spika wa bunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Zungu: Ajira zipo na si kwa vijana tu, ajira zipo kwa ambaye yuko tayari kufanya kazi

    Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, amesema Tanzania imepata nafasi ya kuandaa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) utakaofanyika Agosti 5 hadi 9 mwaka huu jijini Arusha. Amesema, "Ajira zipo. Ajira zipo si kwa vijana tu, ajira zipo kwa yeyote aliye tayari kufanya kazi." Ameongeza...
  2. JamiiForums Tanzania Zungu: Kwanini Makampuni ya Simu hayauzi Hisa kwa Umma?, Serikali inapoteza Mapato mengi, TCRA na CMSA wahojiwe

    Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu (Mb), Juni 15, 2026, ameeleza Bungeni kuwa tangu Serikali ilipofanya marekebisho ya Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOKA) mwaka 2016, kampuni zote za simu zilitakiwa kuuza angalau asilimia 25 ya hisa zake kwa umma kupitia soko la hisa ndani ya...
  3. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Tanzania anaweza kufuta HANSADI za wapinzani au Mbunge mwenye bifu naye kibabe au chuki binafsi

    Ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika amepewa Mamlaka ya kufuta Mchango wa Mbunge yoyote alioutoa bungeni.. Anaweza fanya hivyo kwa chuki, ubabe, bifu, au kumfurahisha Rais aliyepo madarakani. Nashauri Sheria hii ifutwe kwani inaminya uhuru wa kujieleza.. Kama kuna...
  4. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Jacob Oboth-Oboth aapishwa kuwa Spika wa Bunge Uganda

    Aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Uganda Jacob Oboth-Oboth ameapishwa kuwa spika wa Bunge la 12 la nchi hiyo. Oboth aliteuliwa na chama tawala cha NRM, kuwania nafasi ya spika iliyokuwa na wagombea watatu na alipata kura nyingi kati ya kura 519 za wabunge waliopiga kura. Anachukua nafasi hiyo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Senegal ajiuzulu, aeleza ni kwa Maslahi mapana ya Taifa

    Spika wa bunge la Senegal ametangaza kujiuzulu nafasi yake, siku mbili tu baada ya mshirika wake wa karibu kufutwa kazi kama Waziri Mkuu, hatua inayozidisha mzozo wa kisiasa nchini humo. Uamuzi huo wa Spika El Malick Ndiaye unafungua njia kwa aliyekuwa Waziri Mkuu aliyetimuliwa, Ousmane Sonko...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kanuni za Bunge Zina Makosa?. Spika wa Bunge ni Bonge la Dikiteta! Uamuzi Wake ni wa Mwisho, Final and Conclusive, Hata Kama Sio wa Haki

    Wanabodi, Huu ni uzi wa kuelimishana, Uzalendo wa kweli wa nchi yako, ni pale unapobaini kuna makosa mahali, unakosoa, na kutoa ushauri namna ya kurekebishasha makosa hayo. Kwa muda mrefu, sisi humu tumekuwa tukilalamikia hoja mbalimbali kuhusu uendeshaji wa Bunge letu, ukiwemo udikiteta wa ma...
  7. JamiiForums Tanzania Bunge laagiza kikao cha dharura kujadili kupanda kwa bei za mafuta

    Spika wa Bunge, Mussa Zungu amemuagiza Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi kukutana na Kamati ya Bunge ya Nishati ili kujua hatma ya hali na mwenendo wa kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Zungu amesema kuwa bila mafuta upo uwezekano wa kukwama katika mipango mbalimbali ya nchi. Hayo yanajiri...
  8. JamiiForums Tanzania Spika wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf aangamizwa!!

    Ameangamizwa leo hii Mohammad Bagher Ghalibaf, Spika wa Bunge la Iran Watetezi wa Magaidi Adiosamigo mdogoee na Mmbeya wa JF zitto junior njoni mkanushe hapa tuone!!!!
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Spika wa bunge itisha bunge kujadili matatizo makubwa na ya dharula yanayoikumba nchi yetu

    Napata wasiwasi kama hili ni Kwa ajili ya wananchi au lipo Kwa ajili ya mafisadi Leo bunge la Ulaya litaketi kujadili mauaji ya halaiki TANZANIA ila Bunge letu lipo kimya wanakula posho 1. Spika wa bunge huoni ni hatari taasisi kubwa za kimataifa kuifungia nchi misaada na mikopo. Kwanini...
  10. JamiiForums Tanzania Genz wameibua jambo jingine: Wanadai watoto wa Spika wa Bunge Zungu wana uraia wa Belgium

    Genz hawapoi. Wamekuja na madai mengine mapya kuwa watoto wa spika wa bunge, Zungu waliomba uraia wa Belgium kama wakimbizi kutoka Somalia. Cha kushangaza zaidi wamepewa NİDA hapa nchini. Wamempa wiki moja ajiuzulu la sivyo wataweka passport zao adharani watasasiliana na mamlaka za uhamiaji...
  11. JamiiForums Tanzania RC Queen Sendiga ampongeza Mbunge wa Babati (V) Daniel Sillo kuwa Naibu spika wa Bunge

    Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Queen Sendiga, wamepongeza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo, kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sendiga amesema kuaminiwa kwa Sillo ni heshima kubwa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Daniel Sillo achaguliwa kuwa Naibu Spika Mpya wa Bunge kwa kura 371

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamemchagua Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sillo amechaguliwa leo Novemba 13, 2025 kwa kupata kura zote za ndio (371) zilizopigwa na wabunge huku akiwa mgombea pekee aliyegombea nafasi hiyo. Tayari Sillo...
  13. W

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi akanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge

    Mbunge mteule wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amekanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge. Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 11, 2025 wakati akitoa maelezo baada ya kuteuliwa kuongoza uchaguzi wa Spika wa Bunge nafasi aliyoipata...
  14. JamiiForums Tanzania Mussa Azzan Zungu awa Spika wa Bunge la 13. Achaguliwa kwa kura 378 kati ya kura 380 halali

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura. Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ndonge Said Ndonge: Nikipata ridhaa ya kuwa Spika wa bunge nitainua vipato vya wabunge

    Mgombea nafasi ya Spika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Ndonge Said Ndonge kutoka chama cha Alliance for African Farms Party (AAFP) akizungumza leo Novemba 11, 2025 kuomba ridhaa ya wabunge kumuunga mkono na kumchagua katika nafasi hiyo amewahaidi kuongeza vipato vya wabunge...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yaanza rasmi mchakato wa kutafuta Spika. Fomu za Uspika Kupatikana Tarehe 3 na 4 Novemba tu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufunguliwa kwa fomu za kugombea nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Laban Kihongosi, wanachama wa CCM wenye sifa au wabunge wateule wanaruhusiwa kuchukua...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia atumia dakika moja kwaajili ya kumwombea aliyewahi kuwa Spika wa bunge Job Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia maefanya hivyo leo Agosti 8, 2025 katika maadhimisho siku ya Wakulima dunia (NaneNane) ynayofanyika...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwanafunzi wa Makerere aliyetekwa nyara akisubiri hukumu dhidi ya matumizi mabaya ya kompyuta

    Mtayarishaji wa maudhui wa TikTok na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere, Elson Tumwine, anasubiri kusomewa hukumu baada ya kukiri kosa la kuhariri taarifa inayodaiwa kuwa ya Spika wa Bunge, Anita Among, kuhusu msamaha wa hivi karibuni wa Rais Yoweri Museveni kwa Buganda. Upande wa mashtaka...
  19. JamiiForums Tanzania 2025 - 2030: Spika wa Bunge apewe Mzanzibar kwa mara ya kwanza

    Haya ni mawazo yangu tu. Zanzibar wameshatoa Marais wawili; AHM na sasa Samia. Zanzibar waneshatoa Mskamu wa Rais; Karume, Jumbe, Mwinyi, Shrine, Bilali ba Samia. Zanzibar ishatoa Waziri mkuu; Salim Ahamed Salim. Zanzibar ilishayoa Jaji Mkuu; Augustin Ramadhani. Zanzibar bado...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…