sinza

Sinza is an administrative ward near the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 36,469.

View More On Wikipedia.org
  1. Goba soon itakuwa kama Sinza na Tabata

    Ilianzia njia nne kuelekea Madale bar zimepangana kila nyumba mbele bar na zote zimejaa magari ya maana na watoto wazuri huku mziki mkubwa wa bendi na vijana na nyingi hukesha aka night club. Ukianzia njie nne kulekea Masanja nako ni vile vile hata ukiingia ndani ndani kidogo hali si shwari...
  2. Z

    Nataka kuanza Maisha maeneo ya Sinza

    Wakuu habari By December nataka kuanza maisha Sinza au maeneo jirani na stand ya Mawasiliano ( sijui nayo hii kama ni Sinza). Nisiwachoshe sana, niende moja kwa moja kwenye point ya msingi. Ninahitaji kupata gheto maeneo ya Sinza zifuatazo 1. Sinza Kivulini 2. Lufungila hadi kwa mama ngoma 3...
  3. Sinza kijiweni old house for sale

    Nyumba na Kiwanja Vinauzwa โ€“ Sinza Kijiweni Nyumba na kiwanja chake vinapatikana Sinza Kijiweni, karibu kabisa na barabara ya lami. Ukubwa wa eneo ni sqm 338 na hati ipo tayari, unachohitaji ni kubadilisha umiliki tu! Bei ni Milioni 250. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi: ๐Ÿ“ž +255742892195...
  4. Natafuta chumba, masters cha kisasa - Mwenge / Sinza / Mlimani City

    Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) au Sinza Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo. Asanteni
  5. Picha: Amesema kama nampenda tushone hivi kwa gharama zake halafu twende kwao Sinza kwa miguu

    Duh! Ila mabinti wa kishua hasa hawa wa 2000 wana matatizo gani lakini? Aliniambia atanipatia jibu, badala ya jibu akaniambia niingie WhatsApp, akanitumia picha, akaniambia kama kweli namtaka kimahusiano niwe tayari kuvaa hivi kwa gharama zake, kisha tutoke Kagera hadi Sinza kuanzia saa 10 jioni...
  6. Sinza plot for sale

    Nyumba na Kiwanja Kinauzwa โ€“ Sinza Kijiweni ๐ŸŒ† ๐Ÿ“ Mahali: Ipo Sinza Kijiweni, karibu kabisa na barabara kuu ya lami. ๐Ÿ“ Ukubwa wa Eneo: Square mita 338. ๐Ÿ’ต Bei: TZS 250 Milioni. ๐Ÿ“„ Hati: Ipo tayari. ๐Ÿ“ž Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi: 0742892195 ๐Ÿข Ofisi yetu ipo Sinza Palestina. #NyumbaInauzwa...
  7. Sinza (Sin city) special thread: Burudani, Vimbwanga na Starehe unazoweza kuzipata

    Nimefikiria kuanzisha uzi kuhusu hii pande ya mji wa dar es salaam tupate kushirikishana mambo kadhaa. Ukiona pisi kali kapanga sinza anakaa kigetogeto na hana kazi maalum, mkuu usitongoze wewe uliza tu bao moja sh ngapi. Wanaume watanashati kupitiliza huko sinza wengi sio riziki. Kama ni...
  8. Riwaya: Baamedi wa Sinza Mori

    BAAMEDI WA SINZA MORI BY SELEMANI SELE NO 1. Maisha n safari na huwez jua kesho yako mungu kaipanga kwa namna gani. Naitwa marry nimezaliwa mm na mdogo Wangu wa kiume pekee,nilipofika kidato cha tatu baba alifariki na wakati huo mdogo wangu alikuwa darasa la sita. Kiukwel maisha ya nyunban...
  9. Wamiliki wa fremu Sinza zenye tisheti mbili tu na kiyoyozi, tunaombeni siri ya urembo

    Inashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu hiyo amechili tu akiwa na smartphone yake anaperuzi, muda huo meno nje nje. Nje imepaki BMW Unaamua...
  10. Biashara za Kinondoni na sinza

    Kinondoni studio na sinza fremu ya chini ni million 1 Lakini unakuta duka Lina nguo 10 na ukiingia ndani full kiyoyozi na nje mwenye duka kapaki ndinga ya maana Mimi uwa najiuliza Hawa uwa wanafanya biashara gani pale na wanawezaje kulipa Kodi!!?
  11. Hizi hotel za Sinza ukilala unasikia kama vishindo vyumba vya pili n marekebisho ama?

    Umaweza shangaaa kama n mara ya kwanza. Ila najiuliza mbona n endelevu Wengine wanakimbia kuja kupimzisha kichwa wa enjoy watoe stress Ajabu ikifika saa saba mpaka 10 ama.11 asbh yaan unaskkia kulia vyumba vinapiga kishindo nkajua marekebisho Hee ยน 11 mpaka moja asbh na sikia upande wa pili...
  12. KERO Biashara ya lodge Sinza, Manzese na Tandale ni hatari kwa sasa! Wateja na wamiliki wanadhalilishwa na polisi kwa kisingizio Cha madada poa!

    Inasikitisha sana kwa wakuu wa wilaya na mapolisi kuvamia guest usiku, na kuwadhalilisha wateja waliolala kama vibaka. Ifahamike kwamba gesti ni biashara kama zilivyo biashara zingine! Kinachoendelea wilaya ya Ubungo ni udhalilishaji na kuharibiana biashara. Chimbuko la madada poa sio gesti...
  13. Sinza: Madada Poa 25 na Wateja wao 5 wadakwa na Polisi

    Msako uliofanyika Ubungo Riverside unaendelea Sinza. Nadhani muda wa kwenda viwanja mbali na maeneo ya uyu Mkuu wa Wilaya. Hapa naona ni mitaa ya Vibe Lounge (zamani Corner Bar) Sinza Mori.
  14. Mtazamo wangu: Kuishi Sinza kunaweza kukuharibia maisha

    Natumaini Mko Salama Wapendwa wa JF, Huu ni Mtazamo wangu Binafsi Lakini kwa Namna Moja Ni Uhalisia Kwa Baadhi ya watu. Sisemi Kuwa Maisha Yangu Yameharibika Lakini Yamebadilika Mabadiliko Hasi, Mazingira au Eneo Unaloishi Linaweza Kuchangia Kubadili Tabia/mwenendo wako Hasi Au Chanya Jamii...
  15. Mkuu wa Wilaya ana mamlaka gani kufunga baa?

    Kuna clip inasambaaa DC kafunga sijui danguro la Riverside. Ajabu katangaza bar zilizo karibu na danguro zifungwe. Hizi bar zinalipa vibali vyote manispaa na TRA. Kuna kiki za kulazimisha zisizo na msingi. We umekamata danguro umefunga bar zinakuhusu nini. Otherwise pale Mwananyamala hospt lile...
  16. S

    Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wร le wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  17. Wadada acheni kupandikiza mashepu na lips za bei rahisi, nimemuona mmoja ninayemfahamu hapa Sinza kawa kituko kabisa

    Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa) Sasa imepita miezi miwili toka nionane nae, leo nimemuona kaumuka yaan ile kama kavimba vimba hivi. Kawa kama...
  18. Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi. Siku hizi Tabata unakutana na Small...
  19. Tukio la Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kudaiwa kumlawiti Mwanafunzi, Padri asimulia kilichotokea

    Paroko wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi - Sinza, Padre Josephat Celestine Muhoza amesema kuwa Kanisa lao lina taarifa kuhusu tuhuma za mlinzi wao mmoja anayetambulika kwa jina la Baraka kudaiwa kuhusika na tukio la kumlawiti Mwanafunzi wa darasa la Tano mwenye umri wa...
  20. DOKEZO Responded Madai ya Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kumlawiti Mwanafunzi, mama wa Mtoto aomba Serikali imsaidie

    Baada ya member wa JamiiForums kuripoti madai kuwa kuna Mlinzi wa Kanisa Katoliki la Sinza kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa kiume anayesoma Darasa la Tano katika Shule ya Msingi Sinza ya Jijini Dar es Salaam, kuna mwendelezo wa taarifa hiyo. Andiko hilo la awali lipo hapa - Serikali imsaidie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ