soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Soko la kuuzia nyanya kwa Dar es Salaam

    Nataka kulima nyanya baada ya masika maeneo ya zinga bagamoyo wataalam naombeni muongozo wapi nitapata soko la nyanya kabla sijaanza, nataka nianze na Heka moja, Huwa nalima kama bustani tu nyumbani za Kula familia sasa nimeona naweza kulima sehem kubwa kibiashara
  2. S

    JamiiForums Tanzania Meya Raibu atembelea soko leo Moshi, afanya makubwa, awanunulia wafanyabiashara vifaa vya biashara

    WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA RAIBU AWANUNULIA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA SAMAKI Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kustaajabu kundi la...
  3. JamiiForums Tanzania Hili ndio soko kuu la samaki Moshi, Mji unaondaliwa kuwa Jjiji

    Hapa ndipo walipohamishiwa Wafanyabiashara wa soko kuu la samaki kutoka eneo la manyema mbuyuni na kuletwa hapa maili sita. Lengo na kuwahamisha wafanyabiashara hao na kuwaleta hapa ni kile kinachodaiwa kuwa ni katika kuiandaa moshi kuwa jiji na hivyo kuondoa mlundikano wa kuwa sehemu moja...
  4. JamiiForums Tanzania Benki kubwa ya Urusi yaaga soko la bara Uropa na kufunga matawi yote huko

    Hii ni baada ya wafanyi kazi wake Warusi kutishiwa waondoke kwenye mataifa yote ya Uropa, na pia kususiwa kwa biashara zote zenye asili ya Urusi. Putin alikua amesubiriwa muda mrefu aingie kwenye kumi nane, Warusi wanateseka kote nje na ndani kwa ajili yake na muda usio mrefu watamgeukia, Urusi...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha tozo ya Tsh 100 kwa kila lita ya mafuta, yasema itapoteza Sh bilioni 30 kwa mwezi

    Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo vita ya Urusi na Ukraine, Serikali ya Tanzania imetangaza kuondoa Tozo ya Sh 100 kwa kila lita katika Dizeli, Petroli na Mafuta ya Taa kwa miezi mitatu. Wizara ya Nishati imetangaza maamuzi hayo ambapo...
  6. JamiiForums Tanzania Soko la Kariakoo na harakati za TANU

    SOKO LA KARIAKOO NA HARAKATI ZA TANU Hii makala nimemwandikia ndugu yangu Kheri Chomba mwenyeji wa Kariakoo kumfariji kuwa asihuzunike pale inapotokea watu wakatucheza shere kwa kujifanya kuwa wao wanaujua mji kutushinda sisi wenyewe. "Kheri siku moja katika miaka ya 1970s soko jipya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zinazoendana katika soko

    MONOPOLISTIC COMPETITION Hili ni aina ya soko ambalo ni muuunganiko wa monopoly na perfect competition. Lina uhalisia zaidi kuzidi perfect competition. Sifa za monopolistic competition: 1.Bidhaa zinafanana sema zina unatofauti katika ladha, ubora, package nk Mfano: Pepsi na coca, zote ni...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tanzania wawezeshwe vipi kununua matrekta kwa ajili ya kilimo cha kisasa?

    Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo. NB: Trekta ndogo ni takribani Milioni 20 za kitanzania kwa nilivyoulizia.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Soko huru lenye ushindani kamili

    PERFECT COMPETITION (Ushindani kamili) Hili soko lina sifa zifuatazo: 1.Wauzaji wote wanauza bidhaa sawa au zinazofanana. 2. Wanunuaji wote wanajua bei ya bidhaa na wapi zinapopatikana. 3. Hamna viziuzi kuwa muuzaji au mnunuzi. 4. Wauzaji ni wengi. 5. Uzalishaji ni sawa na uhitaji wa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Market Structure (Muundo wa soko)

    MARKET STRUCTURE Kwa kiswahili huu ni muundo wa soko au aina ya soko. Kama mfanyabiashara au mtu ambae unataka kuingia katika biashara basi ni vyema ujue aina tofauti za masoko yaliyopo na vigezo vya kuweza kuwa katika aina flani ya soko. Pia kama mnunuaji itakusaidia kujua bidhaa flani ni...
  11. JamiiForums Tanzania TTCL hatarini kunyang’anywa soko

    Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma, Tanzania imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) liko katika hatari kubwa zaidi ya kunyang’anywa soko na makampuni mengine ya simu kutokana na upungufu wa mtaji. Hayo yamesemwa leo Jumatano Februari 16, 2022 na Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Dar: Soko la Mbagala laungua moto

    Soko la Rangitatu jimbo la Mbagala lawako moto usiku huu wa kuamkia leo.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Katika muda mchache niliojiingiza kwenye soko la ajira, nimegundua mambo haya

    1. connection hasa private sector ni muhimu,mfano mimi sehemu niliyojishkiza, hata hawakutangaza nafasi za kazi,isipokua HR anafahamiana na jamaa yangu hivyo nikapigiwa pande. 2. Experience ya kuanzia 3 years kwenye reputable companies ni muhimu sana.ninaposema reputable companies namaanisha...
  14. JamiiForums Tanzania Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

    Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto. Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hili la soko la Karume liwe funzo kwa aina ya viongozi tunaowapa madaraka.....

    Kuna stahili nyngi za uongozi hasa pale unapokuwa unakabiliana na kundi fulani la watu...Hii stahili ya kuwaondoa wamachinga kwa stahili iliyotumika soko la Karume haikuwa ya akili...sasa angalia jinsi "mlivyolamba matapishi yenu." mnaleta na siasa ndani yake...
  16. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI. - Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan. - RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
  17. JamiiForums Tanzania Je, wajua bei ya Tumbaku kwenye soko la duni ni kubwa kuliko chai

    Kama unataka kuingia kwenye kilimo ni muhimu kujua bei za soko za bidha unazotaka kujihusisha nazo ili kujua zao ambalo litakulipa zaidi na ukajikwamua kiuchumi Kwa takwimu zilizopo bei ya Kilo moja ya Tumbaku ni kubwa kuliko bei ya Chai. Kwa kipindi cha 2002 hadi 2021 Tumbaku iliuzwa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza pesa mpya kipindi soko la Cryptocurrency linapokuwa chini

    Japo thamani nzima ya soko la crypto imeshuka wiki hizi chache kutoka dola za kimarekani 2.4 Trilion mpaka $1.7 Trillion. lakini bado soko hili linakupatia nafasi nyingi za kutengeneza pesa kupitia holdings zako. Make your money go to work now.. Hizi ndo njia ambazo zinaweza kukufanya uendelee...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu "Shuhuda" wa matukio ya moto ahojiwe na chombo huru, ana mengi moyoni mwake

    Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja. Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania Tafadhali namwombea Ulinzi Yule Mama aliyesema Mchoma Moto Soko la Karume ni 'Joseph na Wenzake' kwani huenda hata Mengineyo aliunguza Yeye

    Kila nikikumbuka Yule aliyekuwa Kiongozi wa Malori kama si Mabasi ya Mikoani alipotoa Kauli fulani ya 'Kibabe' na Siku Mbili baadae akaugua ghafla na Kufa ndiyo napatwa pia na Hofu juu ya huyu Mama aliyesikika katika Taarifa ya Magic FM na Kipindi chao cha Morning Magic kwa Kujiamini kabisa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…