taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania NIMEOTA NIMEPIGIWA SIMU NA KAKA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA MAMA........

    Aiseee kulala lala mchana jau sana leo nikiwa nimelala nikaota nimepigiwa simu na kaka yangu ninayemfuatia kuzaliwa akidai tumefiwa na mama yetu mkubwa japo hatruna mama mzazi wala mama wakubwa wote waameshatangulia mbele za haki na tumebaki na mama mdogo tu/mlezi na akaiunganisha iyo simu na...
  2. JamiiForums Tanzania Taifa letu wapinzani kutekwa limekuwa jambo la kawaida kijana wa BAVICHA mkoa wa Mwanza amefikisha siku 15 na hakuna taarifa yoyote

    Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali. Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa sahihi pekee zinaiwezesha Jamii kufanya Maamuzi sahihi, thibitisha uhalisia wa Taarifa unazopokea kabla ya kuziamini na kuzisambaza

    Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati. Unaweza kupata maarifa zaidi kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujua mbinu muhimu zinazokuwezesha kubaini uhalisia wa Taarifa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Taasisi zinazohitaji tujaze fomu za karatasi taarifa zetu nyeti za NIDA ni hatari, taarifa zinaweza Kutumika kwenye utapeli, wizi, kuomba mikopo, n.k.

    Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA. Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 JamiiForums wamechapisha taarifa inayosema 'Lissu aigawa CHADEMA

  6. JamiiForums Tanzania Elon Musk awa mbogo kwa watumishi wakaidi wa serikali kukaidi kumtumia kwa email taarifa zao za kila wiki kuhusu kazi zao!

    Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha! Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao...
  7. JamiiForums Tanzania Yule mwamba ambae alimshika mkewe ugoni akaenda kutoa taarifa kwa bimkubwa wake yamemkuta tena

    Nyiee Nyiee Nyiee Juzi Kamkamata tena ugoni mkewe kupitia meseji (sijajuwa ni za mgoni wa mwanzo yuleyule ama la..) na sasa kamtaliki kabisa. MTU AKIJA KUSEMA NIMEKOSA KAZI ZA KUFANYA HADI NAFUATILIA MAISHA YA WATU, YUKO SAHIHI. Uzi wa ugoni wa mwanzo...
  8. JamiiForums Tanzania MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYOMBO VYA MOTO

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  9. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na vyombo vya moto

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  10. W

    JamiiForums Tanzania Je, unazifahamu haki zako kama mhusika wa taarifa binafsi?

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi inatoa haki mbalimbali kwa mhusika wa taarifa binafsi ili kuhakikisha faragha na ulinzi wa taarifa zake. Haki hizi ni pamoja na: Kufahamishwa kuhusu ukusanyaji na madhumuni ya ukusanyaji wa taarifa hizo. Kukataa kutoa taarifa binafsi ikiwa mkusanyaji...
  11. L

    JamiiForums Tanzania KERO PEPMIS changamoto watumiaji wapewe taarifa

    Kumekuwa na Kero ya kusuasua kwa mfumo wa PEPMIS kwa kitambo Sasa. Mara mtandao umefungwa, mara uliweka taarifa huzioni. Na mbaya zaidi hata huduma zile za kuunganishwa na Taasisi za fedha ni hazina ungano kwa Sasa. Mimi binafsi nimepata changamoto katika maombi ya mkopo. Ambapo ninaambiwa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ukiwa unaambiwa ujiandikishe taarifa zako sehemu huwa unauliza zinatumiwa kwaajili gani?

    Wakati mwingine, unapokuwa unajiandikisha au kuwasilisha taarifa zako sehemu fulani, ni muhimu kuuliza jinsi taarifa zako zitakavyotumika. Hii ni ili kuhakikisha kuwa unaelewa madhumuni ya kutumia taarifa zako, na pia kujua kama kuna hatari yoyote ya usalama au faragha inayohusiana na matumizi...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Tundu Lissu ametangaza nia ya kugombea Urais 2025

    Wakuu kuna hii inasambaa Twitter je, ni ya kweli?
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni za condoms kutoa taarifa ya kudorora Kwa soko, hii inaniacha na maswali mengi

    Makampuni ya condoms yamelalamikia soko la condoms kudorora 1. Watu wanajikinga vip dhidi ya Ukimwi? 2. Watu wamepunguza kufanya ngono? 3.Dhana ya kuamini mtu anaishi vyema hata akiwa anatumia ARV? 4. Ukimwi wa Sasa umepungua nguvu? 5. Viongozi wa dini wamefanya kazi Yao vyema? Kwa uzoefu wangu...
  15. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kurudisha taarifa za brela kila mwaka kwa makampuni yaliyosajiliwa kufikisha kipindi cha kuanzia mwaka mmoja tangu yasajiliwe(brela return)

    BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Hata hivyo, utekelezaji wa mfumo wa mtandaoni kupitia ORS (Online...
  16. JamiiForums Tanzania Oya mbona hii Taarifa ya Max Zengeli anaondoka kuelekea Morocco inafichwa sana kwa Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu?

    Kwahiyo wana Yanga SC tumeamua kutumia 'Inshu' ya Chasambi ili Kuificha kwakujua kuwa Sisi Mashabiki ni hohe hahe?
  17. JamiiForums Tanzania Trump Amuondolea Joe Biden Haki Ya Kupatiwa" Taarifa Za Siri/Classified Informations "Kama Ilivyotakiwa Kwa Maraisi Waliotangulia Wa Marekani

    President Donald Trump has said he’s revoking Joe Biden’s security clearance and ending the daily intelligence briefings he’s receiving, in payback for Biden doing the same to him in the wake of the January 6 attacks. Trump announced his decision in a post saying: “There is no need for Joe...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Taarifa gani umewahi kusikia kuhusu Saratani ikakupa shaka?

    Kila mwaka Februari 04 huwa ni siku ya kuadhimisha saratani duniani kwa lengo la kutoa elimu, takwimu na uelewa kuhusu Saratani. Na kwa takwimu za mwaka 2024 zimeonesha kuwa bara la Asia ndo linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya waangaa wa Saratani ya shingo ya kizazi SARATANI NI NINI Miili...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia njia Gani kuharibu Nyaraka na Karatasi zenye Taarifa zako binafsi?

    Kuharibu nyaraka zinazohusiana na taarifa za kibinafsi, kama vile kiatambulisho cha NIDA, cheti cha kuzaliwa, taarifa za benki, taarifa za kadi ya mkopo, stahili za malipo, au risiti, ni muhimu ili kuhakikisha kuwa taarifa zako binafsi haziangukii mikononi mwa watu wasiostahili kuziona. Hii pia...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali itoe taarifa kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wa Tanzania waliopo DRC

    Chama cha ACT Wazalendo inaitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa taarifa rasmi kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wetu walioko katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hii inafuatia taarifa za hivi karibuni za kuongezeka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…