taarifa potofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Waziri Dorothy Gwajima aagiza Baraza la Madaktari kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa wa COVID-19

    Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari (MAT) kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa na chanjo dhidi ya UVIKO19. Amesema atakayeshindwa kuthibitisha taarifa zake atachukuliwa hatua, lengo likiwa ni kudhibiti upotoshaji.
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Twitter kuanzisha mfumo wa kupambana na taarifa potofu kuhusu chanjo ya corona

    Twitter imesema kuwa inaanzisha mfumo mpya wa kubaini na kuondoa machapisho yanayopotosha kuhusu chanjo ya COVID-19 na kuwafungia watumiaji wa mtandao huo watakaoonekana kusisitiza kuenea kwa habari za uongo. Kampuni hiyo yenye makao yake San Fransisco nchini Marekani imesema katika chapisho la...
Back
Top Bottom