taarifa potofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiCheck

    KWELI Video hii ya gari kugonga gari nyingine imetengenezwa kwa akili unde

    Vipi mdau! Shiriki kuthibitisha video hii kwa kubainisha dosari unazoziona. Je,Je, zinaakisi uhalisia?
  2. JamiiCheck

    KWELI Video hii ya bodaboda wanaotoa ushuhuda kuhusu barabara imetengnezwa kwa Akili Unde

  3. JamiiCheck

    Mtandao wa Facebook kinara wa kuzalisha Taarifa Potofu nchini

    Kipindi cha Januari hadi Juni 2025 kimeonesha ongezeko kubwa la taarifa potofu, hususan zinazohusiana na siasa. Katika muda huu, JamiiCheck ilihakiki jumla ya madai 192, ambapo madai ya yasiyo ya Kweli yaliongoza kwa kuwa 128 sawa na asilimia 67 ya madai yote. Madai ya kupotosha yalifikia 42...
  4. JamiiCheck

    Dkt. Mpango: Taarifa potofu zisizodhibitiwa zinaathiri imani ya umma kwa vyombo vya habari

    Akizungumza Julai 15, 2025 katika mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango alibainisha uwepo wa Taarifa Potofu zisizodhibitiwa kama changamoto inayokabili vyombo vya habari kwani inaweza kushusha kiwango cha Uaminifu kwa wananchi Ujumbe huo...
  5. JamiiCheck

    Dkt. Biteko: Wanahabari wana kazi ya kupambana na taarifa potofu ili jamii ipate taarifa sahihi

    Ujumbe wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko, unasisitiza na kuwakumbusha waandishi wa habari kuhakikisha wanadhibiti Taarifa zisizo za kweli na kutoa zile zilizo sahihi ili kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi. Ni muhimu kuthibitisha kila...
  6. JamiiCheck

    Je, wajua? Taarifa Potofu ni chanzo cha maamuzi mabovu. Daima pambana dhidi ya Upotoshaji

    Mapambano dhidi ya Upotoshaji yanatuhitaji kutafuta na kuuweka wazi Uhalisia ili kuepuka Taarifa zisizo za Kweli katika Jamii. Maamuzi Sahihi huchochewa na Taarifa Sahihi. Wasambazie jamaa na marafiki ujumbe huu ili wainuke kupambana dhidi ya TaarifaPotofu.
  7. figganigga

    John Mrema hatujamfukuza CHADEMA. Puuzeni taarifa Potofu

    Siku ya kufukuzwa ikifika mtataarifiwa Habari potofu imeandikwa kwamba Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imetangaza rasmi kumfuta uanachama Bw. John Mrema. Kwamba hatua hii imefikiwa baada ya kubaini kwamba Bw. John Mrema na kundi lake linalojiita G55 hawana nia njema na...
  8. JamiiCheck

    Hakikisha Unathibitisha Maudhui ya video kwani inaweza kuhaririwa kwa kubadilisha sauti au kukata vipande, hivyo kupotosha Uhalisia

    Thibitisha kutoka kwenye chanzo halisi cha maudhui ili kupata uhalisia kamili, mfano wapotoshaji wanaweza kuhariri video na kubadilisha uhalisia wake hivyo kusababisha upotoshaji unaoweza kuibua taharuki katika jamii. Unaweza kutumia Google reverse image search kama nyenzo itakayokusaidia...
  9. JamiiCheck

    Usishiriki kusambaza Taarifa Potofu kwani zinaweza kuchochea Chuki, Taharuki, Mgawanyiko wa Kijamii na Kuhatarisha Amani

    Unapobaini kuwa Taarifa uliyokutana nayo Si ya Kweli, epuka kuisambaza kwa wengine kwani inaweza kuwa chanzo cha Migogoro na Taharuki katika Jamii. Zuia Taarifa Potofu kwa kufanya Uthibitishaji wa kila Taarifa unayokutana nayo ili kuchochea uwepo wa Taarifa Sahihi wakati wote.
  10. JamiiCheck

    Swali la Siku: Taarifa gani ulisikia kabla ya kujiunga Sekondari ambayo baadaye ulibaini kuwa Potofu?

    Wanaofanya Upotoshaji huwa wana lengo walilokusudia kulitimiza hivyo hawaachi wala kuchoka kufanya Upotoshaji wa Taarifa. Ili kujikinga dhidi ya Upotoshaji, ni muhimu kufanya Uhakiki wa kila Taarifa unayokutana nayo.
  11. Cute Wife

    Haya ndio huwa yanafanyika hata wakati wa uchaguzi ili kupoteza watu kwenye jambo husika, tujifunze kuhakiki taarifa

    Wakuu, Naimani mlikutana na mabango haya yanayoelezea vingozi wa CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari, moja likiwa sahihi na mawili yakiwa ya uongo kuwapoteza watu na kuwagawanya wasifuatilie nini kinataka kusemwa na mtu sahihi. Mbinu ni hizi hizi hata kipindi cha uchaguzi, utakuta...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums yatoa mafunzo kwa Wadau wa Habari kuhusu umuhimu na njia za Uhakiki wa Taarifa

    Julai 26, 2024, JamiiForums ikishirikiana na The Collaboration on International ICT Policy for East and Southern Africa (CIPESA) iliendesha Mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya Habari kama sehemu ya kuwajengea uwezo katika kutekeleza majukumu yao. Washiriki walifundishwa athari...
  13. Pendragon24

    SoC04 Jamii ifanye nini ili kupambana na Taarifa Potofu?

    Ulimwengu umepita katika zama tofauti tangu uwepo wake hadi sasa tulipo. Zama hizi za sasa za taarifa ni moja kati ya zama ngumu na muhimu sana kwa jamii kwa sababu bila kuwa na taarifa jamii haiwawezi kushiriki katika shughuli yeyote ya kiuchumi na kisiasa ili kujiletea maendeleo. Wanafunzi...
  14. JamiiCheck

    Uhakiki wa taarifa ni silaha muhimu ya kupambana na taarifa potofu

    Kuhakiki taarifa ni Silaha ya msingi katika kupambana na Usambaaji wa taarifa Potofu ndani na nje ya Mitandao Jamii inapojenga tabia ya kufanya uhakiki wa kila taarifa inayokutana nayo, itawawezesha kufanya Maamuzi Sahihi katika masuala mbalimbali yanatokea katika Jamii husika Je, wewe ni...
  15. Nkaburu

    Jinsi ya kutambua habari na taarifa potofu Mtandaoni-Taarifa tam tam au yenye kutia hasira.-Vidokezo kutoka kwa Wataalamu wa Saikolojia

    Je Ushawahi kukutana na Taarifa tamu tamu mtandaoni au taarifa ambazo zilikufanya ujisikie kutamani, hasira, chuki, au hofu? Basi hauko peke yako. According to Scientist, wataalamu wa saikolojia, watu wengi ni wahanga wa wa habari potofu mtandaoni. Hatahivyo, cha muhimu ni kutokupanic au...
  16. JamiiCheck

    Akili Mnemba (AI) inaweza kutumika kutengeneza Taarifa Potofu

    Akili Mnemba ni teknolojia iliyosambaa ulimwenguni ikiwa imerahisisha kazi za binadamu kutokana na kwamba inaweza kufikiri kama binadamu. Lengo la AI ni kuweza kufanya mambo kama vile kutambua mifumo, kufanya maamuzi, na kuhukumu kama binadamu. Akili mnemba (AI) ni seti ya teknolojia...
  17. JamiiCheck

    Hatua za kuchukua unapohisi Taarifa ni Potofu

    Baada ya kukutana na taarifa yoyote unayoitilia shaka, kuna hatua kadhaa unaweza kuchukua ili kujiridhisha uhalali wa taarifa hiyo. Kuchukua hatua za haraka na kutoa habari sahihi ni muhimu ili kuzuia kuenea kwa habari feki au gushi. Hizi ni baadhi ya hatua za kuchukua unapokutana na taarifa au...
  18. Sildenafil Citrate

    Ukuaji wa teknolojia ya Habari na Mawasiliano hutegemea uwepo wa uhuru wa kujieleza

    Uhuru wa kujieleza na kutoa Maoni Mtandaoni unapokosena huathiri jamii nzima kwa kuzuia upatikanaji na usambazwaji wa Taarifa Muhimu. Ni kikwazo kikubwa katika kujenga jamii inayoendana na kasi ya ukuaji wa Teknolojia Habari na Mawasiliano Duniani. Uhuru huu unapaswa kutambuliwa na kulindwa...
  19. J

    Ufafanuzi wa taarifa potofu kuhusu COVID-19 na Chanjo zake

    Kadiri janga la Virusi vya Corona (COVID-19) linavyoendelea, ndivyo pia wingi wa habari zinazohusiana na kusababisha kile kinachoitwa "infodemic'’ unavyoongezeka. Taarifa potofu na za uongo kuhusu COVID-19 zinasambazwa kwa haraka sana mtandaoni na zinaweza kuathiri watu wengi. Hakuna chanzo...
  20. Cannabis

    Waziri Dorothy Gwajima aagiza Baraza la Madaktari kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa wa COVID-19

    Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari (MAT) kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa na chanjo dhidi ya UVIKO19. Amesema atakayeshindwa kuthibitisha taarifa zake atachukuliwa hatua, lengo likiwa ni kudhibiti upotoshaji.
Back
Top Bottom