stendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

    CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha. Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni...
  2. Swali ilipo Stendi mpya ya Mbezi

    Ninasafiri kesho asubuhi sana. Je, nikipandia daladala za Mbezi hapa Ubungo Riverside nashukia kituo gani huko Mbezi? Je, Daladala zinazitokea Buguruni na Mbagala kwenda Mbezi zinaishia stendi ya Magufuli/Mbezi? Pana umbali gani kutoka stendi ya daladala Mbezi mwisho hadi stendi ya Magufuli...
  3. Z

    Kariakoo imehamia Stendi ya Magufuli, Mbezi Louis

    Kwa mara ya kwanza leo hii nimefika stendi mpya ya Magufuli, hakika inastahili kubeba heshima ya Jemedari wetu Dr. JPM, nimeshuka tu nilidhani nimefika South Africa! ni nzuri sana na kubwa, ya kisasa! Movements niliyoiona ni kama vile Kariakoo yote imehamia Mbezi! Stendi hii imebadilisha kila...
  4. Stendi mpya ya mabasi ya Magufuli haikuwa tayari kuanza kutumika

    Habari za muda huu na ni matumaini mko wazima wa afya. Straight to the matter, hiki kituo kipya cha mabasi ya mikoani hapa Dar es Salaam yaani Magufuli Bus terminal hakikuwa tayari kuanza kutumika. Ilitakiwa kipewe muda kidogo ili kiwe sawa. Leo nimefika toka Morogoro muda huu kwa mara ya...
  5. Wapiga debe 30 wakamatwa stendi ya Magufuli

    Wapiga debe 30 wamekamatwa katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli kilichozinduliwa siku mbili zilizopita na Rais John Magufuli. Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Februari 26,2021 Meneja wa kituo hicho, Maira Mkama amesema wapiga debe waliokuwa Ubungo, Riverside na Mbezi wamevamia na kusababisha...
  6. R

    Maswali kuhusu matumizi ya stendi mpya ya mabasi Mbezi (so-called Magufuli)

    Kuna tangazo linasema safari zote zitaanzia stend mpya Magufuli. Tangazo linazidi kusema mabasi makubwa wakodishe mini bus kuwasafirisha abiria kuwaleta stend mpya au wawaelekeze abiria kuja Mbezi. Sasa swali: 1. Anayekwenda Mtwara na yuko Mbagala, naye aje Mbezi? maana tangazo linasema stend...
  7. K

    Maelekezo aliyotoa Rais Magufuli Mbezi Louis ni porojo za siasa, nashusha hoja

    Sikubaliani asilani na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wake akizindua kituo cha mabasi huko nyumbani, Mbezi Louis lililopewa jina lake. Kwanza Magufuli amesema Stendi hiyo ni ya Kimataifa (International Bus Stop) ambapo mabasi yatafika hapo na abiria kutoka mataifa mbalimbali. Magufuli...
  8. J

    Kituo cha mabasi ya mkoani Mbezi Louis chakamilika, kufunguliwa rasmi 25/02/2021, Ubungo kufungwa rasmi Jumatano

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Kunenge amesema Jumatano hii ndio siku ya mwisho kwa kituo cha Ubungo kutumika na kuanzia Alhamis kituo kipya cha Mbezi kitaanza kutumika. Naye kamanda Mambosasa amesema wapiga debe wa Ubungo hawatakiwi kuonekana stendi mpya ya Mbezi na kwamba stendi hiyo...
  9. L

    Tahadhari: Msilipue ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Mbezi Louis

    Baada ya muda mliopewa kwisha jana tarehe 30/11/2020, na ujenzi kutokukamilika bado unaendelea japo kuwa nje ya agizo la Mh. Rais. Ushauri wangu ni kuwa msilipue kazi bora kuomba muongezwe muda kuliko ku-force halafu mwishowe mkaharibu au ubora ukapotea. Hiyo ni stendi ya kimataifa ni sawa tu...
  10. Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

    Frem ya mita 3 kwa 4 ni milion 5 kwa kodi ya mwezi. Hiyo hapo ni kwa ajili ya E.MONEY shops(uwakala) sijui mtu atafanya biashara kiasi gani kuweza kupata kiasi hicho cha kodi,mshahara wa mfanyakazi/kodi za serekali, faida n.k Picha ya tatu ni mita za mraba 42 eneo la cafe na fastfood bei ni...
  11. Dar: Kuanzia Novemba 30 Mbezi Luis Terminal itaanza kutumika rasmi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na mabadiliko ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani. Kuanzia Novemba 30, 2020 mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani yataanza kutumia kituo cha Mbezi Luis na sio Ubungo kama ilivyo sasa...
  12. Rais Magufuli na Rais Chakwera waweka jiwe la msingi Kituo Kikuu cha mabasi Mbezi, Rais Magufuli ataka Wakandarasi walipe fidia ya kuchelewesha mradi

    Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam. === MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
  13. Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

    Mhe. Rais Magufuli inatosha, wapinzani watakufa kwa presha jamani. Millard Ayo aimulika kila kona, angalia hapa. Kadi za CCM zipo kila shina, mwone kiongozi wa shina katika mtaa wako
  14. J

    TABOA: Stendi za mabasi ya mkoa na daladala wawepo wasafiri pekee wafanyabiashara waondolewe kupunguza msongamano

    Katibu mkuu wa chama cha wasafirishaji abiria (Taboa) ndugu Mrutu ameiomba Tamisemi kuhakikisha vituoni wanabakia wasafiri tu ili kupunguza msongamano nyakati hizi za majanga ya Corona. Mrutu amesema hata kwenye vituo vya daladala mfano Makumbusho kuna msongamano mkubwa sana wa watu lakini...
  15. J

    Hatimaye ujenzi wa stendi ya mabasi (Mbezi Luis) yaendayo mikoani yaanza kujengwa

    Halmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa ya ubungo zimeanza kusimamia kisiasa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani. Kituo hiki ni mbadala wa kile cha ubungo. Source Clouds 360 Maendeleo hayana vyama!
  16. Stendi kuu ya mabasi Dodoma kwenda Ihumwa

    Wakuu naomba kufahamu nauli ya Kutoka Stendi kuu ya Mabasi Dodoma kwenda Ihumwa (Mji Mpya) Ni shilingi ngapi? Na pia nahitaji kujua Umbali wake. Tafadhali sana nahitaji msaada wenu wakuu.
  17. Muonekano wa stendi mpya ya mabasi itakayojengwa Mbezi Luis - Dar

    Maradi huo unatarajiwa kugharimu kiasi cha Shilingi za Kitanzania Bilioni 50.9 mpaka kukamilika kwake Hata hivyo Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jaffo ametaka apewe taarifa kuhusu mpango wa ujenzi ndani ya siku 7 Endapo Halmashauri ya Ubungo itashindwa kufanya hivyo fedha hizo zitapelelwa...
  18. Ujenzi stendi mpya ya mabasi Mbezi Louis mbioni kuanza

    UJENZI wa stendi mpya ya mabasi yaendayo ndani na nje ya nchi katika eneo la Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam unatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa baada ya kumpata mkandarasi atakayejenga. Ujenzi huo unaotarajiwa kugharimu zaidi ya Sh Bilioni 50 za Tanzania, unatajwa kuwa mkubwa na wa...
  19. Stendi ya mabasi ya mikoani Ubungo kuhamishwa kupisha kituo cha mabasi ya Mwendo Kasi

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ipo kwenye majadiliano ya kuhamisha kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (UDART), kilichopo Jangwani na kukipeleka kwenye kituo cha Mabasi yaendayo Mikoani Ubungo (UBT). Hatua hiyo inatokana na eneo hilo la Jangwani kukumbwa na mafuriko ya mara kwa mara hali...
  20. Z

    Ujenzi wa stendi ya kisasa umeanza?

    Ujenzi wa stendi ya mabasi yaendayo mikoani ktk eneo la Mbezi mwisho jijini dsm ulitakiwa kuanza mwezi huu wa Julai kwa mujibu wa kauli ya uongozi wa jiji iliyotolewa mwaka jana, je ujenzi huo umeanza au umeahirishwa? Sababu iliyo nisukuma kujua jambo hilo ni kutokana na usumbufu mkubwa uliopo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…