala yangu TRA (sisemi ni wapi) hapa Dar. Wakati wahudumu wakiendelea na huduma unasikia wanasema subiri network irudi. Hapo majukumu inabidi yasimame hadi network ikae tena sawa. Ikifika hapo baadhi ya wateja huamua muahirisha kilichowapeleka pale. Hili nimekumbana nalo...
  2. JamiiForums Tanzania Ndoa ndiyo taasisi hatari kuundwa duniani kwa lengo kutesa maisha ya binadamu

    Ni hivi, hakuna msomaji yoyote yule wa uzi huu ndani ya JF aliyepata furaha ya maisha kutokana ya yeye kuoa au kuolewa na hii inatokana na ukweli kwamba lengo lililojificha la ndoa ni kufarakanisha watu na sio kuunganisha watu kama watu wengi walivyoaminishwa. Baada ya kifo kitu kingine...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tabia za Mabosi waliopo kwenye Taasisi zenye njaa

    Kuna tabia mbalimbali wanakuwa nazo mabosi (hasa watendaji wakuu) wa taasisi za Serikali kama vile mabaraza, bodi, tume na baadhi ya Wizara . Taasisi hizi nyingi hazijiwezi hata kujiendesha vizuri. Watendaji wakuu/mabosi wa taasisi hizi wengi huwa na tabia zifuatazo; 1. Roho mbaya 2. Kila...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Huko Duniani Rais anapimwa hivi na taasisi zao

    Africa tuna safari ndefu sana mithili ya safari ya kwenda Mars. Ni hivi huko duniani kuwa Rais wa Taifa sio lelemama yani baba unapimwa uwezo wako yani utapigwa maswali wewe na wazee waliopiga kitabu wakatoka moshi kichwani. Yani utafuwatiliwa maisha yako je unasoma vitabu? Unaijuwa nchi yako...
  5. JamiiForums Tanzania Ulawiti watoto: Ipo shida kubwa kwenye Taasisi ya Kanisa Katoliki

    Kumekuwa na kesi na tuhuma nyingi juu ya watoto kulawitiwa n viongozi wa Kanisa Katoliki. Kwenye habari hii, Papa Benedict yaripotiwa 'alilipotezea' suala la baadhi ya Viongozi kulawiti watoto. Nikitafakari haya mambo, nadhani kuna Tatizo kubwa kwenye Taasisi hii ya Katoliki. Angalizo...
  6. JamiiForums Tanzania Tupeni ushuhuda kwa mliowahi kukopo kwenye taasisi za kifedha zinazofuata utaratibu wa Sharia za Kiislam. Utaratibu upoje

    Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k. Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo kulipa,(wa muda mrefu na mfupi) Mfano nahitaji gari lenye thamani ya 15, talipataje na talipa jumla...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kama haumpendi Rais aliyeko, penda nchi yako

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema urais sio mtu ni taasisi lakini kikatiba kunakuwa na mtu pale juu. Amewaambia Mawaziri kuwa kama hawampendi Rais aliyepo basi wapende nchi yao Amesema hata kama haumpendi Rais Samia isiwe kigezo cha kupuuza mambo yote ambayo serikali inafanya. Ameruhusu watu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nawaamini CHADEMA individuals kuliko kama taasisi

    Nikiwaangalia na kuwasikiliza wanachadema mmoja mmoja kama Peter Msigwa, God bless Lema, Sugu Lissu, na vijana wengi wa chama hiki hakika ni wazuri katika kujenga hoja ukitafuta wanaccm waje kushindana na chadema kwenye mdahalo CCM watapoteza asubuhi saana Lakini kwenye ubora wa taasisi CCM...
  9. JamiiForums Tanzania Bunge lisiwe Taasisi ya CCM

    Kwanza nimpe pole Speaker mstaafu kwa yaliyompata. Na hili liwe funzo kwetu kuwa unapokuwa na madaraka usiumize upande mmoja huwezi kujua kesho itakuwaje. Kuna observation nimeipata kutokana na sakata la Ndugai. 1. Kwanza, inaonekana Bunge ni tasisi ya CCM ndio maana hata speaker kwenye barua...
  10. JamiiForums Tanzania Taasisi ya URAIS inadharaulika sana awamu hii ya sita

    Tukifuata itifaki ni kwamba pale unapomu address kiongozi mkuu wa nchi basi ni vyema kutanguliza maneno mfano “ Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan” baada ya hapo inafuatiwa risala. Ama unapotoa risala ikakulazimu kumtaja Rais wa nchi basi ni vyema kuzingatia itifaki ya utambulisho kwa kum...
  11. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Wahuni hawatashinda, CCM ni taasisi kubwa inayoweza kupambana na wahuni.

    Kitu kimoja nina hakika ni kwamba wahuni hawatashinda lakini kitu kimoja nina imani kubwa sana ni kwamba ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee ndio kina uwezo wa kitaasisi na kidhamira wa kukabiliana na wahuni. Kazi ni kwetu wana CCM. #ujamaaniimani #kaziinaendelea #kataawahuni...
  12. JamiiForums Tanzania Taasisi zinazoongoza kwa Rushwa ndiyo Walinzi wa Haki

    Kwa mujibu wa katiba yetu hii yenye mapungufu mengi, wasimamizi wakuu wa sheiia ni Polisi, na chombo cha kutafsiri sheria hizo ni Mahakama. Sheria ndiyo inayoonesha haki yako na isiyo yako. Kwa hiyo taasisi hizi mbili, Polisi na Mahakama ndiyo wasimamizi wa haki. Na hiyo ipo Duniani Kote...
  13. JamiiForums Tanzania Unahitaji Kuchangia Taasisi ? FAHAMU HAKI ZAKO/TARATIBU WEWE KAMA MCHANGIAJI (Philanthropist/Donor)

    Katika masuala ya Harambee (fundraising), Tanzania bado hatujaweza kuwa na chombo maalum ambacho kinapaswa kutoa utaratibu pia muongozo katika suala zima la Harambee. Kutokuwa na chombo hiki kwa Tanzania haimaanishi kwamba, Harambee inapaswa kufanywa pasina kufuata taratibu, la hasha. Kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole aomba ukumbi wa LHRC afanye mkutano na waandishi wa habari Desemba 11

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa, Humphrey na kundi lake la mwendazake walikuwa na mkakati maalum wa kuua mashirika yanayopigania haki za binadamu, walifikia hata kufunga akaunti zao, kesho kaomba ukumbi afanye mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu...
  15. JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako: Serikali haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu

    Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya wanataaluma pamoja na taaluma katika taasisi hizo. Kauli hiyo imetolewa Desemba 07, 2021 Jijini Dare es Salaam na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof...
  16. JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Kiwanja kipo eneo la Nzuguni centre kabisa kwa wasiokufahamu ni Karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na soko kuu la ndugai . Kiwanja ni kwa ajili ya matumizi ya taasisi za kidini, shule na matumizi mengine. Kiwanja kina hati kabisa na hakidaiwi ukubwa ni HECTARES 3.1 kama inavoonekana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wito wa serikali kuzitaka Taasisi za fedha kushusha viwango vya riba upewe mkazo

    Salam ndugu wana JF! Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi. Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
  18. JamiiForums Tanzania BoT - Mkutano wa 20 wa Taasisi za fedha Tanzania 25th & 26th November 2021

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Tupate muelekeo wa uchumi toka kwa Govana, Wizara na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA siyo taasisi, Mwenyekiti yupo ndani kila kitu kimesimama

    Mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk. Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CHADEMA ikiwepo. Inaonekana...
  20. JamiiForums Tanzania BAKITA ivunjwe iundwe taasisi nyingine ya kushughulikia lugha na utamaduni wa Kiswahili

    BAKITA LIVUNJWE IUNDWE TAASISI NYINGINE YA KUSHUGHULIKIA LUGHA NA UTAMADUNI WA KISWAHILI. Baraza la kiswahili Tanzania liliundwa kwa sheria ya bunge tangu mwaka 67 likiwa Na majukumu mbalimbali ya kushughulikia kiswahili. Baraza hili limepitia mafanikio kadha wakadha katika utekelezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…