Wakati Singida ilipofungwa na KMC 2-1 wachambuzi wetu uchwara hawakumlaumu kocha wala kuhoji kwanini Singinda imefungwa na timu dhaifu sana kama KMC na wala hawakuhoji kikosi, lakini baada ya Singida kufungwa na timu imara sana na hodari ya Yanga wachambuzi uchwara na wapenzi wa Simba wanahoji...