social

Social organisms, including human(s), live collectively in interacting populations. This interaction is considered social whether they are aware of it or not, and whether the exchange is voluntary or not.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hongera waziri Katambi wimbi la watukanaji kwenye social media limeanza kupungua

    Mwenendo wa wanaotukana badala ya kujenga hoja kwenye mijadala katika mitandao ya kijamii limeanza kupungua.Naamini waliokuwa wanafanya hivyo wengi wao hawakuwa Raia wa Tanzania na walikuwa na nia ya kuambukiza tabia chafu ya kutokujali kwa watanzania wenye ustaarabu na heshima.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya muswada wa mfano (Model Bill): Muswada wa mazungumzo ya Kitaifa, Ukweli, Maridhiano na Uponyaji wa Kijamii, 2026

    Wadau karibuni tutoe maoni kwenye rasimu ya muswada wa mfano (Model Bill): The National Dialogue, Truth, Reconciliation and Social Healing Bill, 2026. Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK).
  3. JamiiForums Tanzania I can't prove, but I believe there is no such thing as powerful as Social Media

    Everyone is there!
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Social media posts protected by copyright, High court rules

    The Commercial Division of the High court has ruled that original content published on social media is protected by copyright, in a decision expected to shape how journalists and media organisations use online content. In a landmark judgment delivered on July 27, Justice Dr Ginamia Melody...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu vs watu weusi in social media

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya sisi watu weusi especially tunavyotumia social social media na wenzetu . hilo group lipo USA na angalia post za mtu anatka msaada anavyoandika jamii forum. wazungu sio kama wana akili sana ila community zao zinafanya mtu anajua kujielezea na fanya watu waweze...
  6. JamiiForums Tanzania Je biashara yako ina social media accounts lakini hazileti wateja?

    Je, Biashara Yako Ina Social Media Accounts Lakini Hazileti Wateja? Au upo busy na unahitaji mtu wa kukusaidia kumanage social media accounts zako?? Habari wakuu, Leo kuwa na Instagram, Facebook, TikTok au LinkedIn account pekee haitoshi. Kinachotofautisha biashara zinazokua na zinazobaki...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nafundisha masomo ya Social Work

    Habarini familia. Kwa wale wanaosoma masomo ya Social Work,Community Development na Sociology. Ngazi ya NTA LEVEL 4,5,6,degree na post graduate diploma, na masters. Na una uwitaji wa mwalimu wa kukufundsha masomo ya ziada.. tafadhali wasiliana na mimi,Nina ujuzi wa miaka mi 3 ya ukufunzi Na...
  8. JamiiForums Tanzania 🧠🤝 Sababu 10 Zinazowafanya Watu Wenye Social Intelligence Kufanikiwa Zaidi Maishani

    Watu wengi huamini kuwa mafanikio yanategemea akili za darasani (IQ), elimu au vipaji pekee. Ingawa mambo hayo ni muhimu, tafiti nyingi zinaonyesha kuwa uwezo wa kuelewana na watu, kujenga mahusiano mazuri na kusoma hisia za wengine ni moja ya silaha kubwa za mafanikio katika maisha. Huu ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Online wars kwenye social media dhidi ya watu wa mataifa mbalimbali ni nyingi sana

    Baada ya kutumia social media nimeona comments nyingi sana za chuki baina ya mataifa For example kukiwa na topic yoyote ile inayosifia Tanzania, utaona a lot of negative comments za Wakenya. Watanzania ni mara chache sana kukuta wanacomment negatively kwenye posts za Kenya. Zaidi utawakuta...
  10. JamiiForums Tanzania Viral News: AirPeace Faces Concerns Over The Rise Of Social Media Demarketing And Its Impact On Brand Perception

    AN OPEN LETTER TO ALL NIGERIANS: LET US PROTECT OUR NATIONAL PRIDE – AIRPEACE My dear fellow Nigerians, I write this not as a distant observer, but as a proud son of the soil, a patriotic Nigerian who has travelled the length and breadth of our great country and beyond, and as a loyal...
  11. JamiiForums Tanzania Zimbabwe Influencer Cash Giveaway Sparks Debate on Wealth, Inequality, and Social Media Culture

    A viral cash giveaway by Zimbabwean social media personality Tinotenda Tungwarara has sparked debate after she posted a video inviting the public to search for US$500 hidden around a major interchange in Harare. The money was reportedly split into five separate US$100 hiding spots, with clues...
  12. JamiiForums Tanzania Social medias zimeanza kufanye 'Shadowbanning' ili kufifisha zinazoonyesha madhaifu ya US-ISRAEL katika uwanja wa vita

    Watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii wameanza kulalamikia ongezeko la uminywaji wa taarifa hasa za mlengo pinzani huku zikisukumwa zaidi vyombo/page au watu binafsi wanaoengemea upande wa pili.
  13. JamiiForums Tanzania Kigoma Mjini anzisheni Kigoma Social Funds

    Habari Tanzania ! Nimefurahi kuona Mtanzania ambaye ni Mwakilishi wa watu wa Kigoma Mjini - ndugu, Revocatus Chipando kwa namna anavyopambana na Uchumi Jamii ( Social - Economic Hub). Mimi kama mdau wa maendeleo hapa nchini. Naomba salamu hizi ziwafikie Viongozi wote wa Kigoma Mjini kuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Court Orders Influencer to Surrender Social Media Accounts Despite Lack of Evidence

    DAR ES SALAAM – In a ruling handed down yesterday, the District Court of Temeke has ordered social media influencer Clemence Kenan Mwandambo to surrender all his social media accounts and report to the police monthly for a year, despite prosecutors admitting they possess insufficient evidence to...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za kwenye idara ya procurement, lakini pia nina ujuzi kwenye ulimwengu wa social media na naongea kiingereza vizuri

    Habari wakuu Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie. Sifa zangu Jinsia: Me Umri: 28 Eneo: Dar es salaam Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management Naonngea kiingereza vizuri sana Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Police Force has Deployed Over 4,000 Police Officers to Educate Public on Responsible Social Media Use

    The Tanzania Police Force, through its spokesperson, the Deputy Commissioner of Police (DCP) David Misime, has revealed the deployment of more than 3,900 officers across Mainland Tanzania and 388 in Zanzibar to conduct public education on the responsible use of social media Speaking to the...
  17. JamiiForums Tanzania Mtalii aliyejaribu kukosoa safari yake ya kitalii Kenya amepokea backlash kubwa sana kwenye social media

    Kuna mtalii alikuja Africa (specfically Kenya) kuja kutalii wanyama kisha akapost video mtandaoni kuonesha kuwa hajavutiwa na safari hiyo. Kwamba no overrated Matokeo yake anepokea backlash kubwa mno kutoka kwa social media Angalia hapa, everything is in the pictures
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi Social Media Inavyochangia Tech Culture Tanzania

    Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube, na TikTok zinavyobring tech enthusiasts pamoja, kushare knowledge, na kushare events za tech. From...
  19. JamiiForums Tanzania Mamlaka acheni kufungia uhuru wa habari

    Suppression of free opinion (media, control, including restriction of social media)... Ni uonevu wa hali ya juu kwa wananchi ambao ni haki yetu kupata habari lakini mamlaka kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi kufungia na kutoheshimu wananchi wake. Mnapofungia vyombo vya habari na majukwaa...
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…