Leo nimekutana na mwanamke aliyetaka kunibebesha jukumu lisilonihusu nimecheka sana

MtotoKautaka

Member
Jul 16, 2018
79
272
Ebana mwaka 2023 mwez wa9 mwanzoni nilikutana na huyu single maza tukakubaliana kutimiziana haja zetu bila mkataba kwani tulitafutana mara tu tulipokuwa tunahitajiana.

Sasa mwez wa9 mwishoni 2023 akaenda dar kufata mzigo ni mfanya biashara wa nguo za watoto. Kakaa kama wiki mbili hivi.

Mwezi wa10 mwanzoni akarudi, alinitaarifu kwamba karudi.
Mimi naye nilikuwa bize tukaja kupata time ya kuonana mwez wa1 mwaka huu. Coz nilikuwa nasafiri safiri.

Sasa tulipokutana nilinotice kwamba kitumbo kimevimba kiaina kusivo kawaida. Sikutaka kumwambia wala nini nikala mzigo tukaachana.

Zikapita wiki3 kama so mwez akanambia hivi mfano nikawa nimenasa mimba utaamua lipi? Nikamwambia nitaikubali kama ni yangu kweli, akasema sawa darling I love you, nikajibu I love you too stories zikaisha.

Hapo katikati tulikuwabize sana hatukukutana kama miez miwili hivi kaja kunichek mwez wa3 kanambia anamimba yangu. Nikapiga mahesabu ile time tukutane Kaba hajaenda dar alikuwa siku safe then from nowhere aje anambia anamimba yangu nikamkana nikamwambia wewe hiyo mimba nimeanza kuiona tangu mwez wa 1 kitumbo kilikuwa kimevimba kwahyo siwez kuikubali.

Tukakata mawasiliano toka mwez wa3 mpaka jana ndo nikamuoma duani kwake kwani katika kipindi chote cha katikati alimuweka mtu wa kumuuzia.

Tulipoonana tukakutanisha macho kiukweli nilistuka na nadhani nayeye alistuka kidogo. Ikabidi nisogee nikaona kitoto kimelazwa kwa pembeni tukasalimiana then nikamfunua mtoto huku namwambia kwamba ngoja niangalie sura ya kitoto kama kinaresemble na ukoo wetu akaanza kucheka namimi nikashindwa kujizuia nikaanza kucheka yani tulicheka mpka mtoto akaanza kulia nikamuaga nikasepa zangu.
 
images.jpeg
 
Hizi dhabi nyingine jamani shetani mwenyewe nae anashangaa!
 
Back
Top Bottom