soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Simba na Yanga ndio zinaharibu ukuaji wa Soka nchini Tanzania

    Hizi timu mbili bila kuwekewa Discipline na sheria kali soka letu halitokuwa. Taratibu za mazoezi zipo wazi kwa mwenyeji na mgeni. Wasimamizi wa Uwanja wanajulikana na wenye mamlaka ya kuruhusu nani aingie nani asiingie wanajulikana; je mabaunsa wa Yanga wananafasi gani kwenye Utaratibu wa...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ali kamwe shujaa WA soka 2025.…soka la KUPANGA matokeo lipingwe hadharan MSIOGOPE kuwambia ukweli..MARUFUKU KUPANGA MECHI NYIE MAREFA TUNAWAONYA

    TUFIKE WAKATI TUSEME KUPANGA MECHI NO KWENYE SOKA LETU NAJUA WENGI MMEUMIA KWA ADHABU YA ALI KAMWE NAWAHAKIKISHIA HUU NDIO MWANZO TU. MTAAMBIWA UKWELI MTAFUNGIA WENGI TU MPAKA MBADILIKE UKWELI UKO WAZI MECHI ALIZOCHEZA SIMBA ZILITIA AIBU MPAKA WATANZANIA WAKAAMKA NDIPO UKAONA MAREFA...
  3. Ladder 49

    JamiiForums Tanzania Wazee wa bahasha na udanganyifu kwenye soka

    Wakuu habari zenu? Baada ya kuona mambo magumu round ya kwanza wameamua kuja na bahasha maana mashabiki wake wanapiga kelele sana yaani timu kufungwa mechi mbili tu na bado inaongoza ligi wanataka kumtoa roho raisi wa timu eti anaihujumu timu? Sasa wameamua kutoa bahasha kwa timu pinzani ili...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Takwimu mbalimbali za soka la Ulaya wiki hii

    Takwimu za mshambuliaji Lamine Yamal wa Barcelona katika LaLiga, amecheza dakika 1,795, amefunga Magoli 5, ametoa asisti 11. Liverpool ni timu ya kwanza ndani ya Miaka 90 kufunga magoli 2+ katika mechi 18 mfululizo za michuano yote, pia ndio timu ya kwanza kufikisha Magoli 101 ya michuano yote...
  5. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

    Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Erik ten Hag hana mpango wa kurejea kwenye soka hivi karibuni

    Kocha Erik ten Hag ametoa kauli ambayo inaonesha kuna uwezekano wa kutorejea kwenye mchezo wa Soka badala yake akaelekeza nguvu kwenye kazi zake binafsi. Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu alipositishiwa ajira yake Manchester United, miezi minne iliyopita amesema kwa sasa anajihusisha na...
  7. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Ifikie hatua Yanga iheshimiwe kama ndio klabu bora ya soka afrika mashariki na kati

    Ukiiona yanga inacheza hata kama wewe sio mpenzi wa yanga na pengine labda bado unasumbulia na ule ushabiki maandazi lakini hata kimoyomoyo utakubali kua yanga ndio timu inayocheza kandanda la kuvutia..pira la kitabuni...pira la kideoni...yani zike pattern za soka unaziona na hata zile B tatu ya...
  8. Bila bila

    JamiiForums Tanzania TFF anzisheni Leseni ya uchambuzi WA soka.

    Kwa Hali ilivyo Sasa, Mtu anatoka baa anapitia studio anahojiwa eti ni Mchambuzi wa soka inafubaza ubora WA soka la Tanzania. Kama mawakala wa Wachezaji Wana Leseni na wanafanya mitihani kabla ya kuzipata iweje kuchambua soka ambako kunahitaji utaalamu zaidi iwe holela? Mtu aliyefeli kwenye...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Juma Ayo: Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba apewe Derby ya Kariakoo, anajua kutafsiri vyema sheria za soka

    “Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo. Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio” Hayo ni maneno...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, waeleze Watanzania Deusdedith Soka yupo wapi?

    Ndugu rais. Nakusabahi, hata hivyo nina swali kwako. Ni zaidi ya miezi sita sasa, kijana, mtanzania amepotea. Umma wa Watanzania umepiga kelele kuhusu kupotea kwa kijana huyu lakini siyo ofisi yako wala wewe uliyeamua kulizungumzia suala hili. Ndugu rais, ulipoapa kuwa rais uliapa kuwa amiri...
  11. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Ningependa kusikia kauli ya Mwenyekiti mpya kuhusu kijana wetu Soka na wenzake moyo wangu umejawa hofu juu yake

    Nakukaribisha mwenyekiti mpya Tundu Lissu katika uongozi wako mpya ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo natumahi mengi mapya pia umekuja nayo katika nafasi yako hii mpya ya uenyekiti wa chama. Moja ya jambo/ kauli ya msingi ningependa kusikia kutoka kwako kama msimamo wako na wa chama...
  12. Area 56

    JamiiForums Tanzania Jina gani la uwanja wa soka linakuvutia sana?

    Mimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid. Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano. Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
  13. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kocha Himdi Maloud anaweza kuwa jasusi wa soka aliyekuja kuimaliza Yanga, afukuzwe mapema

    Habari wakuu Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa Mwanzo wa msimu niliandika huu uzi kuhusu JKT Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la Soka la Kongo (FECOFOOT) lafungiwa na FIFA, wapoteza haki zake zote za uanachama

    Shirikisho la Soka la Kongo (FECOFOOT) limefungiwa na FIFA kuanzia Februari 6, 2025, hadi itakapotangazwa tena, huku sababu za uamuzi huo zikiwa bado hazijawekwa wazi. Kufuatia kusimamishwa huko, FECOFOOT itapoteza haki zake zote za uanachama kwa mujibu wa Kifungu cha 13 cha Sheria za FIFA, na...
  15. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Fountain gate dhidi ya simba mechi nzuri yenye kuvutia upinzani wa soka la bongo hii haina uhusianao na singida?

    JIoni ya leo tunashuhudia mechi halisi mpira halisi na matokeo halisi yaani fair play yasiyo na chembe ya mashaka fountain gate dhidi ya simba ni mechi ya kukamiwa simba ni aina ya mechi simba anazo zipenda huwapa mazoezi na ukomavu wachezaji wao si mechi za bahasha si ajabu kukuta kibu d au...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Jinsi Waarabu wanavyoendelea kutawala soka la Afrika

    Waarabu wameshaonja utamu wa asali ya pesa za CAF kwa hiyo wamejijengea mtandao mkubwa wa kuhakikisha hakuna boya yoyote anakuja kuwanyang'anya asali na himaya yao. Miaka ya hivi karibuni Simba na Yanga zimejitahidi kufanyafanya usajili na kujifunza mikakati michache ya ndani na nje ya uwanja...
  17. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Maadui wakubwa wa soka la bongo katika picha!

    Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na makocha. Timu ikifika ngazi klabu bingwa kule hakuna Mwigulu wa GSM chali nyumbani na...
  18. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Neymar Jr kipaji cha soka kilichoshindwa kufikia malengo

    Nimeona taarifa Neymar Jr anarejea zake kwao Santos kutokea Uarabuni. Kipaji maridhawa kilichoenda na maji. Neymar alitajwa kama mmoja ya wachezaji bora watakaovunja ufalme wa Messi na Ronaldo, lakini wapi!! Neymar baada ya kuona ameshindwa kuwa mfalme Barcelona akakimbilia PSG ghafla na...
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Leo matapeli wa soka wanachuana

  20. M

    JamiiForums Tanzania WAlioshangaa Yanga kutolewa CAF champions cup ni mambumbumbu wa soka: Yanga hufuzu mara moja robo fainali katika muda wa miaka 25!

    Huu ni utaratibu wa Yanga kufuzu robo fainali kila baada ya miaka 25! yaani robo miaka 25!! Ilifuzu mwaka 2024 baada ya miaka 25 toka ifuzu hapo awali. Itafuzu tena mwaka 2049!!!.
Back
Top Bottom