Jana niliandika kuhusu changamoto ya taa za kuongozea magari na watembea kwa miguu zilizopo eneo la Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mbeya (Catholic University of Mbeya - CUoM), ambazo zilikuwa hazifanyi kazi kwa takribani wiki moja licha ya kuwa bado ni mpya baada ya kufungwa Mei 2026.
Soma DOKEZO -...
Taa hizo za kuongezea magari na Watembea wa Miguu eneo la Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mbeya (Catholic University of Mbeya - CUoM) zina wiki sasa hazifanyi kazi licha ya kwamba bado ni mpya kwani zilifungwa Mei 2026.
TANROADS wakati wanazizindua walisema ni za Kidigitali, kutokufanya kazi...
Naomba ufafanuzi kwanini taa za barabarani za kuongozea magari na vyombo vingine vya usafiri njia ya Gerezani-Mbagala hazitumiki na wakato huohup mradi wa ujenzi wa mwendokasi umekamilika.
Kumekuwa na changamoto ya ukosefu wa taa za barabarani katika barabara nyinginza jiji la Mwanza hivyo kupelekea barabara nyingi usiku kutopitika na pia kuvutia wahalifu.
Kwa mfano, barabara inayoenda hospitali ya Rufaa ya Bugando ni giza tupu usiku hivyo kuhatarisha usalama wa wagonjwa na ndugu...
Tutajenga na kuweka Barabara nyingi Taa za barabarani kwa ajili ya maandalizi ya AFCONMkwa mfano hii Dar na Arusha tu peke yake matarajio yetu ni taa za karibu Bilioni 40, na hii ni mipango tu, na hii itafanikiwa kwa kupitishiwa bajeti hapa bungeni.
Hii ndiyo Mipango ya Wizara ya Ujenzi...
Taa za barabarani karibu na Cafe ya College of Humanities katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) zimekuwa hazifanyi kazi kwa takriban miaka miwili sasa.
Eneo hilo ni muhimu kwa Wanafunzi wanaokwenda kupata chakula, hivyo hitilafu hiyo imekuwa ikitusababishia adha, hususan nyakati za usiku...
Hapa ni Arusha mataa ya Sakina Triple A / Arusha technical, Ni zaidi ya miezi minne taa hazifanyi kazi. Tunaomba jiji lishughulikie hili tatizo.
Majibu ya Mamlaka ~ TANROADS: Taa za eneo la Tripple A haziwaki kutokana na hitilafu, Tunaomba radhi, tutafunga vifaa vya kisasa
Imefichuka kuwa Wafanyakazi wa Mossad walivamia mtandao wa kamera za trafiki za Tehran kwa miaka, wakifuatilia harakati za Ayatollah Ali Khamenei,walinzi wake, na maafisa wengine wakuu wa Iran kabla ya mauaji yake, kulingana na ripoti.
Israel ilipata ufikiaji wa karibu kamera zote za jiji...
Hapa Ubungo External Mataa - Dar es Salaam, kila ikifika saa 5 kamili usiku mataa ya barabarani yanayotumika kuongoza magari huwa hayafanyi kazi, hivyo inakuwa kama gombania goli.
Tunashuhudia ajali karibia kila wiki, hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka minne sasa, hakuna anayejali kuhusu...
Hivi karibuni hatuelewi ni utaratibu upi ila ukipita makutano ya barabara TAZARA na Ubungo na sehemu nyingine hata Uhasibu unakuta taa zimezimwa na traffic Police hawapo, magari yanajiendesha yenyewe kiasi inakuwa hatari sasa kwa madereva.
Tunaomba ufumbuzi kwenye hili kwa mamlaka husika
Anonymous
Thread
barabarani
hatari
mara
nyingi
taataazabarabarani
tazara
ubungo
1. Wazee wa jalalani walipewa Msaada na LIONS CLUB kufungiwa taa za solar kwenye barabara na mitaa main campus (bure) ukipita usiku hizo taa zimekufa karibu zote kumebaki Giza totoro. Mule ndani kwa sasa kumekua hatari sana.
Hivi Uongozi hapo wanaweza nini zaidi ya kununua Magari ya kifahari...
"Ndani ya Mkoa wa Tabora, tunakwenda kujenga madaraja 133, katika barabara ambazo tumeziweka kwenye ilani [...] Lakini pia, tunakwenda kuweka taa za barabarani 2,300." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Tabora Mjini
Akizungumza katika uwanja wa Airport ya zamani jijini Mbeya, mgombea wa urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan ameahidi kuweka taa za barabarani katika maeneo ya Ilomba, njia panda ya Uyole, Sae jijini Mbeya, Meta na Njiapanda ya kwenda Chunya ili vijana waweze kujiajiri...
Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa.
Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku...
Utangulizi
Stand ya Msamvu, iliyopo katika mji wa Morogoro, ni moja ya vituo vikuu vya mabasi nchini Tanzania. Inahudumia maelfu ya wasafiri kila siku kutoka mikoa mbalimbali. Pamoja na umuhimu wake mkubwa katika usafiri wa ndani na nje ya mkoa, kituo hiki kinakabiliwa na changamoto kubwa ya...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani, hatua itakayowasaidia wananchi kuendesha shughuli za kiuchumi na kibiashara hata nyakati za usiku.
Ufungaji wa taa hizo kwa sasa unaendelea katika kata za Lugata, Bulyaheke, Katwe, Bangwe, Kafunzo na Nyehunge...
Kutoka Kagera-Bunazi, Mji Mkuu wa Wilaya ya Missenyi nawaomba wenye Mamlaka kuweka Taa za Barabarani maana imekuwa kero kwa Wananchi eneo la Mnada (mjajaro) kuanzia njia panda kwenda Kagera Sugar mpaka Ofisi za Halmashauri.
Nyakati za usiku kiza kinene na Barabara hiyo ndio kuu ya watembea kwa...
Nafikiri katika technologia ambayo inatakiwa ifanyiwe maboresho ya haraka (kama bado) ni taa za barabarani kwa matumizi ya Highway kwani kwa sasa naona kama hazina manufaa stahiki.
Najaribu kufikiria kwa akili ya kawaida tu, kuruhusu Barabara kuu itumike pengine kwa masaa 6 hadi 10 hivi kati ya...
Habari za muda huu wakuu,
Nimepita eneo tajwa hapo juu leo hii na kukuta uharibifu wa taa zinazotumia mwanga wa jua. Nafikiri hili jambo lifuatiliwe kabla hasara kubwa haijajitokeza, maana mlingoti wa taa moja umekatwa na taa kuibiwa. Wakati huo huo kuna mlingoti mwingine upo mbioni kukatwa pia...
Wanajamvi, Leo naomba nilete kwenu giza hili la Tabora, kiukweli nimesikia mara kadhaa baadhi ya Viongozi wa Tabora kupiga kampeni ya kwamba, Tabora linatakiwa kuwa Jiji, kwa Giza hili hadhi ya jiji watapata wapi?
Viongozi wa Manispaa ya Tabora, Mkoa wa Tabora hili la Taa walichukue kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.