suluhisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Suluhisho la ukosefu wa Ajira Tanzania: Tuwape Wahitimu wote hii kitu "Graduate Card"

    Habari Tanzania ! Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani. Nawaomba taasisi za Elimu ya kati na juu kupitia Wizara ya Elimu mkaja na hii huduma kwa hawa vijana wanaohitimu chuo hususani ngazi ya kati na juu ( Diploma & Degree holders) tuwapatie kadi maalumu kwaajili ya kupata kibali cha ajira...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Spare Kahama Garage – Suluhisho la Magari Yako Hapa Kahama

    Jerry Spare Kahama Garage ni kituo cha kisasa cha matengenezo ya magari na mauzo ya vipuri halisi, kilichoanzishwa kwa lengo la kutoa huduma bora na za kuaminika kwa wamiliki wa magari mkoani Shinyanga, hasa katika mji wa Kahama na maeneo ya jirani. Ikiwa unahitaji kutunza gari lako liwe katika...
  3. JamiiForums Tanzania Silage: Suluhisho Endelevu kwa Wafugaji wa Mijini na Vijijini Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, sekta ya ufugaji nchini Tanzania imekumbwa na changamoto nyingi, hasa uhaba wa malisho unaotokana na mabadiliko ya tabianchi, ongezeko la watu, upungufu wa ardhi, na kushuka kwa uzalishaji wa mazao ya mifugo. Changamoto hizi zimeathiri sana wafugaji walioko mijini...
  4. JamiiForums Tanzania SHEBWA MASONRY CONTRACTION suluhisho pekee kwa Ujenzi makini

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  5. JamiiForums Tanzania SULUHISHO LA VITABU. TELL/WHATSAPP 0787728422

    HABARI 👋JIPATIE VITABU VYA AVIATION NA VYA PHYSICS KWA NJIA HII 👇 I have compiled an essential list of Physics and Aviation books that you need to explore. You can easily search for these topics using this chat bot 👉Karabo | Vitabu Dhahabu. Don’t hesitate to reach out about any of these genres...
  6. JamiiForums Tanzania Kula kula na kutapika katika bus Nini chanzo na suluhisho lake

    Kuna mtu kilometer 200 hatembei lazima apate njaa atake kula na biscuits na juice na tunda hazimtoshi yeye hutaka mayai,mahindi,samaki,kuku ,chipsu n.k Tatizo sasa wengine hutapika ukikaa naye seat moja utashuhudis..Nini chanzo cha Hali hii na victim yampasa azingatie Nini haswa
  7. JamiiForums Tanzania TRUMP asema hatofanya makubaliano na China isipokuwa Trade Deficit haijapatiwa suluhisho

    Rais wa marekani Donald Trump amesema President Trump says he will not make a deal with China unless the trade deficit is solved. https://x.com/spectatorindex/status/1909022166731141277?t=NKV8PAmCQhY4sLH63OopKQ&s=19
  8. JamiiForums Tanzania Mchezo wa derby kurudiwa sio suluhisho la haki

    Mchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la. Kama timu moja ilivunja kanuni kwa kukataa kuhudhuria mchezo husika, ipokonywe alama 3 na magoli matatu. Kama Bodi ya Ligi...
  9. JamiiForums Tanzania KITAAOLOJIA: Namna ya kusurvive hapo hapo ulipo, VETA sio suluhisho, pesa ipo hapo hapo ulipo

    Hellow wakuu Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo Ipo hivi.. Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
  10. JamiiForums Tanzania Kujua kama mpenzi wako ana uume mdogo au la, njoo ujifunze hapa kimya kimya bila ugomvi

    Jana nimekaa zangu home mara akaja binaadam na stori zake za town Binaadam: unajua money penny, naona wadada wengi wanalalamika kibamia kibamia kwa wanaume zao, ila shida ni moja hawajui kuwapima size ya mwanaume akiwa hajatembea nae Money penny: upimaji huo ndio ukoje Binaadam: wanawake wote...
  11. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi inatafakari uwezekano wa kuzishusha daraja zote Simba na Yanga

    Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini. Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli huu ukizingatiwa, basi suluhisho la kugombania Jerusalem na Dome of the Rock itapatikana

    Nasihi tumia dakika 7 tu za urefu wa video hii utapata ukweli wote. Halafu ndiyo utajua kwanini waarabu wa Saudi Arabia wakiongozwa na MBS wameanza kuyasitukia magundisho ya Quran na Sunnah zake kuwa ni kikwazo cha maendeleo na ustawi wa jamii za binadamu...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi ndo suluhisho kwa wanandoa

    hizi zinaitwa chastity belts ni za medivial period (zama za Kati) zilikua zinatumika kama njia ya kudhibiti uaminifu wa wanawake ili wasichepuke lakini pia, baadhi ya wanahistoria wanaamini kuwa madhumuni yake makuu yalikuwa kuwakinga wanawake dhidi ya ubakaji wakati wa vita na safari...
  14. JamiiForums Tanzania Hii inaweza kuwa suluhisho la mwendo kasi kwenye maeneo yasiyoruhusiwa bila kubagua

    Tazama video
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Kidigitali Sekta ya Utalii: Benki ya Exim Yazindua Suluhisho la Malipo ya Kisasa katika Z-Summit 2025

    Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mh. Mudrick Soraga (kulia), akimsikiliza Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Shani Kinswaga, wakati wa kongamano la Z-Summit 2025 lililofanyika katika Chuo Kikuu cha SUZA, Zanzibar. Kongamano hilo la kila mwaka, lililofanyika kuanzia...
  16. JamiiForums Tanzania Ajali Manga -Segera : Camera ndio suluhisho au Mashimo ya TANROAD?

    Barabara ya Dar -Arusha kuptia Tanga kuna ajali nyingi ambayo madera wanachangia kiasi kidogo ila kwa sehemu kubwa ni mamlaka inayosimamia barabara. Maeneo ya Tengwe, Kwankale, Changombe,Kabuku Kwedukazu, Chogo Stand , Msambiazi , Manga na Segera kuna mashimo , kuna kona ambazo magari makubwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hili ndio suluhisho la mgogoro wa Congo na Rwanda, kati ya Kagame na Tshisekedi

    Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua. Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi itapigwa kura ambapo viongozi wataoongoza mkutano huo ndio watapiga kura kuchagua chaguo moja ambalo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania RAIS MSTAAFU MH JAKAYA MRISHO KIKWETE ALILENGA KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU ILA RWANDA WAKASHUPAZA SHINGO

    Sikiliza mwenyewe kupitia hii link https://x.com/EggleVuvu/status/1885185539365564674?t=eqx2xm8OPAYKondHhO_7DQ&s=08
  19. JamiiForums Tanzania Suluhisho la Kudumu la Mgogoro wa Maziwa Makuu (Rwanda, Congo et al) ni kutenga na kupata nchi ya hao waliopo hapo sasa (North Kivu)

    Kwanza kabisa mimi sio Mtaalamu na baada ya kuangalia kwa haraka matakwa ya pande tofauti nimeona ni vigumu sana kwa upande mmoja kukubaliana na matakwa ya upande mwingine kutokana na usalama wao na kutokuaminiana; Hivyo Suluhisho pekee ni hapo katikati kuwepo na nchi ya hao waliomo. Kwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Bulb zako za LED zimeungua? Usitupe, suluhisho limepatikana!

    Bulb za LED Zimeungua? Usitupe – Tunazitengeneza! Taa zako za LED zimeungua na hazifanyi kazi tena? Hapa ndipo suluhisho lako linapatikana Tunatengeneza bulb za LED zilizoungua na kuzifanya kuwa mpya tena. Hakuna haja ya kutupa! Tunatoa huduma ya haraka na ya kuaminika, na taa zako zitakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…