taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Natafuta nafasi ya kazi maabara, au Taasisi za afya, mifugo na tafiti

    Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa. Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti. Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
  2. P

    Ubora wa chuo Cha taasisi ya elimu ya watu wazima IAE

    Ninaomba msaada juu ya ubora wa chuo Cha taasisi ya elimu ya watu wazima-IAE cha DSM
  3. SoC01 Huduma mbovu katika Taasisi na mashirika ya Umma, ushauri na mapendekezo ya namna ya kuboresha

    Utangulizi. Kumekua na malalamiko mengi pamoja na changamoto katika huduma ambazo zinatolewa kwe Taasisi na Mashirika ya serikali kama vile elimu duni katika shule za umma, matibabu duni na ukosefu wa vifaa katika hospitali za umma, taasisi za fedha, mifuko ya hifadhi za jamii,vyombo vya...
  4. Serikali kuanzisha utaratibu wa kuzisajili taasisi za dini kila baada ya miaka 5 una lengo la kuwaziba midomo viongozi hao wa dini

    Kila mwananchi ameona utaratibu mpya ambao umeanzishwa na serikali hii ya awamu ya 6 ya kuanza kuzifanyia "monitoring" taasisi zote za dini na kuzisajili upya kila baada ya miaka 5. Huu ni utaratibu mpya kabisa, ambao haujawahi kuwepo tokea nchi yetu ipate uhuru wake, miaka 60 iliyopita. Ni...
  5. Mawakili wa Mbowe wafungua kesi kuhusu Taasisi moja Kubwa nchini kuingilia Uhuru wa Mahakama

    Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu, ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao kutokana na ukubwa wa Taasisi iliyofanya hivyo. Wanaomba jambo lililofanywa na Taasisi hiyo kubwa likapate...
  6. K

    SoC01 Malezi bora kwa watoto ndani ya familia na taasisi za kielimu ni msingi bora katika kuwajenga vijana wenye maadili ,wachapakazi na waaminifu

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wengi wetu ni mashuhuda wa kushuka kwa maadili miongoni mwa vijana na watoto wa sasa .Vijana wengi wamekosa nidhamu si kutowaheshimu wakubwa bali hata nidhamu ya kazi imepungua sana kwenye jamii zetu. Watu wengi wamependekeza bodaboda kama...
  7. Simu za maofisini (land line) hazifanyi kazi kwenye ofisi za Serikali na Mashirika ya Umma na Taasisi zake Tanzania

    Ninaandika mada hii kwa masikitiko makubwa sana,ofisi za umma,mashirika ya umma na taasisi zake tanzania hazitumia simu za land line ili kuwahudumia wananchi. Matokeo yake viongozi,watendaji wa serikali wanatembea na ofisi zao mifukoni mwao. Wawekezaji wanatafuta simu za maofisi wakiwa nje...
  8. Aina ya uongozi wa Rais Samia unafaa kwenye nchi au taifa lenye taasisi imara na huru lililojengwa katika msingi imara wa Kikatiba

    [A.] Mahojiano ya BBC na Rais wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu Hassan yanatafakarisha sana... Mimi sifanyi tathmini ya aidha amejibu maswali vibaya au vizuri. Ninchotaka kusema ni kuwa, yamefunua vitu vipya incase kama mtu haja - notice. Nitaeleza; 1. Huyu mama kuna kila dalili kuwa she's a...
  9. Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

    Habari wakuu!! Huu ni ushauri kwa watu wote waliopo kwenye ajira sehemu mbali mbali serikalini au makampuni binafsi n.k, Haiijarishi wewe ni polisi, mwanajeshi, Mwalimu, daktari, mhasibu, sekretari, mwandishi wa habari, kiongozi wa kisiasa, Modetator JF n.k hata kama unalipwa elfu moja kwa...
  10. Kwanini taasisi kama TRA, NSSF, TPA na zinginezo zisiwe na timu za mpira wa miguu?

    Ukiangalia kwa makini kwenye huu ukanda wetu wa Afrika Mashariki na KATI na hata Afrika kwa ujumla wake, soka linaendeshwa sana sana na Taasisi za Serikali, watu binafsi wenye hela na makampuni maana ndo waajiri ambao wana uhakika wa kulipa mishahara na kuhudumia timu kwa uhakika.. ZAMBIA na...
  11. Waliosema CHADEMA ni taasisi wala sio mtu walikuwa na maana gani?

    Habari zenu ndugu zangu. Watanzania wenzangu ni wiki ya pili sasa toka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwe, chama kimekuwa hakina muelekeo. Kila mmoja ndani ya chama anatafuta njia ya kunufaika kupitia mgongo wa kesi ya Mbowe. Wapo wanaotaka kutumia ujinga wa wanachama wao kupiga...
  12. Ziara ya Tony Blair Tanzania: Tunaweza kufaidikaje na Taasisi yake The Tony Blair Institute for Global Change?

    Rais Samia wa Tanzania akiagana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, Ikulu ya Tanzania leo Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, amemtembelea Rais Samia wa Tanzania leo. Wameongea mengi na tamko la ikulu tayari limetoka. Blair kwa sasa ni kiongozi wa The Tony Blair...
  13. Ili mtu au taasisi iweze kuomba donation kwa Tanzania inatakiwa kuwa na sifa zipi?

    Habri wakuu. Kwa wenzetu mtu amaweza kuanzisha kitu na akahitaji donation kwa wale walioguswa kuchangia. Kama vile wana CHADEMA walivyochangia kupata pesa ya faini. Au kama tulivyomchangia Tundu Lissu alipopatwa na yale majanga. Au watu wanapoamua kuichangia yanga. Lakini nafikiri michango yote...
  14. IMF na Benki ya Dunia ni taasisi kubwa ambazo hujidhihirisha na watu wanoteuliwa kuwakilisha nchi katika masuala ya fedha

    Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha. Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani. Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
  15. Serikali ya Tanzania lazima iwatambue Watanzania wanaopokea fedha kutoka taasisi ya NED ya Marekani kuchagiza harakati za kisiasa

    Taasisi ya NED au National Endowment for Democracy ni taasisi ya kimarekani. Taasisi hii iliundwa kushughulikia harakati za kisiasa duniani baada ya shughuli hizo kuondolewa ndani ya idara ya ujasusi ya CIA. CIA imekuwa ikishughulikia harakati za kisiasa zenye malengo ya kuleta vurugu, au...
  16. Taasisi ya Elimu yakanusha taarifa zilizoenea kuhusu sababu za kuahirishwa kwa somo la Historia ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, Taasisi ya Elimu Tanzania TET yaibuka na kukanusha habari zilizoenea kuwa waliahirisha somo la historia ya kiswahili kwa sababu vitabu vilivyoandaliwa kwa somo hili vilijikita kusifia watawala. Soma: Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli...
  17. J

    CHADEMA yaanza kujipenyeza kwenye Taasisi, yapiga hodi CCT

    Naona CHADEMA wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye Taasisi mbalimbali za kijamii Nadhani sasa hata Vyuo Vikuu siasa itarejea kwa kasi. Hongereni CCT kwa uchaguzi wa Haki na Amani. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  18. F

    Taasisi za dini hasa za Kikristo zipo kibiashara zaidi

    Imani ni jambo ambalo hupaswi kuigiza au kuingiza siasa ndani yake. Zaidi ni ukweli wa kiimani unajengwa ndani ya roho kwakuamini bila kuwekwa ushahidi wa dhahiri juu ya Hilo. Ukienda kanisani siku ya Jumapili, utakutana na msululu wa michango kwa mwanajumuiya na harambee ambazo wengine...
  19. TEC na Taasisi nyingine mnalialia kuwa mnasaidia elimu bora kumbe ndio mnasujudu umaskini

    Wana JF, Nimeona sehemu wakuu wa vitengo kidini wakijitetea kupunguziwa kodi wakijinasibu kuwa wanasaidia sana kwenye sekta ya elimu, kumbe ndio wanyonyaji wakubwa. Kwa sasa shule za Romani na KKKT ni ghali mno. Kuna shule zilianzishwa kama za kusomesha watoto yatima lakini zimekuwa...
  20. Rais Samia: Taasisi za Dini zinazotoa huduma ya Afya na Elimu baadhi zinatozwa kodi kwa sababu zinafanya biashara

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali inazitoza kodi taasisi za dini zinazotoa huduma za afya na elimu kwa sababu baadhi zinafanya biashara na si kutoa huduma. Rais Samia ameeleza hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 wakatia akifungua mkutano mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…