Wakuu nimekutana na hii,
"Soda ya Sprite (ya baridi) tunayoambiwa kusukutua nayo mdomoni baada ya kung'oa jino huwa ni tiba ya kweli ya maumivu au ni imani?"
Ni dhahiri sasa huu uchaguzi sio tena kwa ajili ya kuchagua wawakilishi wa wananchi. Ni dhahiri sasa hawa CCM hawapo tena kuhakikisha ustawi wa Tanzania. Wewe umeona wapi mtu anatumia gharama kubwa na mbinu za aibu eti kwa ajili ya kutaka kukuwakilisha?
Huu ni uchaguzi kwa ajili awamu nyingine...
Wakuu habari!
Kutoa ni moyo, tenda wema nenda zako, ukimpa mtu kitu usitegemee malipo. Kila mtu anajua hizi kauli za kijamii
Lakini ktk maisha watu ni wabinafsi sana na hawana huruma, wao chao ni chao chako ni cha wote
Mtu asikukute unakula atabeba chakula chote kama vile kanunua yeye na...
Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k
Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu.
Kila...
Ndugu wana wanajukwaa habari yenu.
mimi mjasliliamali nahitaji CAUSTIC SODA kwa bei ya jumla, ya utengenezaji wa sabuni.
Wauzaji wa jumla anichek 0758327174 chap ziite.
Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepsi, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako.
Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na mawazo kwamba ni vema kunywa juice za dukani (processed juice) kuliko kunywa soda, na hata wengine...
Na nyie wenzangu mmeshawahi kukutana na jambo kama hili, yaani mgeni anazua mia sita kweli jamaani yaani ameona soda ni anasa kabisa kitu cha mia sita.
Nimeshangaa sana.
Halafu mwenye hana presha wala wasiwasi with confidence kabisa.
Iseee huu mwaka 2025 umeanza kiajabu kabisa.
Peps imegeuka soda ya hovyo ladha mbovu mdomoni chumvi km sio chumvi,kidonge km sio kidonge
peps wamepatwa nn au wanatumia maji ya bahari kujaza kwenye chupa
Yeeeerrrrreeeeh!
Soko la korosho duniani limechanganya balaa. Na hapa nchini bei imepanda kwa hadi 4k huko.
Sasa yale yele ya mbuzi kunyweshwa soda kipindi kile soko lilipochanganya baada ya wakulima na wafanyabiashara kupiga hela ndefu na kukosa pa kuzoeleka na kuanza kukufuru kwa kuwanywesha...
Wote tunafahamu kuwa Baking Soda hutumika katika uandaaji wa vyakula kama keki na mikate. Lakini huwa na matumizi mbalimbali ya nyumbani ikiwemo kuwa mbadala wa kusafishia kinywa kwa kuwa na uwezo wa kuua bakteria.
Pia, baking soda ni nzuri kwa kuondoa madoa sugu. Inaweza kuchanganywa na...
Wakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya.
Lakini soda pia niliQuite tangu 2020.
Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampani ya washikaji maana wenzio wanakunywa we unatoa macho.
Hivi ndo nilikuwa natumia lakini naona siyo kabisa
1. Maji
Aisee haya...
Ilikuwa Jumamosi asubuhi na jua lilikuwa linawaka vizuri. Majirani wa mtaa wa Mjini Ndani walikuwa wanapanga mipango ya weekend yao. Lakini kijana mmoja, anayeitwa Toto, alikuwa na plan ya kipekee kabisa.
Toto alikuwa na sifa ya kuwa na ujanja wa kijinga lakini wenye kuleta matokeo. Alikuwa...
Unaweza usiamini ila kwenye mabanda umiza na mabar soda inauzwa 1000 sio kama madukani 700 na maji Lita 1.5 yanauzwa 1500 sasa Wakija wateja wengi ukauza ma kreti mengi ya soda aisee biashara itakuendea vizuri sana.soda moja unapiga faida Mpaka 500 hakuna bia yenye faida hiyo.
Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" .
Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.