sura

A surah (; Arabic: سورة‎, romanized: Sūratun or sūrah; plural: سور, Suwar) is the equivalent of "chapter" in the Quran. There are 114 surahs in the Quran, each divided into ayahs (verses). The chapters or surahs are of unequal length; the shortest surah (Al-Kawthar) has only three verses while the longest (Al-Baqara) contains 286 verses. Of the 114 chapters in the Quran, 86 are classified as Meccan, while 28 are Medinan. This classification is only approximate in regard to the location of revelation; any chapter revealed after migration of Muhammad to Medina (Hijrah) is termed Medinan and any revealed before that event is termed Meccan. The Meccan chapters generally deal with faith and scenes of the Hereafter while the Medinan chapters are more concerned with organizing the social life of the nascent Muslim community and leading Muslims to the goal of Dar al-Islam by showing strength towards the unbelievers. Except for surah At-Tawbah, all chapters or surahs commence with "In the Name of Allah, Ar-Rahman (The Beneficent), Ar-Rahim (The Merciful)". This formula is known as the Bismillah and denotes the boundaries between chapters. The chapters are arranged roughly in order of descending size; therefore the arrangement of the Quran is neither chronological nor thematic. Surahs (chapters) are recited during the standing portions (Qiyam) of Muslim prayers. Surah Al-Fatiha, the first chapter of the Quran, is recited in every unit of prayer and some units of prayer also involve recitation of all or part of any other surah.

View More On Wikipedia.org
  1. Kati ya tako na sura unachagua demu wako awe na kipi?

    Mi nachagua sura nzuri ,demu mwenye sura nzuri msafi nampenda sana kuliko yule mbaya ata kama ana tako kubwa.
  2. Nani wako kwenye msafara wa Rais Dubai? Au kuna sura tunafichwa tusijue uhusiano wao?

    Rais samia ameondoka nchini kwa kificho. Hatujui anakwenda kukutana nani, atakaa siku ngapi na ameandamana na nani. Ni ajabu. Kwanini tufichwe wakati anatumia fedha zetu mbali na kutumia jina letu maana anakwenda kule eti kutuwakilisha wakati anajiwakilisha? Huu nao ni ufisadi wa kimfumo...
  3. Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu

    Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu. lakini Sasa hivi urais umekuwa msumari wa moto tofauti na hapo awali na bado anaendelea kuharibu na kujiongezea kesi za kujibu kwasababu washauri wake...
  4. Machafuko ya Disemba 9 hayana sura ya Kisiasa bali ni chuki ya Mihemko ya kidini

    Naamu Hakuna Msiba unaokosa Matanga na ukiona Moshi ujue kuna Moto Utawaka au Umewaka. Bado Watanzania tupo katika Majonzi ya Ndugu zetu waliopata Maafa ya D29 ambapo ni masikitiko makubwa yanatokana na dhamira ya watu wachache kujitafutia umaarufu na Kujilimbikizia Mali kupitia Majukwaa...
  5. Kama hutaweza kuandamana, tusapoti kwa kupiga picha na video clear za kuonesha sura mapolisi na wote wenye silaha

    Najua wapo wanataman mabadiliko ila hawako tayari kujitolea hata ikibidi uhai wao, sasa kama ni hivyo, wewe tusaidie kuchukua matukio hasa kuonesha sura zao hao wahuni wenye silaha. Hii haiwezi kuisha hadi samia aishie, kama anasema amepata kura 98% sasa kesho tutaona hao milion 32...
  6. GE2025 Hapana shaka kutakuwa na maandamano makubwa. Redcross 26 wamejipanga vibaya

    Walahi kutachurura. Hawa redcross 26 wako mbele ya muda. Kutakuwa na delay kwa jeshi kudhibiti maandamano ili kuyapa nguvu. Kile kikosi cha watu 26 kinaingia mzigoni kesho kutwa tarehe 26. Kama hukununua chakula huu ni wakati wa kuweka ndani. Kama unajua unaduka au ofisi katikati ya mji...
  7. Ni kwamba sura ya Nyerere ni abstract sana au mwenyewe hataki?

    Habari wakuu Tangu nimeanza kuona picha za kuchora na za kuchonga za Hayati Mwenyeheri, Nyerere, haijawahi tokea siku wakamchora sahihi. Au wakamchonga sahihi. Kwamba hii nchi inashindwa kuipa heshima sura ya Baba wa Taifa? Naomba tu hili nimkabidhi Andrea Nyerere adili nalo kuhakikisha...
  8. Sura ni mwanajeshi ila mawazo ni ya Polepole

    Sura kweli ni mwanajeshi, Sare kweli ni za kijeshi, Ila mawazo (Talking Points) ni ya ndugu Humphrey Polepole. Wale wana-CCM ambao walidhani kwamba Polepole ana ushawishi mdogo hapa nchini, kwamba ni mtu wa kupuuzwa walifanya mahesabu yao vibaya mno. Malalmiko yote ya kuharibika kwa Tanzania...
  9. GE2025 Kwenye kampeni za sasa naona sura siyo sera

    Ukiwasikiliza wagombea wetu hasa wa urais ambao ni wa chama kimoja japo wanajionyesha kama wanapingana wakati lao moja, huoni sera zaidi ya sura. Wakiahidi, unashindwa kuelewa kama ni nani kati ya mataahira kati yao na wapiga kura. Mgombea wa urais anakwambia nitafanya hili au lile bila...
  10. Huwa nikiona hizi sura kwenye cover ya movie sijiulizi mara mbili kuhusu kutazama hiyo movie

    Mara nyingi huwa sio main characters (starring) ila wakiwemo movie inakuwa tamu balaa.
  11. Nimewakumbuka Marehemu Mama na Pacha wangu Japo sikuwahi kuwaona kwa Sura

    Muda huu nimejikuta ghafla namkumbuka marehemu mama yangu, Mama mapacha Nusratt na Nasra. Tulizaliwa mapacha na mimi nikiwa Dotto. Kwa bahati mbaya nasikia mama alipata ajali akiwa na Kulwa (Nasra) wakati wakitoka hospitali ambako Kulwa alikuwa anaugua mafua na homa. Mama na pacha wangu...
  12. Nini kinasababisha sura kukunjamana unapopiga bao

    Moya kwa moya kwenye mada Kuna demu nilikua kila nikimlomba nikiwa naelekea kumwaga mbegu nzito ananiambia na mtisha mpaka anaingiwa uwoga.. baada ya hapo nikawa nikimlomba naficha sura simuangalii usoni...sijajua ni nini kinasababisha sura kubadilika na kuwa ya kutisha..wadau
  13. Wanavyokunjaga sura, huwezi amini wanapelekeshwa na wajinga kama CCM. Wanapigishwa Mistari kupiga kura wakati Uchaguzi ulishaamuliwa.

    Wanavyokunjaga sura na kujifanya wababe na wajuzi huwezi amini wajinga wajinga CCM wanawapelekesha kama mazuzu. Huwezi amini CCM wanawaona kama matoy tu yasiyo na chochote wala lolote. Yaaani hawa nao Oktoba wanapigishwa mistari kutiki wakati CCM, Tume na NIDA walishaamua kura ziweje na ushindi...
  14. Wenye Gonorrhea ,Kaswende na Klamidia mutaiweka wapi sura zenu

    Wanasayansi waja na kondomu ambazo zinabadilika rangi pindi inapo gundua kama una maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na kaswende. Wanetu mtaacha ndala🩴
  15. Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

    Ushawahi kusikia kitu kinaitwa Ruqyah?, Ingawa Waislamu wanadai Ruqyah ni njia ya "kukinga na sihirk", ukweli mchungu ni kwamba sehemu kubwa ya sura zinazotumika (kama Surah Al-Falaq, An-Nas, Ayatul Kursi,Surah Al- Jinn) zinasomwa kwa nia ya kuwasiliana na ulimwengu wa majini. Mfano,Surah...
  16. Naomba kujuzwa hizi Sura za watu wa video za AI ni Sura halisi?

    Kuna hizi video zina trend Sana mitandaoni zimetengenzwa kwa AI me sio mtalaam Sana wa mambo ya computer ila Niko interested kujua hizi Sura za watu ni kwamba kweli ni Sura za watu zipo kiuhalisia au wame generate automatically kabisa na kwamba katika ulimwengu huu hazipo
  17. Sura Tatu za Dini ya Kisasa: Biashara, Udhalilishaji na Siasa

    Katika kipindi cha sasa, dini imeanza kuchukua sura mpya katika jamii ambayo inazua maswali mengi kuhusu uhalisia wake. Kwa baadhi ya watu, dini imepoteza dhima yake ya msingi ya kuwa chombo cha maadili, mshikamano, na uhusiano kati ya binadamu na Muumba wake. Badala yake, inatajwa kuwa njia ya...
  18. Uchambuzi wa Sura ya 6: Kushinda Hofu

    Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer Katika sura hii muhimu, Bodo Schäfer anaeleza kuwa hofu ndiyo kikwazo kikubwa cha mafanikio ya watu wengi. Washindi si watu wasiokuwa na hofu, bali ni watu wanaojifunza kuchukua hatua licha ya kuhisi hofu. Dondoo Muhimu za Sura ya 6: 1. Hofu Ni...
  19. Uchambuzi wa Sura ya 5: Nidhamu ni Daraja la Mafanikio

    Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer Katika sura hii, Bodo Schäfer anasisitiza kuwa mafanikio hayawezi kupatikana bila nidhamu. Nidhamu ndiyo daraja linalokupeleka kutoka kwenye ndoto kwenda kwenye mafanikio halisi. Dondoo Muhimu za Sura ya 5: 1. Nidhamu ni Uamuzi wa Kila Siku...
  20. Uchambuzi wa Sura ya 1: Kila Mtu Anaweza Kuwa Mshindi

    Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer Katika sura hii ya kwanza, Bodo Schäfer anaweka msingi muhimu sana: hakuna mtu anayeumbwa mshindi wala mshindwa. Kila mtu anazaliwa akiwa na nafasi sawa ya kufanikiwa, na kinachowatofautisha watu ni maamuzi wanayofanya kila siku. Dondoo Muhimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…