Takwimu kutoka Shirika la Mfuko wa Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zinaonyesha kuwa, kila mwezi, takribani wanawake bilioni 1.8 ulimwenguni kote hupata hedhi. Mwanzo wa hedhi kibaiolojia inamaanisha kuwa kuna awamu mpya katika uwezekano wa ongezeko la mwanadamu duniani, yaani upatikanaji wa...
Najua mtanipinga, lakini tusaidiane kuelewa kidogo. Kwanza asieshukuru kwa kidogo hawezi kuwa na shukrani kwa makubwa. Watumishi tulkua na matarajio makubwa sana juu ya 23%, lakini imetokea ilivyotokea. Ila, kwa mapato ya Nchi yetu na idadi ya watumishi hiyo 23% ingepigwa hivo kwa kila mtu...
Huwezi kuongelea siasa ya nchi yetu Tanzania pasi na kuwepo vilabu vya Yanga na Simba na huo ndiyo ukweli.
Sasa ndani ya Taasisi ya Simba kuna huyo binti Babra ambaye ndiye CEO wa klabu ile hakika ndani ya muda mchache ameshagombana na kila aliyehisi ni kirusi kwenye nafasi yake!
Utulivu...
Roma ndio ilianzisha Oukumene (umoja wa makanisa) na Oukumene inayaleta makanisa yote ya kikristo katika msingi mmoja na kuondoa tofauti ndogo ndogo ili wakristo wafikie umoja. Kwamba ifike mahali mkristo aweze kusali ama kuhamia kwenye kanisa lolote bila kubatizwa tena na kupokea ekaristi. Na...
Chanjo yaanza kubadilisha utu wa binadamu. Ni kipindi cha ukweli na uwazi. Msiwafanye Watanzania mazezeta ama kwa makusudi, ama kwa kutokujua kwenu, ama kwa vyoyote vile.
Kama mnavyotoa takwimu za wachanjwaji, mnaweza kutoa takwimu za kweli za wahanga wanaoganda damu na madhara mengine...
Hii ndio Kashfa mpya inayozunguka kwenye Manispaa hiyo kwa sasa , ikiwa ni siku chache tangu kashfa ya Mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo kutafuna zaidi ya sh. mil 300 za vikundi kuibuliwa.
Mstahiki Meya Abdallah Ntinika anatajwa kuwashawishi kwa nguvu kubwa viongozi wa Manispaa hiyo ili Waiuze...
Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa.
Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.
Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba...
Alivyofunguka kisomi wakili Kibatala kuwahusu wabunge 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA:
Sura tofauti katika kushughulikia tatizo la aina moja (double standards) katika rangi zake zaanikwa.
Waheshimiwa Pascal Mayalla , Petro E. Mselewa na ndugu wajumbe hoja hupingwa kwa hoja.
Au nasema...
Siyo siri, nchi ilikuwa katika sintofahamu, hofu na ahadi ya ufukara kwa nchi na mtu mmoja mmoja.
Matokeo ya uongozi wa Mwendzake.
Kitu cha kwanza Mam Samia kaondoa ni hofu.
Hofu ilikuwa ya ya kutekwa, kubambikwa kesi za uhujuumu uchumi , kuuwawa na hata kuishia jela bila makosa yoyote.
Pili...
Mwaka 2015 tulikuwa na uchaguzi mkuu wa viongozi wakisiasa.
Miongoni mwa wanasiasa waliogombea nafasi ya urais walinenwa kuwa ni wagonjwa hadi wakachafuana kwa matusi kuwa wanajichafua wakiwa majukwani.
Binafsi niliona nisiasa zisizo na heshima pia ushahidi wowote. Ikiwa mwanafunzi hujaza form...
Ndugu zangu,
Wakati umefika sasa baadhi ya viongozi wamemweleza Mbowe aache kuhadaa makamanda "kukubaliana na njaa, kuendesha chama kwa hela zao" ilihali yeye anatumia rasilimali za chama kuaafiri, kujilipa posho nk.
Kiongozi mmoja ambaye ni mwandamizi alisema "huwezi kuwaambia wenzako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.