suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari kati ya Hussein Mwinyi na Othman Masoud. Hawaelewani kuhusu suala la Muungano

    ..Othman Masoud anamuona Hussein Mwinyi kama mateka asiyeweza kuitetea Zanzibar, hadhi, maslahi, na haki zake. ..Hussein Mwinyi anamuona Othman Masoud kama mchochezi asiyetaka Wazanzibar wawe kitu kimoja. Msikilize Othman Masoud hapa chini. Hussein Mwinyi amejibu hapa.
  2. JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni suala la muda tu, nilijua lazima Harmonize atusue kwenye hii game

    Kuna watu tumejaliwa vipaji fulani vya kusoma alama za nyakati na kutabiri mambo yajayo. Zaidi ya miaka miwili nimekuwa nikimfuatilia huyu mwanamziki Harmonise tangu ajitoe kwenye label ya WCB. Na kiukweli kabisa matendo yake na attitude yake ilinifanya nione uwezekano mkubwa wa huyu mtu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Suala la Wabunge 19 ni la kupuuzwa. Tunatolewa kwenye mijadala muhimu kwa Taifa

    Hivi hawa wabunge waliofukuzwa na CHADEMA wakifukuzwa bungeni na kuingia wengine 19 ,Taifa kama Taifa tunafaikaje ? Hivi Nguvu na akili tunazopeleka huko kwa hawa wabunge hatuwezi tumia kujadili mambo mengine ya Msingi ? Kama Spika wa Bunge na serikali kwa Ujumla hawaoni umuhimu wa kulimaliza...
  4. JamiiForums Tanzania Book Keeping, Commerce na Economics yawe masomo ya lazima ili vijana wajiajiri

    Duuuu ni ngumu sana kuelewa watu wa Serikali kusisitiza watu wajiajiri; lakini walau watu hawajengewi mentality ya ki business. Kwa Tanzania yetu mandatory subjects yangekuwa: • Book Keeping • Commerce • economics • Computer Studies Imagine wale F.4 wanaomaliza wakiwa na Div. 0 / IV na hawana...
  5. JamiiForums Tanzania CRDB Bank hili suala halijakaa sawa

    Habari Wakuu! Leo katika harakati za kuweka mambo sawa nilienda Bank CRDB Bank main customer service desk pale nikakuta kuna mteja anataka kufanya account activation coz ilikuwa dormant sasa akawa hana kitambulisho ila ana copy tu ya kitambulisho cha Taifa. Ikabidi wale wadada wamwambie ni...
  6. JamiiForums Tanzania Mkitaka kufurahia, kuepuka kuuana na kupendana kwa dhati msiwape hela

    Nlianza na huu utaratibu baada ya kugundua kumbe tunapofanya mapenzi na mademu nao wanasikia utamu sana tu. Miaka ya nyuma nlidhani ni sisi tu wanaume...nlipoanza kugegedana na nikapata uzoefu nligundua wote tunapata utamu. Nliona wakati mwingine baby anadai kabisa kuwa ana wazungu...
  7. JamiiForums Tanzania Mabaharia wana umuhimu gani katika uokozi na usalama majini?

    Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawaziri wanemwachia Waziri Mkuu suala la Ngorongoro! Kiti chake kipo salama tuendako?

    Kwa mtizamo wangu suala la Ngorongoro ni suala la sekta au Wizara na siyo suala linalopaswa kusimamiwa Moja Kwa Moja na Waziri Mkuu. Ni suala lenye dynamics nyingi zikiwemo zinazoweza kufifisha Imani ya mataifa mbalimbali dhidi ya utawala uliopo madarakani. Ni suala linalofifisha ndoto za Mhe...
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Suala ya wazalishaji mafuta ya kula kufutiwa 'VAT' linahitaji wataalamu

    Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande amesema Serikali inafanya tathmini ya hatua mbalimbali zinazopaswa kuchukuliwa kwa kila Sekta ili kukabiliana na athari zinazotokana na Hali ya Kisiasa ikiwemo Vita ya Urusi na Ukraine Ameeleza hayo baada ya Mbunge Nancy Hassan Nyalusi kuhoji ni hatua...
  10. JamiiForums Tanzania Suala la COVID-19, Rais Samia anaigiza?

    Ujue kuna mambo mengine ya ajabu sana hasa kwa mtu anayetumia akili vizuri kutafakari mambo. Juzi Rais Samia akiwa Kagera alihimiza kuhusu kichukua tahadhari zote za COVID-19 na akaenda mbali kuwataka wananchi wachanjwe. Leo ameonekana Oman akiwa hajavaa barakoa na anashikana mikono na watu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania ITV wame suggest wanaopotosha suala la Loliondo wapewe kesi ya uhujumu Uchumi...

    ITV baada ya kutokea sekeseke la Loliondoa waliuliza swali kwenye kipima joto kuwa "wanaopotosha" suala la utiaji mipaka Loliondo wapewe kesi ya uhujumu uchumi..?🤣🤣 Hivi jamani hata tuki assume ni kweli wanapotosha, wapewe kesi ya uhujumu uchumi? Hii kesi si haina dhamana? ITV ombeni radhi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na suala la Ngorongoro. Tunaweza tukaharibu umuhimu wa kufanya filamu ya Royal Tour na tukaathiri sekta ya utalii

    Serikali kuweni makini sana na Hili Jambo.Mimi kama mwana CCM na Mtanzania,naweza kusema hili jambo mlimalize kwa ustaarabu Mkubwa. Mnaweza mkawapa maadui wetu kutusemea vibaya,na mwishoe Watalii wakaogopa Kuja Tanzania.Serikalini kuweni makini sana nawahusia. Tumetumia gharama kufanya Filamu...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaupiga mwingi Sana katika suala la ajira na Mambo mengine

    Jamani kama mtu anafanya vizuri kwanini tusimpongeze? Binafsi bado sijapata ajira ya serikali lakini nina matumaini makubwa kuwa Mambo yatarudi kama zamani. Sasa hivi ajira zinatangazwa utumishi, halmashauri mbalimbali n.k. hii itasaidia kupunguza ugumu wa maisha kwani mzunguko wa pesa utakuwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wito: Mamlaka ya Nidhamu ya Kenani Kihongosi ipeni hadhi UVCCM juu ya suala lake la ufisadi, ni doa sugu.

    Kwa Sasa Kenani Kihongosi ndio kiongozi wa juu wa UVCCM kulingana na sera ya CCM ya mtu mmoja cheo kimoja kwa kuwa aliyekuwa Mwenyekiti kwa Sasa ni DC na Makamu Mwenyekiti ni waziri wa SMZ hivyo kwa nafasi yake ni Kama anahudumu kwa nafasi zote za juu za UVCCM hivyo suala la kinidhamu na...
  15. JamiiForums Tanzania Haya ndio mazungumzo kati ya wana CHADEMA na Rais Samia. Haya ndio madai ya wana CHADEMA kwenye suala zima la maridhiano

    Wanabodi, Hivi karibuni, wana CHADEMA kadhaa wakiongozwa na mwenyekiti wao Freeman Mbowe, walifanya mazungumzo na Rais Samia Ikulu katika kuhakikisha kwamba kuna maridhiano kati ya serikali na vyama vya upinzani. Kwa CHADEMA, maelewano haya yanaweza yakawa na manufaa makubwa lakini kwa kundi...
  16. JamiiForums Tanzania Hatimae sasa hoja zote za upinzani zinajibika ‘With high confidence and logic’ ikiwemo suala la Katiba

    Ujue tatizo la hoja ni kwamba haifi hadi amma ijibiwe, au ikubalike na kufanyiwa kazi. Huo ndio uzuri au ubaya wa hoja.Hoja haifi kwa kumpiga ngumi mtoa hoja. Nyuma hapo, kuna kipindi ambapo yalikuwa yanajitokeza mambo ambayo kwa mtu mwenye busara na akili ya wastani tu, kusimama hadharani...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Simba kupigwa faini na CAF limekwisha na maisha lazima yaendelee

    Tuna tatizo la kujadili mambo mabaya na kuacha mazuri. Ni kweli lile ni kosa na limeshafanyika na Simba imeshapigwa faini limekwisha na kama kujifunza tumejifunza. Kuna mambo mengi sana kwenye soka la Afrika. Ila hatupaswi kuiga mambo mabaya. Kosa limeshatokea na tumeadhibiwa kwa kosa hilo...
  18. JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu Fiston Mayele ataanza kuonekana Mchezaji wa Kawaida na Chukizo kwa wana Yanga SC wote

    Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili (Mtanzania) wa Saluni yake Kubwa Magomeni Mapipa itamtesa mno Mayele na kumtesa zaidi Kisaikolojia.
  19. JamiiForums Tanzania Suala la elimu na kipato cha mwanamke na machungu kwa wanaume.

    Habari Ikiwa kutafuta elimu ni lazima kwa kila mwenye akili, hawa wanaume wasiojiamini wanapata wapi ujasiri na hofu wa kuogopa wasomi.?? Ni wazazi wangapi wenye mabinti wamewaandaa mabinti zao kuwa mama wa nyumbani kwa kuishia darasa la saba na kidato cha pili? Naona idadi ya wanaume inazidi...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala hili . Athari zake ni kubwa kwa Taifa zima. Leo mimi ngefungwa tu kwa kweli

    Nimekuja kunywa chai hapa kwenye Hotel. ni sehemu tuilivu na ya kuheshimika. nimemwagiza mhudumu kaniletea nilivyohitaji nami nikanywa nikajisikia sasa nipo vizuri kushika njia kwenda kuangalia namna ya kuweza lijenga taifa. nimemwita aniletee chenji yangu. Hapo ndo ameanza chenga ambazo hazina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…