stress

In linguistics, and particularly phonology, stress or accent is the relative emphasis or prominence given to a certain syllable in a word or to a certain word in a phrase or sentence. That emphasis is typically caused by such properties as increased loudness and vowel length, full articulation of the vowel, and changes in tone. The terms stress and accent are often used synonymously in that context but are sometimes distinguished. For example, when emphasis is produced through pitch alone, it is called pitch accent, and when produced through length alone, it is called quantitative accent. When caused by a combination of various intensified properties, it is called stress accent or dynamic accent; English uses what is called variable stress accent.
Since stress can be realised through a wide range of phonetic properties, such as loudness, vowel length, and pitch (which are also used for other linguistic functions), it is difficult to define stress solely phonetically.
The stress placed on syllables within words is called word stress. Some languages have fixed stress, meaning that the stress on virtually any multisyllable word falls on a particular syllable, such as the penultimate (e.g. Polish) or the first (e.g. Finnish). Other languages, like English and Russian, have lexical stress, where the position of stress in a word is not predictable in that way but lexically encoded. Sometimes more than one level of stress, such as primary stress and secondary stress, may be identified.
Stress is not necessarily a feature of all languages: some, such as French and Mandarin, are sometimes analyzed as lacking lexical stress entirely.
The stress placed on words within sentences is called sentence stress or prosodic stress. That is one of the three components of prosody, along with rhythm and intonation. It includes phrasal stress (the default emphasis of certain words within phrases or clauses), and contrastive stress (used to highlight an item, a word or part of a word, that is given particular focus).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  2. Hakuna mwanaume mwenye stress kama aliepata ajali ya kondomu kupasuka 😂

    Afu demu awe mcharuko asee unaweza kupungua kilo 2 kwa kila saa. 28 huna mke hujaoa unasubiri nini? Malaya wengi wameongua na hao hao wa mtaani ndio wanaojipanga ikifika usiku. Kwanini usiende zako kagera ukachukua zako mtoto wa kitutsi ukaenjoy bila stress Mwisho, wito kwa serikali wazuie...
  3. R

    Hivi ni wimbo gani ukikuta na stress unaweza ukalia mpaka ukalia tena

    Wimbo unaonifanya kuwaza na kulia tena juu ya matatizo yangu, nikifikiria namna jamii mtazamo wa jamii, ndugu na familia kuwa chanzo cha mimi kusita kufanya maamuzi fulani au chuki yao kwangu kuniumiza The last great american dynasty- Huu wimbo kaimba Tyler Swift na kutolewa 2020, Ni wimbo...
  4. Mimea ina toa sauti ikiumia, ikikosa maji au ikiwa na stress, sauti yake ipo katika ultrasonic

    ‎Mwaka 2023 watafiti kutoka Tel Aviv University walifanya majaribio kwa mimea, Walichukua mimea kama nyanya na tumbaku, wakaweka vifaa vya kurekodi sauti zisizosikika kwa masikio ya binadamu, waliweka karibu na mimea hiyo. Kisha baadhi ya mimea waliiacha katika hali ya kawaida, lakini mingine...
  5. Ulishawahi kupata stress?

    Binafsi nikiwa na huzuni inaniletea sonona sijui huwa ni kwanini najisikia hivi, kitu kikinikosesha raha kabisa nawaza sana mapigo ya moyo yanaenda kwa kasi kila nikifikiria upya! Mbaya zaidi inanipelekea nakosa hamu ya kula, hata nikila naonja onja tu,napata homa ya ghafla, sijisikii kuongea...
  6. Usijipe stress kama kila siku unapata hizi items 5 wewe ni tajiri Money is an illusion

    Money is an illusion kama kila siku hizi items 5 unazipata wewe ni tajiri usijipe stress.
  7. Arsenal wananipima uwezo wa kuhandle stress au?

    Naona dalili zote za kupata pressure. Yaani vitu vingine unaweza ukalia. Okay muda bado upo ngoja tuone.
  8. Tupunguze stress

    Tupunguze stress na hii Ugali na nyama choma pili pili kwa uwingi ivyo apo kimekosekana nini mtindi upo ongezea kingine
  9. Hakuna stress ya milele

    Kwenye Maisha hata kuwe Kuna Jambo gumu Kwa MDA gani lazima litaisha na litapita. Amini katika mchakato na Nguvu kuu (MUNGU) Kwenye haya Maisha kila mtu hupitia changamoto zake na mara nyingi changamoto hizi hutofautiana. Lakini katika asilimia kubwa ndugu hufelisha Sana mipango Ila hakuna...
  10. Kama una Stress zako tafadhali Kula Chuma hiki ziondoke

    Kudadadeki.............. Shikamooni Wakongo.
  11. Stress zimemzeesha Gwajima ndani ya kipindi kifupi sana

    Kapoteza kabisa nuru, kasinyaa na kukunjamana sura kwa uzee wa msongo wa mawazo, ubishi na chuki dhidi ya viongozi wasio wakristu hususani waisilamu. Analazimisha ujasiri ambao kimsingi hana hata kwa kutazama tu body language na tone yake, badala yake kajawa chuki, hasira na kiburi kupindukia...
  12. Wengi wetu humu JF tunaunga unga sana ni basi tu maandishi yanatufanya tuonekane wamoto na sio kitu kibaya maana tunakuja kupunguza stress humu

    Kuna wakati nilijua kila mwana JF anaendesha crown na harrier. Mkate wananua mlimani mall tu Pia nilijua kila demu ni slay queen na matipwa tipwa, Nilijuaga members wote humu wamesoma zile shule za "dont touch me" maana majina yao karibia wote ni ya lugha ya malkia elizabeth. Nilijihisi niko...
  13. Tujikumbushe alichosema Rais Samia kuhusu wanasiasa wenye "Stress" za 2025

    Wakuu, Wakuu nakumbuka Rais Samia akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO - 19 alionya kuhusu watu wa Serikalini ambao walikuwa na fever ya Uchaguzi
  14. G

    TechBros,Freelancers Mnaweza kuwa na Productivity Setup kwa 1.5M Tu. Acheni kujipa STRESS

    Watu wengi wanadhani Productivity ni kuwa na Setup yenye makorokoro mengi Ni vizuri ila anza kulingana na Budget yako Picha kwa Hisani ya Pinterest Mfano: nina 1.5m Naanza na👇🏾 ❍ Kiti → Budget: 200,000 TZS Facebook marketplate na IG vipo kibao Ex-UK ❍ Desk → Budget: 150,000 TZS. Chukua...
  15. K

    Kumbukizi: Dkt. Samia - yanayosemwa sasa ni stress za urais 2025 na 2030

    Profesa wa siasa Samia Suluhu Hassan aliyaona haya mapema. Hapa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO - 19 tarehe 04 Januari, 2022 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
  16. Badala ya kutoa stress na pombe kila wiki, hio hela katembelee mbuga za wanyama

    kwa wale wapenda maji, nawashauri mjipe likizo mara moja mtumie izo hela kwenda mbugan ama kupanda mlima pia mnakuza vitambi sana
  17. App hii inakusaida kuongezea Faida na Kuboresha Ufugaji Wako Bila Stress !!

    Kama ushawahi kujiuliza kwamba kuku mmoja anakula kiasi gani akiwa na umri gani,basi Fuga app itakupa majibu yote kuhusu ratiba ya chakula,kila siku . Hautopoteza tena chakula wala kuwapunja tena kuku wako Download Fuga app playstore [ Fuga - Apps on Google Play]
  18. Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

    Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji. Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa...
  19. E

    Walimu wa English Language na Literature wenye GPA ya 3.8 fanyeni Masters za Linguistics/Literature Kuna uhaba.

    Wakuu nimekuwa nikifanya utafiti wa kwenye masomo husika naona hakuna wataalam juu sababu ni kwamba walio juu hawataki wenzao kufika huko hasa ndugu zetu wa Mlimani. Ushauri wangu soma vyuo hivi: 1.MA in Linguistics SAUT Mwanza (Evening/Weekend mode)- Ukiwa lake zone. Ada M 5,56660 Total...
  20. C

    No election, NO STRESS!

    Wangepitishwa waliopo tuwaze mengine. Hatutak stress
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…