siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siri imefichuka CCM walipanga njama kuifuta CHADEMA ili watengeneze katiba ya kifalme kama ile 1977

    Wasalaam. Tuanaelekea kwenye uchaguzi mkuu October japo wengine wamepigwa bann. Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana litakua bunge la cha kimoja. Wote ni mashuhuda tumeshuhudia bunge hili likiipongeza serikali kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Chukua hii mapema kabisa ya kuhusu makubaliano ya Siri na ya Kimkakati kati ya Yanga, Simba, TFF na Serikali juu ya Mechi yao

    Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu. Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu. Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ukifa Leo, Ni vitu gani muhimu ambavyo hukushirikisha watu wa karibu havitajulikana na siri zako zipi hasa zile za aibu zitakazofichuliwa ?

    Ni mambo mengi sana muhimu watu huwa wanasubiri wakati sahihi kuyaweka wazi lakini kifo huwa hakina hodi Mifano ya vitu Muhimu ambavyo havitajulikana ukifa leo: Akaunti zako za benki au fedha ulizoficha bila warithi kujua Viwanja, mashamba, nyumba au mali, kuna nyumba huwa zinaitwa za...
  4. JamiiForums Tanzania Nadharia na viapo vya serikali kuficha mambo yao ya siri na kutumia siasa kuficha siri zao

    Bill Cooper alikuwa mwanaharakati na mwandishi maarufu kwa kazi yake ya "Behold a Pale Horse," ambapo alijulikana kwa kuandika kuhusu nadharia mbalimbali za njama na masuala ya serikali. Katika kitabu chake, aligusia mada nyingi, ikiwa ni pamoja na mauaji ya Rais John F. Kennedy. Cooper alidai...
  5. JamiiForums Tanzania Siri na mustakabali wa maisha ya sasa ya wanasiasa na wasanii duniani

    SIRI NA MUSTAKABARI WA MAISHA YA SASA YA WANASIASA NA WASANII DUNIANI Tom McDonald ni msanii wa muziki wa hip-hop ambaye ameweza kujitokeza na maudhui yanayohusiana na masuala ya kijamii, siasa, na utamaduni. Katika baadhi ya nyimbo zake, amezungumzia mada kama vile Illuminati, cloning ya...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hii ni propaganda ya kitoto, Tanzania haijaanzisha jeshi la siri la kuua raia

    MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA Na Nulphin Charles Heche Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na kikundi chake kilichopo Nairobi wameibuka tena na madai ya kipuuzi yanayodai kwamba Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna ndoa ya siri

    Acha tufunge maneno vizuri leo. Hivi unajua kuna watu wanaoa kama vile wanafanya biashara ya madawa ya kulevya? Yaani, kimyakimya, bila mashahidi, bila kujulisha hata mbwa wa jirani. "ndoa ya siri." Sasa hivi bwana, kuna mtu anaweza kupata ndoa nyuma ya pazia alafu kesho anaanza kusema...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Siri 15 za Mafanikio Nilizojifunza Kutoka Kwenye Barua za Rockefeller Kwa Mwanae (unaweza Kujifunza pia Kuhusiana na Maisha)

    📆 Mei 29, 2025 Jioni... Nilikuwa nimetulia chumbani kwangu Huku niki-scroll Tu Instagram — boom! Nikakutana na post Kumuhusu: "John D. Rockefeller Yenye mkusanyiko Wa barua 38 kwa mwanae kuhusu mafanikio. Hizi barua Niliandikwa Kwa sentence fupi fupi Tu Sikupoteza muda... Nikaamua...
  9. JamiiForums Tanzania Zingatia suala la ulinzi wa mali zako unapojenga hivi ni baadhi ya siri za ulinzi kama unajenga

    Ujenzi wa sasa hauishii tu kwenye muundo wa nyumba bali unapaswa kuzingatia ulinzi na usalama wa mali zako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha nyumba yako iko salama: 🔹 Mambo Muhimu ya Ulinzi na Usalama ✅ Ufungaji wa Milango na Madirisha Imara Tumia milango ya chuma au yenye...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi ya kusadakika yenye mfalme juha sababu ni kaptula la marx

    Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali. Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa. Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi. Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je! Siyo kama Tanzania ilikuwa na ugomvi wa siri na Kenya?

    Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu. Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli? Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na mwenzake walikuwa wakosaji ,je adhabu za wakosaji wamakosa kama yao ndiyo wanaostahili kuadhibiwa kwa namna...
  12. JamiiForums Tanzania Basilla amwambia Rais Samia “Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili ila kufanya yanayovujishwa ni ukosefu mkubwa zaidi”

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi na Miss Tanzania wa Mwaka 1998 amezungumzia mambo kadhaa kuhusu kauli za WanaCCM wenzake, msome hapa… Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima na taadhima na upendo mkuu kwako ❤🇹🇿 Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili,na...
  13. JamiiForums Tanzania Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi

    📣📣📣📣📣📣📣📣 Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi 🗣️Leo nimeona ni vyema niwaletee makala hii fupi kuhusiana na kucha na nywele zinavyo husika katika ulimwengu wa kichawi ulimwengu huu ni mpana sana, basi bila kupoteza wakati twende sawa. 👉Nywele na kucha zinaaminika kuwa na nguvu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali, Gwajima asijibiwe, kufanya hivyo, ni kumpa ruksa ya kusema hata ya siri zaidi, mtapoteana

    Gwajima asijibiwe, atachafua mno hali ya hewa Kama mnakumbuka kipindi cha sakata la mzee Lowasa, mtakubaliana na mimi kuwa yule mtu hana woga Nimewahi kumsikia mara nyingi akitamka Yeye haogopi, maana yeye ni mtu mwenye uraia pacha, Yaani wa Duniani na wa mbinguni na yupo tayari kutumikia...
  15. JamiiForums Tanzania Kupambana na Mvujishaji wa siri za ufisadi badala ya kupambana na huo ufisadi.

    Nimebaki najiuliza Madudu ya ufisadi yanapowekwa wazi na wazalendo wanachukiwa ati ni watumishi ambao hawana maadili. Hata kupelekea kuachishwa kazi kwamba wamevujisha siri.na mafisadi hayo yanatetewa kwa nguvu zote na kupandishwa vyeo. Kwa hiyo ukiwa mzalendo ni uadui wako Mwenyewe
  16. JamiiForums Tanzania Unaweza kuwaza nini kimeshawapata waliovujisha siri CRDB na kule kwingine

    File movement katika ofisi za umma, hasa majalada ya siri, yanaenda kwa mtu mahsusi, na mpelekaji maalum. Pia CRDB mtu anayeingia katika akaunti mfumo unamsoma. Basi, yaliyokuta yamewastahili
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

    Kwanza kabisa Intorverts wana tabia zao za kipekee, wasichanganywe na wakimya au wapole, hayo ni makundi mengine. Introvert anafurahi zaidi akiwa peke yake ila haimaanishi hawezi kujimix. Introvert hapendi sana kujulikana, n.k. anaweza kuwa tajiri ila anavaa simple, simu ya kawaida, n.k...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna Mkakati wa Kijasusi wa CHADEMA mkakati wa siri Uliowekwa kati ya CHADEMA na CHAUMMA na CCM Inafanya Makosa Kutokujua Hilo, Japo Wanaambiwa..

    Katika miezi na siku za karibuni, uwanja wa kisiasa nchini Tanzania umeendelea kubadilika kwa kasi, huku vyama vya upinzani vikionyesha mabadiliko ya kimkakati ambayo yanaweza kubeba athari kubwa kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Mojawapo ya mwenendo unaoibua maswali mengi ni Uhamaji wa Kasi...
  19. JamiiForums Tanzania Majibu ya rafiki yangu baada ya kumuuliza Siri ya mafanikio yake

    Kaka tumekuwa wote kijijini Wote tumefeli darasa la Saba Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa Naomba siri ya mafanikio. Akasema mdogo wangu kuku maji unaweza kusex na nyoka??? Mpaka hapo nikaondoka sikuwa na majibu tena
  20. JamiiForums Tanzania Ipi siri ya wewe kudumu muda mrefu na huyo mwenza wako?

    Either ni katika ndoa or mahusiano ya kawaida.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…