suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Lilikuwa ni suala la muda tu. Sasa hivi yu kiganjani mwangu

    Zamu yangu ya kutesa imewasili. Binti flani hivi rangi ya chocolate, mwenye macho fulani hivi ya huruma, mtu wa kujishughulisha sana mara nyingi nalimuona katika hali ya u-busy, hakunipatia salamu tena tokea ile siku niliyomsifia kuwa anavutia Basi bhana, kwa kuwa nilikosa muda wa kuonana naye...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Enyi wazazi mliozidiwa urefu na watoto, mnadeal nao vipi kwenye suala la adabu / discipline?

    mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
  3. JamiiForums Tanzania Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na bidhaa za mtandaoni

    USALAMA WA MTANDAO NI MUHIMU KWA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAHUNDI Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Suala la GSM kudhamini baadhi ya timu za Ligi Kuu liangaliwe upya, linajenga mazingira hasi na kupunguza ushindani katika ligi

    Jana nimeona kwenye kombe la xecafa singida Black stars wamevaa jezi zenye nembo ya GSM, huyo GSM ndio mdhamini wa Yangq, lakini timu kama Coastal Union, Namungo zina udhamini kama huo. Kwa mazingira ya kibongo hili jambo lina ukakasi sana. Kwa nchi zilizoendelea ambazo zinajali...
  5. JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda aapa kutotoa vibali vya kuagiza sukari

    Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi. Profesa Mkenda amesema hayo leo Agosti 30 jijini Dodoma wakati akizindua ripoti ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi ya mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe Suala la Usajili wa Chama ni sehemu ya biashara yetu

    Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua wengi wanatamani kujua Chama ataonekanaje na jezi ya Yanga. Hapo ndipo tunalenga kuuza usajili huu"...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kila nikiangalia hizi picha nabaki kuwangaa CHADEMA lia lia kuhusu suala la Msigwa

    Wanasiasa ni ngumu sana kuwaamini na wanashangaza
  8. JamiiForums Tanzania Suala la Chama kwenda Yanga ( KIROHO)

    Words are instrument of creation. Maneno yanaumba. Kwa muda wa miaka minne mashabiki wa Yanga wamekuwa wakisema " Chama kasajiliwa Yanga, Chama kasajiliwa Yanga" Hatimaye Chama kasajiliwa Yanga kweli. Kwa miaka yote hiyo wakati mashabiki wa Yanga wakisema " Chama kasajiliwa Yanga" hawakuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

    Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania. kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
  10. JamiiForums Tanzania Moja ya mambo yaliyonifanya nichukie awamu ya tano ni suala la utekaji. Hata kama wakosoaji ni wapumbavu basi usitumike upumbavu kukabiliana nao.

    MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Suleiman aliwahi kusema, Mhubiri 7:17 [17]Usiwe mwovu kupita kiasi; Wala usiwe mpumbavu; Kwani ufe kabla ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wazazi wa kiafrika wanaakili tofauti kabisa na wazazi wa kiyahudi kwenye suala la uchumi wa mtoto.

    Kitabu cha kiyahudi Tanakh au Miqra kinatoa siri kubwa kwa familia zao kuhusu Uchumi. Baba huwa anapoingia kutafuta huwa anatafuta kwa sio tu kwa ajili yake bali kwa ajili ya wajukuu na vitukuu. Anaandaa mifumo kuhakikisha anaacha utajiri mkubwa kwa ajili ya watoto na wajukuu. Mithali 13:22...
  12. L

    JamiiForums Tanzania China yalivalia njuga suala la kutoa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana wa Afrika

    Ushirikiano kati ya China na Afrika katika elimu na mafunzo ya ufundi stadi ni muhimu sana na kwa sasa unaonekana kudumisha kasi nzuri, vilevile umeendelea kustawi kwa pande zote. Kupitia ushirikiano huu vijana wengi wa Afrika wananufaika katika masuala ya ufadhili wa masomo na kuja kusoma...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Suala la usajili wa wa Clatous Chama limedhihirisha kuwa vyombo vya habari vya michezo nchini ni waongo na hawana uwezo wa kuchunguza na kupata ukweli

    Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala sio wachambuzi au wachang'ombe feki hapa nchini. Hebu fikiria ndipo uone kuwa vyombo vya habari...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Je naweza kukopesheka, ni suala la kujivunia?

    Kukua kiuchumi kuna kanuni zake. Na moja ya kanuni hizo ni kutokuwa na madeni yanayokuumiza. Nimesikia hivi karibuni mtu mmoja anasema yeye bado anakopesheka na hivyo kusherehekea kwa bado ana sifa hiyo. Je, kukopesheka ni suala la kushabihikia? Asante
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania na Wakenya katika suala la uzalendo kwa nchi zao!

    Nawalinganisha kama ifuatavyo: 1. Viongozi Kenya inaweza ikawa na viongozi wengi wabinafsi, sema wanathibitiwa na Katiba yao imara. Tanzania imeshawahi kuwa na wazalendo wachache kama hayati Nyerere, Magufuli na Sokoine. Kwa sasa, kuna Tundu Lissu, Jerry Slaa, Joseph Warioba, n.k., lakini...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamati ya Bunge yagawanyika suala la Mpina na Bashe

    KUINA Tetesi zinazoendelea kuwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili waliopewa jukumu la kumshughulikia Mpina wameanza kugawanyika wengine wakidai Mpina hana kosa lolote na hajavunja Sheria wengine wanadai kwa kuwa Spika ndiyo amewapa hiyo kazi ni lazima waimalize. Pia kuna tetesi kuwa baadhi ya...
  17. JamiiForums Tanzania ATCL na TRC ni suala la Muda tu kurudi tulikotoka

    Mnavyoshangaa maandamano ya Kenya kupigania maslahi ya Taifa lao, Wakenya nao wanawashangaa ambavyo hamuandamani kupigania Maslahi ya Taifa lenu! Hayo Mashirika mawili kuzikwa au kujizika ni suala la Muda tu! ATCL kutoka Dar to Mpanda ni Tsh 700,000/= ambayo kiuhalisia ni sawa na nauli ya DAR...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana ndo maana tunakuwa wagumu kuwaamini katika suala zima la madaraka! Mkipata hela mnachowaza ni kufungua zipu! Ona sasa!

    Tuseme huyu ndo kiongozi kapewa ofisi na account ya benki ya kampuni
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kufuatia suala la RC wa Simiyu, Kuna haja ya kuangalia upya umri wa wasichana kushiriki ngono kisheria. Tutafungwa wengi.

    Watoto wa kike wa sasa hivi si sawa na zamani, macho yao yako juuu juu kama wapiga debe wa stendi. Wako kwenye sare za shule lkn mishe yao ya kingono si ya kitoto. Kwa mfano huyo msichana alikuwa anafanya nn kwenye gari ya RC manane ya usiku? Unadhani alilazimishwa kuwa humo? After all, kwenye...
  20. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi Wizara ya Afya inavyo weza kushirikiana na Hospitali Binafsi na Wadau wa Afya kuleta ufanisi katika suala la Bima ya Afya

    Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano dhahiri wa kuonesha kwamba kuna changamoto katika kuandaa mikakati ya kuboresha mfumo wa bima ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…