spesho

There are biblical translations into Hawaiian and Hawaii Pidgin which are the two main languages of Hawaii.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Biashara ya viatu vya kike spesho hivi vya fashion na pochi

    Habari, Biashara ya viatu na pochi za kisistaduu zinalipa kwa Mbagala Rangitatu? Natumai kuanzisha biashara, nina 2.5M ila biashara ninayoipenda ni viatu vya kike, yaani vinavyohusu wanawake. Fremu nakusudia nipate mbele mbele stendi yaani. Mnanishaurije, biashara hii inalipa au?
  2. W

    Wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa hujiona spesho sana!

    Serikali yoyote duniani Ina kitengo cha uuaji! Kitengo rasmi Cha kuwashughulikia wahuni, wenye kuhatarisha usalama wa raia, amani ya Nchi, au wenye kuhatarisha mustakabali na utulivu wa serikali inayotawala! Leo hii tunaona serikali inavyowashughulikia raia wake kwa kututanabaisha kuwa wao ni...
Back
Top Bottom