In everyday use and in kinematics, the speed (commonly referred to as v) of an object is the magnitude of the change of its position; it is thus a scalar quantity. The average speed of an object in an interval of time is the distance travelled by the object divided by the duration of the interval; the instantaneous speed is the limit of the average speed as the duration of the time interval approaches zero.
Speed has the dimensions of distance divided by time. The SI unit of speed is the metre per second (m/s), but the most common unit of speed in everyday usage is the kilometre per hour (km/h) or, in the US and the UK, miles per hour (mph). For air and marine travel the knot is commonly used.
The fastest possible speed at which energy or information can travel, according to special relativity, is the speed of light in a vacuum c = 299792458 metres per second (approximately 1079000000 km/h or 671000000 mph). Matter cannot quite reach the speed of light, as this would require an infinite amount of energy. In relativity physics, the concept of rapidity replaces the classical idea of speed.
Hawa jamaa tuwape maua yao kwenye R&D!
Mwaka 2018 NASA waliituma hii satelite kwenda kwenye space kufanya uchunguzi wa Solar corona (tuseme kama atmosphere kulizunguka jua, wataalamu wa Heliophysics hapa watasaidia)!
Kwahiyo hadi leo imekaa huko kwa zaidi ya miaka 7 ipo huko space, ikiwa...
These are the speed limits to be checked by the speed cameras installed in Nairobi:
Safari Park – Thika Road: 110 km/h
Jomoko – Thika Turnoff (Thika Road junction area): 80 km/h
Allsops / GSU HQ – Thika Road: 80 km/h
Pangani / Muthaiga Interchange – Thika Road: 80 km/h
Roysambu / TRM area –...
Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa.
Rais Trump, viongozi wa ulaya na...
Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya.
Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
Tanroad mbona mnatana tuwafanyie kazi zenu au hadi raia wapange mawe barabarani kuzuia magari ndio mtaelewa ? Ajali maeneo hayo na kama hayo yenye kona zimezidi.....fanyeni utaratibu mupunguzie speed vyombo vya moto.
Pia Polisi kagueni leseni , hawa vijana boda boda wengi hawana leseni kabisa...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwanza anaongea kama kakatwa kichwa
Pili hajitambui
Tatu hajielewi
Nne anajaribu kwenda na beet za anko Magu lakin hiyo karama hana
Tano ni mshamba na limbuken
Waziri mkuu hatuna
Full stop
LONDON BOY
Habari za kazi
Samahani wakuu. Natumia unlimited ya Yas. Lakini speed yake iko chini sana baada ya kurudishwa ila kabla ilikuwa vizuri. Ningependa kujua kwa wengine wanaotumia wanapata experience gani.
Dar, kwa sasa.
Iko wazi, kwa kila mtumiaji wa map zinazopatikana ktk simu zetu amewah kupima speed pale anapokuw safarini. Sasa swali langu ni.
Ikiwa uko baharini(boti/meri) au angani(ndege/parachuti) hii map itaendelea kufunction km kawaida au kutakuwepo na mabadiliko?
Nauliza hivo maana sijawahi panda...
Akizungumza kwenye mahojiano yaliyofanyika The Citizen (YouTube), mmilikiwa Nala, application ya kutuma hela kutoka nchi mbalimbali amesema suala la lugha na speed ya approval limefanya ajikite zaidi Kenya kuliko Tanzania.
Benj amesema Benki Kuu ya Tanzania ilitumia takriban mwaka na nusu...
Kwa watu wa zanzibar naunga unlimited internet ya Vodacom postpaid kwa gharama ya Tsh.70000 (elfu sabini tu) kasi yake ni 10Mbps (postpaid)
Kwa mara ya kwanza utalipia Deposit 140000 hapa unapewa na device ya 5G au 4G na device unapata papo hapo ukilipia haina kusubili
Kwa wale wa bara...
Leo nilikuwa napitia uzi flani humu ndani wa kero ya kutambua mitandao kwa namba za simu.
Nikaona nifanye kiproject simple cha kutatua tatizo hili, nikaandika orodha ya namba pamoja na mitandao yake.
Nikaenda kwa IT flani yupo tu kitaa atengeneze website ndogo ya kurahisisha kwa dau la elfu 5...
Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
Wakuu habari Gari yangu haipandishi mshale wa speed ukiendesha pamoja na feni ya reheat haizunguki hivy kupelekea Gari kuchemsha shida inaweza kuwa nn? NB tatzo limeanza jioni hii wakati natoka job
Wadau najua wapo watu mnaotafuta wi-fi router nzuri huku so nimeona niwaletee uzi huu huenda ukawa msaada kwa wengine.
FAIDA ZA KUWA NA WI-FI ROUTER ZA TIGO (YAS)
Ndugu yangu kua na hii wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki.
1. Ukiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.