status

A status symbol is a visible, external symbol of one's social position, an indicator of economic or social status. Many luxury goods are often considered status symbols. Status symbol is also a sociological term – as part of social and sociological symbolic interactionism – relating to how individuals and groups interact and interpret various cultural symbols.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

    Wakuu wa humu heshima yenu! Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania. So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko. Niko safarini, na...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiona mwanamke wako ana kuheshimu na kukutii kwa viwango vya juu basi tambua kuwa ameshindwa "kuku-manipulate". Haijalishi pesa au status yako

    Endapo mwanamke atajua ume fall crazily kwa muonekano, status, personallity yake, etc atahakikisha akuweke under control yake, kumaanisha kuwa hatakuheshimu kwa kuwa jembe tena kwa maana umeanguka mtihani wa yeye kucheza na akili yako. Tatizo ni kuwa wanaume tunakuwa naive sana katika maamuzi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuweka Audio Status Whatsapp

    Msaada tafadhali mwenye kujua
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna namna ya kublock unwanted tags za status kwenye Magroup?

    Mzuka wana Jamvi.. Siku hizi Wasap kumezuka mtindo wa hata watu ambao hamfahamiai nao kukutag kwenye grupu kuview status zao na mara nyingine bila hata kupenda na kutarajia unakuta unaview sasa wengine wanafanya Sifa wanatg kila mara , Sasa ningependa kujua kama Kuna namna ya kuzuia huu mchezo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sihukumu: mwanaume ku-post status 100 kwa siku?

    Habarini ndugu Wananzengo! Miongoni mwa vitu vinavyonishangaza na kunichukiza sana binafsi ni habits za wanaume kupenda ku post post status nyiiiiiiiingiii WhatsApp. Kwa nini inanichukiza? Kwa sababu usipo view, ama uki mute, more of them go angry with you. Au la, wanalalamika sana hali ambayo...
  6. JamiiForums Tanzania THE BATTERY CONNECTION ERROR PLEASE CHECK BATTERY STATUS

    Habarini wakuu naombeni mnisaidie mawazo ya kwanza kuna simu (smartphone?)imechajiwa hapa kwa mpaka imefika 85% galfla imestop yani haiingizi charge kila tukichomeka kwa chaja inaleta tu ujumbe huo juu
  7. JamiiForums Tanzania Kila siku status unapost wenzio wanaolewa we unaolewa lini?

    Habari Kuna hawa wadada ambao wao kila siku status unakuta anapost harusi za shoga zake wakati yeye bado wahuni wanapiga kisela. Najiulizaga sana uwa hawakai wakatafakari na kutamani nao waolewe kama wenzao au wameridhika na maisha ya uboyfrind na ugirlfriend? Dada acha kujichoresha mitandaoni.
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: High Court suspends Privileges & Immunities status granted to Bill and Melinda Gates Foundation

    President William Ruto and co-chair of the Bill & Melinda Gates Foundation Bill Gates at State House, Nairobi in November 2022. Photo I PCS The High Court has issued orders suspending the Bill and Melinda Gates Foundation's special Privileges & Immunities status pending the hearing and...
  9. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

    Ughonile., Kuna ile hali unasema yule mkaka/mdada nikitupia ndoano tu lazima anase lakini mwisho wa siku unapigwa kibuti kimoja saafi unabaki umeduwaa. Ukijitathmini unaona uko fresh kabisa, uko vizuri kiuchumi, handsome/mrembo, una kausafiri kako, unatokea familia yenye profile kubwa, msomi...
  10. JamiiForums Tanzania Uraia Pacha, Wanadiaspora Mshukuruni Rais, sasa mnatambuliwa rasmi kwa Special Status ya Diaspora Tanzanite Card, una enjoy baadhi ya Haki za Uraia!

    Wanabodi Ni juzi Ijumaa niliuliza humu Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga, leo nakutana na hii hoja, uraia pacha wetu jameni ndio huu!. Haya sasa ndugu zetu wana Diaspora, mliopoteza uraia...
  11. JamiiForums Tanzania Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

    Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani. Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa. Ila ikifika March 8, utashangazwa.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya contacts wanaweka status za Palestina sijawahi kuwasumbua, leo nimewka Status za Israel nimevamiwa inbox bila salamu

    Tangu mwaka jana October 7 Palestina ilipoivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1,200 kuna baadhi ya contacys zangu wamekuwa wakiweka status za kulipukwa na furaha Israel inaposhambuliwa na status za kuonyesha huruma Israel inapotoa dozi. Napenda sana kutazama status, lakini huwa nashangaa sana...
  13. JamiiForums Tanzania Alie jiposti status akiwa chini ya kifusi ameokolewa

    Usipoteze tumaini na Imani MOYONI mwako hii ndio hukupa nguvu ya kutokata tamaa. Mungu hutushindia tulio na tumaini na imani ili tuwe mashuhuda wa kati ya walikuwa na AMANI 🙏🏿 Mungu awalinde na awakoe kwa mkono wake wa ushindi ambao bado wanalotumaini katika mazingira ya kifusi na walioko...
  14. JamiiForums Tanzania STATUS ya makocha bora duniani

    Nini kimekushanga?
  15. JamiiForums Tanzania Low profile( Kuishi Kawaida/ Low status)

    Low profile( Kuishi Kawaida/ Low status) Kuishi hivyo Kuna uzuri wake na ubaya wake
  16. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaweka status WhatsApp ya kuachana na mtu ila si mimi

    Habari wakuu, Nimeamka leo nakuta mpenzi wangu kaweka WhatsApp wimbo wa Mboso uitwao Over akisindikiza na maneno na dhihaka za emoj za kuonesha anamwambia mtu ambae sio mimi. Kuna haja ya kuhoji?
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu status ya HESLB

    Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni wao wenyewe wata upload, ushauri tafadhali kwa wenye kujua kuhusu hili.
  18. JamiiForums Tanzania Applicant's Application Status Information: A-LEVEL/DIPLOMA SPONSORSHIP FORM Not Stamped.

    Habari zenu wakuu, kama inavyosomeka katika title hapo juu, hizo ni habari za mdogo wangu ambaye ameomba mkopo kupitia bodi ya mikopo kwa ajili ya elimu ya juu(heslb). Swali tunalojiuliza hiyo stamp inayohitajika ni stamp ya taasisi gani. Mwenye kujua tafadhali atujuze. Asante.
  19. JamiiForums Tanzania Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

    Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow? Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
  20. JamiiForums Tanzania Diaspora Watapata Lini hiyo Tanzanite Status?

    Tanzania ni nchi pekee katika ukanda huu yenye wivu wa juu sana dhidi ya raia wake kiasi kuwa hairuhusu raia wake wachukue uraia wa nchi nyingine yoyote. Nchi zote zinazoizunguka Tanzania zilishaona mbali kuwa dunia inabadilika haraka na zikawaachia raia wao kuchukua uraia wa nchi nyingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…