taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Tunaishi Katika Zama Ambazo Ulinzi wa Kidigitali ni Hitaji Muhimu Sana kwa Kila Taasisi

    Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la matumizi ya simu janja, mitandao ya kijamii na biashara ya mtandaoni. Kupitia njia hizi na nyinginezo, sote tunaweka taarifa zetu binafsi kwenye mtandao zaidi na zaidi. Kila siku mamilioni ya watu huwasha kompyuta na vifaa vyao vya kidigitali...
  2. Nchi ilipo sasa: Mwanajeshi anakuwa Traffic Police, Taasisi zinajipangia faini zao bila utaratibu

    Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi? Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua...
  3. K

    Sekretarieti ya Ajira/serikali itupe ufafanuzi kuhusu hili la ukosefu wa ajira katika taasisi za serikali

    Neno ukosefu wa ajira ni hali ya mtu yeyote ambaye anaweza kufanya kazi, lakini hana kazi. Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya matatizo ya duniani hivi sasa. Ukosefu wa ajira unaonyeshwa kama asilimia ya jumla ya nguvu kazi inayopatikana ambayo haina ajira, lakini inatafuta kazi kikamilifu na ipo...
  4. Britam imeuza 6.7% ya hisa inayomiliki ya Equity bank kwa IFC ambayo ni taasisi ya World Bank na kupokea ksh 13 billion.

    Ukiona World Bank wananunua hisa za Equity bank ujuwe kwamba wao wameona Equity bank ina future nzuri. Britam insurance ilinunua shares za Equity zamani sana wakati bado Equity ilikuwa kampuni ndogo. Britam imeuza 6.7% ya shares ya Equity kwa IFC ambayo ni taasisi ya World Bank na kulipwa ksh 13...
  5. Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki

    Habari wakuu. Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki kwa ajili ya bodaboda. Nahitaji kujua zile ambazo zina masharti nafuu pasipo dhamana ambazo vijana wengi wamekua wakikosa lakini pia zisizo na mlolongo mrefu sana wa kupata hizo pikipiki. Ukinijulisha mahali ofisi...
  6. B

    Hizi plate no. ni za taasisi gani? Kikosi cha kupambana na Madawa ya kulevya hutumia namba gani?

    Wajuzi,Hizi plate no. Ni za taasisi gani? Madawa ya kulevya hutumia namba gani? Nimejiuliza sana kitambo sijapata majibu "SJK" na "SMT" ZINA KIBAO CHEUSI NA BENDERA YA TANZANIA
  7. Mabosi hutumia akaunti za benki za watu binafsi, wazabuni na wakandarasi kuchota pesa za Serikali. Serikali imulike taasisi ambazo CAG hana ubavu nazo

    Habari! Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct. Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva. Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
  8. Maoni ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu Katiba mpya yawe chachu kwa Taasisi nyingine

    Sote hivi karibuni tumeshuhudia msajili wa vyama vya siasa, Jaji Mutungi, kwa kupitia Kamati yake iliyoiunda, akiwakilisha maoni ya taasisi anayoiongoza, kuhusiana na katiba mpya. Nasema ni maoni ya taasisi yake, kwa sababu sote tunajua kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, siyo taasisi...
  9. B

    Kwanini Mawaziri wengi awamu ya Tano na sita wanapoingia ofisini uanza kuwachongea wakuu wa taasisi waliowakuta waondolewe?

    Akiteuliwa Waziri wa Mambo ya ndani lazima apambane na wakuu wa idara aliowakutwa,akiuliwa Waziri wa ardhi naye Kila anayemkuta ofisni Hana sifa, akiteuliwa Waziri wa sheria naye ana watu wake, kilimo Kila sehemu anataka yeye atawale nk Je, wanapata wapi nguvu yakufika ofisini na kuanza...
  10. Je, Tanzania ipo tayari kuwa Mwenyeji wa Taasisi ya Fedha Ya Afrika Mashariki (EAMI)?

    Ndugu WanaJF, Kuna taarifa njema hapa. Kuelekea uanzishwaji wa Sarafu ya Pamoja na Benki Kuu ya Afrika Mashariki, Waziri wa Fedha amepigia chapuo Taasisi ya Fedha (East African Monetary Institute - EAMI) iliyoanzishwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki iwepo Arusha na Tanzania ipo tayari kuwa...
  11. F

    Hili sakata la akina Halima Mdee na wenzake ndo linadhihirisha udhaifu wa CHADEMA kama taasisi!

    Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu! CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain...
  12. Uamuzi wa NMB ni dalili ya taasisi za kifedha kukosa ufanisi katika utendaji.

    Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu. Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga. Nimepata maswali mengi sana, je wamepewa ili wauze ama ziwasaidie katika biashara zao?. Na kama ni...
  13. S

    Polisi na TRA ni Taasisi mbili za Serikali ya Tanzania ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote

    Hapa nchini kwetu Tanzania, kuna taasisi mbili za serikali ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote. Yaani taasisi hizi zingekuwa ni wanadamu nikaona wanaelekea kutumbukia katika shimo hatari na nisipowatahadharisha watakufa, ningekaa kimya ili wapotelee mbali. 1. Jeshi la Polisi Tanzania 2...
  14. Putin awafuta kazi majenerali nane na pia agombana sana na taasisi ya ujasusi ya FSB

    Haya maamuzi ameyafanya baada ya aibu ambayo imemkuta Ukraine, hakutegemea hivi kabisa, FSB walimshauri vibaya kwamba ataingia na kuchakaza kwa siku chache na kumaliza mchezo, leo mambo yameshindikana, amepoteza wanajeshi, vifaru, mindege na zana zingine nyingi tu na bado Kiev inazdi kumtunishia...
  15. Nnauye: Viongozi wakielewa Uchumi wa Kidijitali, wataendesha vema taasisi za Serikali ili kuendana na ukuaji wa uchumi

    SERIKALI YAENDESHA MAFUNZO YA KUJENGA UELEWA KUHUSU UCHUMI WA KIDIJITALI Na Prisca Ulomi na Semu Mwakyanjala, WHMTH, Zanzibar Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendesha mafunzo ya kujenga uelewa kwa viongozi wa Serikali kuhusu uchumi wa kidijitali Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali...
  16. U

    Tujuzane taasisi za binafsi zinazojali wafanyakazi wake na maslai mazuri

    Uzi kama unavojieleza, tujuzane sehemu nzuri za kutafuta ugali wakuu. Yani ukipata hapo angalu maisha yanaenda. Mimi naanza na hizi japo sijui naskia sikia watu wakisema. 1.TCC - Sigara 2.Mbeya Cement 3.Barick 4.TBL 5.Coca Cola
  17. Viongozi wa dini msitumie taasisi za kidini kumtetea mhalifu

    Hapo vipi! Jana nimesikia maombi ya viongozi wa dini kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli kinachoonekana hapo nikwamba baadhi ya viongozi wa dini ni wanasiasa wenye mrengo fulani, lakini namuona kiongozi mmoja wa dini ambaye ndio, aliyepanga huo makakati kwa lengo la kumuombea...
  18. Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

    Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua. Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu...
  19. Mtazamo: Taasisi na mashirika ya Serikali ambayo yana huduma mbovu kwa wateja Tanzania

    Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu wa kupitia huduma mbali mbali katika mashirika hayo kwangu naona Hawa WATANO Wafuatao kwao mteja ni "boya" na Wala sio mfalme 5. TRA 4. Polisi 3. Maji 2. Nida 1. Tanesco Kama umewahi kwenda ofisi hizo hapo juu utaona jinsi unavyopokelewa mpaka...
  20. Viongozi wa mataifa ya Magharibi na taasisi za Kimataifa wamekemea vikali mashambulizi dhidi ya Ukraine na kuahidi kuiwajibisha Urusi

    Viongozi wa mataifa ya Magharibi na taasisi za Kimataifa wamekemea vikali mashambulizi dhidi ya Ukraine na kuahidi kuiwajibisha Urusi. Mara baada ya kuripotiwa taarifa ya milipuko katika miji mbalimbali ya Ukraine, Rais wa Marekani Joe amemshutumu Rais wa Urusi Vladimir Putin kwa kusema “Urusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…