counter attack ya tume hii ni ipi kisheria? Unaweza kwenda mahakamani kuipinga kabla hajaanza so alled uchunguzi?
CCM imetumia kila jitahada kununua baadhi ya CHADEMA members lakini chama kama chama bado kimenyooka na ndiyo kinazidi kuwa na unshakable principles.
Chote kilichoandikwa,Mjane hana uwezo wa kikusoma wala kukielewa