social

Social organisms, including human(s), live collectively in interacting populations. This interaction is considered social whether they are aware of it or not, and whether the exchange is voluntary or not.

View More On Wikipedia.org
  1. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji content kwa ajili ya blog, website, au social media posts? Tuko hapa kukusaidia!

    Unahitaji content(maudhui) inayovutia, yenye uhalisia, na inayobadilisha wasomaji kuwa wateja? Iwe kwa ajili ya blog/ website yako, product descriptions, email marketing, business documents, video scripts, au social media posts! Tuna uzoefu wa kuandika makala, blog posts, SEO content, na hata...
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kutumia Social Media kama Instagram, X, na Facebook

    Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook. 1. Kuanzisha...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti wa kuwa introvert na kuwa na social anxiety dis-order (social phobia)

    Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi. Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Team Lissu inanadiwa na social media

    Kwa wenzetu nchi za Uarabuni hii imetumika sana na imeleta mabadiko makubwa ktk kisiasa, sababu kubwa mwamko wa elimu kwa vijana upo juu Tanzania bado kabisa, wengi wanaona kama sehemu ya burudani, matusi, propaganda na sio sehemu sahihi za mabadiliko. Hili team Lissu mumedanganyika. Lema, Heche...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Civic and Moral Education & Social Studies natafuta kazi. Nipo DSM

    Habari, Mimi ni mwalimu ninaefundisha Civic and Moral Education, Social Studies na Kiswahili kwa primary schools. Additionally, naweza kufundisha matumizi ya Computer. Lakini pia ninaweza kufundisha History, Civics na English kwa secondary schools. Elimu yangu ni Digrii ya Elimu (Bachelor of...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mtaani na kwenye social media CCM imesahaulika kabisa wiki hii kwenye tasnia ya siasa wakati habari za CHADEMA zikitawala.

    Kwa kweli ukiangalia Jamii Furums, WhattsApp, Instagram, n.k. kati ya post 10 za siasa, 9 ni kuhusu CHADEMA. Ni kama vile CCM imeondoka kabisa kwenye ulingo wa siasa wa Tanzania, na hili jambo linasemwa kuwa linonesha hali halisi ya nguvu za vyama hivi vya siasa hasa CHADEMA ambayo habari zake...
  7. Logikos

    JamiiForums Tanzania Social Contract: Mkataba Baina ya wa Wananchi na Taasisi za Ulinzi unaharibiwa na kuendelea kuchanwa chanwa. Tujifakari

    Ili tuweze kuishi harmoniously tunahitaji sisi kama Raia na Wananchi tuingie Mikataba na kuilinda..., Na moja ya Mikataba hio ni Ulinzi na Haki ya kila Raia popote pale aweze kuishi vizuri ili mradi havunji Sheria na hata akivunja tufuate taratibu tulizojiwekea kama Jamii. Na hio sio Hisani wala...
Back
Top Bottom