Heshima kwenu moderators wa jamii forum, bila kuzunguka sana mimi raisi wa ma jobless pro max naomba ulinzi wenu siku ya leo humu jukwaani.
Ni kweli naipenda timu ya aArsenal ila inanitesa sana, sasa timu initese na hawa madogo wa JF wanizingue ah wapi.
Hakikisheni mna piga ban, yeyote atakaye...