Simu Bora kwa Mwaka 2019: Ni toleo lipi la smartphone ni bora kupita mengine kwa mwaka huu?

Miki123

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
288
502
Nimepita mtandao wa Android Police ambao wameichagua Pixel 3A kuwa ndio simu bora kwa mwaka 2019. Sasa nikiangalia bei yake si ya kitoto halafu sioni kama ina watumiaji wengi Tanzania.

450px-Pixel_3a_XL_Android_Pie_Always-On_Display.jpg


Sasa kwa sisi wa watumiaji wa Tecno, Samsung, Xiaomi, Oppo na nyinginezo zilizo na watumiaji wengi Tanzania ni simu gani unaipa marks kama zote kwa kuzingatia. RAM, Rom uwezo wa Chipset, Camera na suala la ukaaji wa betri bila kusahau bei.
 
Back
Top Bottom