suluhisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utunzaji wa Ngozi: Changamoto Mbalimbali za Ngozi na Suluhisho Lake kwa kutumia bidhaa za asilia.

    Ngozi zetu zinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazoweza kuathiri afya na muonekano wake. Hapa tutazungumzia baadhi ya matatizo ya ngozi kama ngozi ya magamba, ngozi ya mafuta, ukurutu, ngozi kavu, na kuzeeka kwa ngozi, pamoja na suluhisho la bidhaa za Grace Products zinazoweza kusaidia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Si kila mara ku-quit ni suluhisho

    “Dhana ya uongozi wa kisiasa inakwenda na dhana ya malengo, maono, dream si kila wakati ku-quit ni suluhisho, kwa hiyo lengo letu ni nini? Ni kukamata dola. Lengo hili halijatimia”
  3. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ubia Kati ya Serikali na Sekta Binafsi: Suluhisho la Kupunguza Mzigo wa Kodi kwa Wananchi

    Nilipata bahati ya kufanya mafunzo ya vitendo (field) Halmashauri ya Jiji la Mwanza mwaka 2012, ambapo nilikutana na Muisraeli aliyekuwa sehemu ya exchange program kati ya halmashauri yake na Jiji la Mwanza. Alionyesha mshangao mkubwa jinsi halmashauri zetu zinavyoshindwa kupanua vyanzo vya...
  4. JamiiForums Tanzania Nywele kukatika kwa wanawake: Tatizo, Sababu na Suluhisho.

    Nywele kukatika ni tatizo linalowakumba wanawake wengi, na linaweza kuathiri kujiamini na muonekano wa jumla. Tatizo hili linaweza kusababishwa na mambo mengi, ikiwemo matumizi yasiyo sahihi ya bidhaa za nywele, lishe duni, na matatizo ya kiafya. Kila mtu anayekatika nywele ana sababu tofauti na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania JE NI KWELI UJENZI HUU NI SULUHISHO LA NYUFA KATIKA NYUMBA?

    Wadau wa ujenzi hasa mafundi na mainjinia wa ujenzi huyu jamaa ktk kupiga ripu kaanza na wire meshi eti inazuia nyumba kuchanika (nyufa). Je hiki kitu ni kweli na nisahihi kufanya hivi.
  6. JamiiForums Tanzania Suluhisho la kulipa fidia ya mabilion nje ya nchi ni kubadili jina la nchi

    Bado tunaendelea kupigwa kwenye kesi za fidia na makampuni ya kigeni.. Tunalipa mabilioni ya shilingi na mabilion ya dola kwa makosa ya watu wachache tuu.. Mostly kutoka chama chawala Hakuna hata kesi moja tuliwahi kushinda.. Mikataba tuliyosaini kimagumashi inatutesa sasa.. Waliosaini kwa niaba...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima, wanafunzi kufukuzwa shule sababu ya picha za utupu siyo suluhisho na haiwasaidii, wanatakiwa kupewa mwongozo na kuelewa athari zake

    Waziri Dkt. Gwajima D salam, Moja ya tukio kubwa wiki hii ni suala la wanafunzi zaidi 100 kukutwa na simu shuleni na baadhi yao kufukuzwa baada ya kupiga picha za utupu na picha hizo kusambaa. Katika kushughulika na suala hili busara inahitajika zaidi kuliko kukurupuka. Kwanza tuelewe hawa na...
  8. JamiiForums Tanzania Mmeng'enyo wa Chakula: Chanzo cha Changamoto na Suluhisho Lake

    Mmeng'enyo wa chakula ni mchakato muhimu kwa afya zetu, lakini wengi wanakutana na changamoto kama kuvimbiwa, gesi, na maumivu ya tumbo. Tatizo linaweza kusababishwa na lishe duni, kutokunywa maji ya kutosha, stress, au kukosa mazoezi. Suluhisho liko wazi: Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi...
  9. JamiiForums Tanzania Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: DUWASA hakikisha mnatafuta suluhisho la muda mfupi maeneo yenye changamoto ya upatikanaji wa maji, hasa ya pembezoni mwa Mji wa Dodoma

    WAZIRI AWESO ATOA MAAGIZO DUWASA Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Kisasa Jijini Dodoma, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kutekeleza maagizo yake aliyoyatoa Septemba...
  11. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu sio suluhisho la changamoto ndani ya dhamana ulopewa kuisimama kwa niaba ya umma

    Ng'ang'ana, simamia na kuongoza wizara, mamlaka au taasisi ulopewa kuisimamia kwa weledi, maarifa, bidii na ujasiri mkubwa, bila kubabaika, wala kuzingatia shinikizo ambazo hazina umuhimu wowote hasa kutoka kwa wanasiasa waliofilisika hoja na kupoteza uelekeo. Muhimu zaidi zingatia sheria...
  12. JamiiForums Tanzania Mhe. Katimba: Daraja la Jangwani Suluhisho la Mafuriko Dar Es Salaam

    MHE. KATIMBA: DARAJA LA JANGWANI SULUHISHO LA MAFURIKO DAR ES SALAAM Naibu Waziri OR-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba ametembelea eneo la Bonde la mto Msimbazi ambalo hivi karibuni Ofisi ya Rais TAMISEMi kwa kushirikiana na wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS wanatarajia kusaini mkataba na...
  13. JamiiForums Tanzania Suluhisho la Kamatakamata (Watu wasiruhusiwe kukamatakamata)

    Hii kamatakamata ya watu so called wa Taasisi inaleta loopholes za hata majambazi na watu wengine kujifanya nao wana mandate ya kukamata watu hivyo kupelekea maisha yetu mtaani kuwa ya hatari... Ushauri ili kuondoa Sintofahamu hizi Kama mtu anatakiwa na vyombo vya sheria basi polisi wapeleke...
  14. JamiiForums Tanzania Solved: kama umejaza kila kitu Ajira portal lakini ukiomba application kwambia “Fail”, suluhisho liko hapa.

    So kuna watu wanalalamika kua profile zao ni 100% lakini wakiomba kazi, application inafaili na kuambiwa waangalie vigezo. Kama umekutana na tatizo hili basi mi nimepata suluhisho . Kifupi ni kua ili maombo yafanikiwe, basi ni lazima uwe ume meet “minimum requirements”. Swali, system...
  15. JamiiForums Tanzania Kusudio langu la kupata suluhisho la kudumu la mgogoro wa wapalestina na wayahudi

    Mara kadhaa nimewahi kushiriki na naendelea kushiriki kutoa maoni ya kusuluhisha mgogoro mkongwe na mgumu mno wa Wayahudi na Wapalestina. Kwa ujasiri mkubwa kabisa, nisisitize kuwa nakusudia na niko tayari kabisa kusuluhisha mgogoro huu kwa niaba ya Afrika na Waafrika wote, hata kama sina cheo...
  16. JamiiForums Tanzania Uhusiano Kati ya Msongo wa Mawazo na Mba Kichwani: Sababu na Suluhisho

    Mba kichwani ni hali inayosababishwa na kupevuka kwa seli za ngozi ya kichwa kwa kasi na kuunda magamba meupe au ya njano. Ingawa kuna sababu nyingi zinazochangia tatizo hili, msongo wa mawazo (stress) ni moja wapo ya vichochezi vikuu vinavyoweza kuongeza uwezekano wa kupata mba. Makala hii...
  17. JamiiForums Tanzania Suluhisho la Manyanyaso Ya Bi.Mwajuma Dhidi Ya Mpangaji Wake Bwana Hassan

    Siku moja nilipigiwa simu na msomaji wa makala zangu za mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO. Msomaji wangu huyu alijitambulisha kwa jina la Hassan. Maelezo yake yalikuwa kama ifuatavyo: Kulikuwa na mwenye nyumba anayejulikana kwa ukatili wake dhidi ya wapangaji. Jina lake ni Bi. Mwajuma, mwanamke...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la ukungu kwenye taa za gari lako

    Wale msiojua mnaoingia asala Kila wakati kununua taa za gari ako, mkombozi amepatikana , Okoa ghalama za kununua headlight hadi lakin tatu nakuendekea Kwa sh elf 30 tuh! Hii huduma yakuondoa ukungu kwenye gari ako utafanyiwa popote ulipo ndani ya dar tucheki WhatsApp 0767603688 Na ukiitaji...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Suluhisho la mgao wa umeme, itakayopunguza gharama na mgao

    SULUHISHO LA MGAO WA UMEME, ITAKAYOPUNGUZA GHARAMA NA MGAO Tatizo la umeme Tanzania limekuwa na viswahili vingi kutoka kwa Mamlaka na ni changamoto kubwa inayokwamisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Ukosefu wa miundombinu ya kutosha ni moja ya sababu kuu, tumekuwa tukitegema vyanzo vichache...
  20. JamiiForums Tanzania RC wa Dar Chalamila vitisho vyako vya Siku Mbili Tatu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo vimesaidia nini kama bado Wanagoma na hakuna Suluhisho?

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko. Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…