Kiongozi wa dini maarufu mtandaoni, @prophet_nicolaus_suguye , hivi karibuni aliandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram akihimiza maombi kwa taifa na mihimili mitatu ya dola, akidai kuona dalili za kuondoka kwa viongozi wakubwa. Ujumbe huo umeibua mjadala mkubwa miongoni mwa wananchi...