south africa

  1. JamiiForums Tanzania Kwani South Africa kuna maisha mazuri?

    Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana? Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira? Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: AFCON 2027 huenda ikapelekwa South Africa

    Tukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokana na na maandalizi duni. Viwanja bado, hoteli duni, barabara hoi. **Tujiandae kwenda bondeni.
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

    Serikali tunaomba ndugu zetu waliopo South Africa warudishwe nyumbani. Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mtz akipigwa sana kama mbwa huko South africa Hizi ngozi nyeusi zimelaaniwa haya mambo huwezi yakuta ulaya
  4. JamiiForums Tanzania Zimbabwean Comedian Learnmore Jonasi Hit With $27 Million Lawsuit by Lebo M Over 'The Lion King' Chant Joke

    Zimbabwean comedian Learnmore Jonasi has found himself at the center of a major legal storm after South African music legend Lebo M filed a $27 million lawsuit over a joke linked to Disney’s iconic film, The Lion King. The dispute stems from a comedy segment in which Jonasi humorously...
  5. B

    JamiiForums Tanzania South Africa is now on fire ! A raging fire destroyed the Botha Sigcau Building in Mthatha !

    The historical Botha Sigcau Building in Mthatha in the Eastern Cape, which accommodates more than eleven government departments, is on fire on March 24, 2026 . It’s still unclear what caused the fire. The building accommodates departments such as Health, Education and Land Affairs. Earlier...
  6. JamiiForums Tanzania Hearing in Chatunga Mugabe Attempted Murder Case Delayed Again in South Africa

    The Alexandra Magistrates Court has once again postponed proceedings in the attempted murder case involving Chatunga Mugabe, drawing renewed attention to one of Zimbabwe’s most high-profile legal matters abroad. The next hearing has been set for April 17. The case first made headlines after...
  7. JamiiForums Tanzania Bellarmine Mugabe Could Be Deported from South Africa

    Bellarmine Chatunga Mugabe, son of Zimbabwe’s late president Robert Mugabe, is facing possible deportation from South Africa. Authorities say he has been living in the country illegally, having previously been denied entry. The issue comes amid his legal troubles after a gardener was shot at his...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukweli mchungu ila vijana wanaokwenda South Africa bora wakabaki hapa

    Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja. Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi. Waliofaidi ni wale...
  9. JamiiForums Tanzania My personal opinion: South africa atashinda AFCON

  10. JamiiForums Tanzania South africa ni bora usimuogope mungu ile nchi inavyotisha.

    Leo 😄 ni mekumbuka December Maeneo ibro street pale gauteng jozi. Kipindi cha December ni mwendo wa kupombeka na mziki mkubwa. Wengi wanaita mwezi wa mapumziko wa kurudi makwao wanarudi kama wa zambabwe,zambia,botswana na malawai. Ile nchi bora usimuogope mungu maana ukimuogopa utajikuta...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

    Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama, Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule, Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
  12. JamiiForums Tanzania Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

    Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao. Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa. Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Facts about Africa: Four countries dominate every sector - Nigeria, South Africa, Morocco & Egypt

    (1) Largest country in Africa by land mass - Algeria 🇩🇿 2) Largest country in Africa by population - Nigeria 🇳🇬 3) Largest movie industry in Africa - Nigeria 🇳🇬 4) Largest democracy in Africa - Nigeria 🇳🇬 5) Richest Black man - Nigerian 🇳🇬 6) Richest African woman - Nigerian 🇳🇬 7) largest...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Sharpeville, South Africa

    Sharpeville massacre - Wikipedia Sharpeville massacre - Wikipedia Sharpeville massacre The Sharpeville massacre occurred on 21 March 1960, when police opened fire on a crowd of people who had assembled outside the police station in the township of Sharpeville in the then Transvaal Province of...
  15. JamiiForums Tanzania Chagua nchi Moja ya kufanya kazi kati ya Misri, Israel,South Africa, Brazil au Indonesia

    Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
  16. JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo, Tanzania itakuwa nchi ya hatari zaidi Afrika kuliko hata South Africa

    Kwa yanayoendelea nchini, bila shaka Tanzania inaongoza kuwa ni nchi hatari zaidi kwa upande wa Africa mashariki maana kila kukicha matukio ya utekaji yanaongezeka, hofu zinazidi kutanda na watawala hawaoneshi nia yoyote kukabiliana na hali iliyopo au kutoa tamko lolote kwa yanayoendelea hapa...
  17. JamiiForums Tanzania Sugu aliimba huu wimbo akiwa na umri gani?

    1996 : Natafuta pasipoti, nataka kusafiri kikafiri, popote nitafika hata south africa, nyumbani nimechoka, nazidi nyanyasika🎶 Sugu alikuwa visionary sanaa, hapa ulikuwa na umri gani?
  18. JamiiForums Tanzania Issue gani mtu akifanya South Africa anatoboa?

    Ukiachana , na kuuza Skanka , je MTU akifanya issue gani anatoboa SA.?
  19. JamiiForums Tanzania Hivi south Africa mbona kunatisha Kuna dogo wa mtaani kapigwa risasi Leo huko aisee ni huzuni

    Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi jioni ya Leo tumepata taarifa sijui tatizo ni Nini huko south Africa maana matukio yamezidi sana...
  20. P

    JamiiForums Tanzania An eye on what’s happening in south africa: operation dudula

    Operation Dudula which is currently perceived as nationalistic movement against foreign nationals in South Africa is tarnishing the image of the country. Many People are now living in fear. Xenophobic indigenous people are committing crimes, harassing foreign nationals under pretext of taking...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…