soko la ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ubuju

    KERO Changamoto ya vifaa vya kufundishia kwa course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering inaferisha vijana kwenye soko la ajira

    Habari wakuu, Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering inayotolewa katika chuo cha ufundi arusha (ATC) ambayo ina miaka 5 toka iyanzishwe inapitia magumu sana kwa wanafunzi wanayosoma kwasababu hakuna mitambo ya kujifunzia uliopo ni fuvu tu haifanyika kama ilivyo hapo...
  2. K

    Soko la ajira uarabuni ni kuwa Ma-house boys and Ma-house girls

    Soko la ajira uarabuni ni kuwa Ma-house boys and Ma-house girls. Halafu cha ajabu kuna viongozi serikalini wanapiga madongo na kuweka uadui kwa wana diaspora wenye kazi za maana huko USA na EU wenyewe wanatafutia vijana wetu kazi za mahouse girls na wahouse boys. Kazi zinazohitaji elimu unakuta...
  3. Kitumbua-Cha-200

    Je kuna athari yoyote katika Soko la ajira kwa mtu aliyepata Div 4 kisha akajiendeleza hadi chuo kikuu

    Eti Mdau... Kijana wa kidato Cha nne, ikiwa amepata ufahuru wa daraja la nne(4.30). Akaendelea na elimu ya juu (chuo) . Nakuweza kufahuru Kwa G.P.A nzuri ya 4 or 3. Je matokeo yake ya kidato Cha nne yanaweza kufanya asipate ajira Kwa upande wa CV?
  4. DR HAYA LAND

    Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi

    Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi. Ikiwa wewe ndo umetoka Chuo na unajiandaa kuingia mtaani na katika soko la ajira /kazi. Baada ya kuhitimu masomo yako jambo la kwanza ni Kufanya ibada ya shukrani kwa Imani yako , kwakuwa katika...
  5. S

    Pharmaceutical technicians wanazidi kupoteza soko la ajira kila kukicha

    Siku hizi ajira nyingi za maduka ya madawa haswa dldm wanahitaji either nurse au clinical officer kwa kigezo cha kuuza dawa na kuchoma sindano wakipata mgonjwa wa namna hiyo. Pharmaceutical technicians huwa wanatoswa kwenye hizi ajira jambo ambalo linawauma sana.
  6. Braza Kede

    Kutokujua Kiingereza kunatukwamisha Watanzania kuingia Soko la ajira duniani

    Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele. Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa Huu ndio ukweli
  7. Dr kijaji

    Ushauri unahitajika, Kati ya MD na DDS ipi nzuri kwenye soko la ajira kwa Sasa?

    Mdau mmoja anapitia changamoto juu ya program gani ya afya nzuri aende kusoma mwaka huu, yenye urahisi wa ajira.
  8. ELI COHEN

    Ni ipi hatma ya ongezeko kuu la vijana wadhaifu amid kuporomoka kwa kasi soko la ajira na kupungua kwa rasilimali?

    UZAMIAJI UTAPELI UKAHABA USHOGA UHARIFU URAIBU Kuanzia 2010 hadi 2020, idadi ya vijana iliongezeka kwa karibu 40%, kutoka takriban milioni 10.2 hadi zaidi ya milioni 14. Sasa by 2025 labda imeongezeka tena by 25%. Na katika ongezeko hili la vijana hawa utapata mixer mbali mbali za tabia na...
  9. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yaainisha Mikakati ya Kuwawezesha Vijana Kushindana Kwenye Soko la Ajira

    BUNGE limeelezwa mikakati mitano inayofanywa na serikali katika kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana nchini na namna kumudu ushindani kwenye soko la ajira. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema hayo Februari 10, 2025...
  10. M

    Havard graduate wanalalamika kukosa ajira. Soko la ajira gumu mpaka marekani. Hali inatisha

    Kwa miongo kadhaa, kupata MBA kutoka Ivy League imekuwa ikichukuliwa kama tiketi ya dhahabu kwa ajira popote. Kulingana na Fortune, MBA ya Harvard inachukuliwa kuwa bora zaidi, ikishika nafasi ya juu katika orodha ya shule za biashara 98 za Marekani. Hata hivyo, mwaka 2024, hata digrii ya MBA...
  11. ALENI WAKALA

    Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina changamoto ya...
  12. ALENI WAKALA

    Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) KATIKA Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina...
  13. technically

    Kazi mnazotaka vijana wafanye ziko wapi?

    Mimi ni mtu najiusisha Sana na sector ya ujenzi na muda mwingi nakuwa field yaani kwenye mazingira ya kazi. Kumekuwa na dhana ya wanasiasa kuwaambia vijana fanyeni kazi Mimi najiuliza hizo kazi zipo wapi? Kwa siku napokea vijana wanaoomba kazi kwenye mizunguko yangu sio chini ya 3 wapya...
  14. A

    Programme zinazoanzishwa vyuoni, ni wajibu wa nani kuzipeleka kwenye soko la ajira?

    Kuna programme mpya zinaanzishwa vyuoni hasa vyuo vikuu lakini hazijulikani kwa waajiri. Programme hizi zinaweza kuwa zinampa vigezo mtu aliyechukua hizo programme lakini anashindwa kupata kazi kwa sababu waajiri hawazitambui na akienda kuomba kazi wanamwambia wanahitaji mtu aliyesoma programme...
  15. maelekezo

    Filter Mechanics ina soko gani kwenye ajira?

    Msaada kwa anaejua wakubwa Filter Mechanics ufafanuzi kuhus hii kozi wakubwa na inasoko gan kwenye ajira
  16. kigogo1ivi

    Kodi za mabango si rariki kwa soko la ajira na uchumi.

    Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho. Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1. Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka...
  17. D

    Wanyonge aliokuwa anawasema Hayati Magufuli kwamba anawatetea ni wa wapi?

    Hata retention fee tu bodi ya mikopo hakuiondo imekuja kuondolewa na Samia. Zaidi sana aliongeza makato kutoka asilimi 5 mpaka asilimia 15. Ajira hakuzipa kipaumbele kabisa zaidi sana hata chache zilizomuwepo alizimaliza kwa kuwakimbiza wawekezaji sector binafsi
  18. Equation x

    Je, tatizo ni elimu au ni sisi wenyewe?

    Wengi tunaamini elimu ni ufunguo wa maisha, ikiwa na maana baada ya kuhitimu nitaajiriwa na maisha yataendelea. Ingawa sehemu kubwa, elimu imekuwa si fumbuzi katika kutatua kero za jamii; na hii inapelekea wahitimu wengi nyakati hizi wakiangaika kutafuta ajira badala ya kutengeneza ajira. Na...
  19. G

    SoC04 Mfumo na muundo wa elimu ya kitanzania uboroshwe kuendana na fura za kujiajiri na ajira duniani

    Utangulizi Tanzania imekua miongoni mwa nchi ambazo imekua ikukumbwa na janga la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo, vijana na wananchi wengi kiujumla, na tatizo ni kwamba wasomi wamekua ni wengi lakini mahala pakufanyia kazi pamekua ni pa achache au kwa ufupi ajira zimekua finyu lakini...
  20. dour

    SoC04 Nini kifanyike katika utekelezaji wa mtaala mpya ili kuzalisha wahitimu wenye weledi katika soko la ajira

    UTANGULIZI Changamoto ya ukosefu wa ajira nchini imeendelea kukua kwa kasi huku sababu zikielezwa kua ni ufinyu wa bajeti na wahitimu wasio na weledi. Ukosefu wa ajara unapelekea vijana wengi wakijiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na kuongezeka kwa vijana tegemezi. Ukosefu wa...
Back
Top Bottom