Nilikua na ndoto tangu zamani kuishi kisiwan hapo, nadhani maisha yangu ningependa yakishie kule napapenda sana, japo sijawahi fika hua naangalia tu maeneo kule kupitia you tube insta na TikTok.
Sasa basi naomba msaada WA mambo yafuatayo.
1. Bei za viwanja, nataka shamba karibu na beach ila...