singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga: Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako

    TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako HATUA YA KWANZA: Pindi unaponunua umeme kwa simu au wakala wa kuuza...
  2. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania KAA TAYARI: Wateja wa LUKU wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kuna zoezi la Maboresho ya Mfumo

    KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..! USIBAKI NYUMA Usiache kufuatilia Taarifa kwenye Mitandao ya kijami na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili...
  3. Ileje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida Black Stars wana hoja wasikilizwe!

  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba agiza gari la maji limwagie uwanjani. Vumbi litawaumiza mashabiki wa Singida big stars.

    Vumbi limetawala hapo Namfua Stadium. Misomisondo amefunika ila tatizo vumbi la Singida. Mwageni maji basi.
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge kuwa MC wa tamasha la Singida big day kesho. Singida Black Stars wanawezaje kumlipa hela nyingi hivyo?

    Maulid Kitenge akija kwenye shughuli yako kama Mc hamna hamna ubaoni uwe na Milioni 15 mpaka 20. Klabu ndogo ya mkoani kama Singida ambayo inategemea mapato ya mlangoni wanawezaje kumlipa pesa nyingi hivyo Maulid? Hiyo hela wanapata wapi?
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Miraji Mtaturu, Mbunge wa Singida Mashariki Akataliwa kwa kuzomewa na wananchi

    Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeibiwa pesa zangu milioni 5 asubuhi hii Stendi ya Singida

    Hii ni mara ya pili naibiwa pesa kwenye stendi hii ya singida mara ya kwanza niliibiwa laki tatu stendi hii ya singida aisee sasa naona watu wa singida mmenizoea sana aisee na mniibia kwa style ile ile tu sijui nyie watu niwafanyia nini aisee Kuna siku mmwamenivunjia kioo cha gari langu crown...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe Ashiriki Baraza la UWT Wilaya ya Singida

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe alishiriki na kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Kikanuni la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika Wilaya ya Singida DC. Akizungumza katika Baraza hilo, Mhe. Aysharose Mattembe alisisitiza mambo yafuatayo ikiwemo...
  9. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida Black Stars tunatafuta vijana wa kuwasajili U20 na U17

    Habari watu wa Soka Singida Black Stars tunatarajia kufanya majaribio ya kutafuta wachezaji vijana wenye vipaji mkoani Singida watakaounda timu zetu za SBS U-20 na SBS U-17. VIGEZO: 1. Ni lazima kijana awe mkazi wa Singida 2. Ni lazima kijana awe na umri kuanzia miaka 16 hadi 19 3. Ni...
  10. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida Black star, wamejipanga, moto utawaka nafasi ya pili

    Hawa wapo kimya ila wamejipanga vyema. Naona wazi akichukua nafasi ya pili. Azam wameleta magalasa ya huko South America nadhani nafasi ya pili ataisikia redioni. Mbumbumbu a.k.a zoazoa fc au DEBORA fc naona wakishika nafasi ya 6 hata shirikisho hawapendi tena. Guede , Lyanga, Manura...
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msemaji wa singida black stars: tunashiriki cecafa kama mazoezi tu na tumepata uwanja wa avic town japo tunasubiri pia kuutumia wa bunju

    kumbe vilabu huwa vinaenda kushiriki mashindano ya kimataifa kama tu mazoezi na siyo kushindana kuwa bingwa? kazi ipo hakyanani...!!
  12. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mchoro Singida Black Stars tunauchora...

    Ndani ya wiki hii tumetambulisha watu watatu muhimu sana ndani ya timu yetu. Tulianza na Kocha Mkuu Patrick Aussems maarufu kama Uchebe, tukafuata Ramadhani Nsanzurwimo msaidizi wake ambaye ana uzoefu sana na soka la Afrika kisha leo mapema tumemtambulisha kocha wa viungo kutoka Club Africain...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kugombea ubunge Singida 2025

    Taharuki na matumbo joto kwa wanasiasa wabunge wa majimbo ya SINGIDA baada ya tetesi hizi kusambaa kama bush fire 🔥... Ameamua kubadili gia angani mapema, baada ya kutathimini kwa kina, kujiridhisha na kuthibitisha kwamba, mazingira ya chama chake si rafiki na hayampi matumaini, hamasa, wala...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema Tsh. Bilioni 93 zimetolewa Singida kwa ajili ya uwekaji wa Taa, Barabara na Madaraja

    Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani kwa ajili ya miradi ya uwekaji taa za barabarani, Ujenzi na matengenezo ya Barabara, Pamoja na ujenzi wa madaraja. Kiasi...
  15. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RASMI: Massanza ni Msemaji wa Singida Black Stars

    Wadau wa Soka Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano. Nami nipo tayari kuisemea na kuitetea kwa weledi na maarifa yangu yote.. Eeh Mwenyeezi Mungu nisaidie 🙏🏾
  16. 12STONE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM yapanga kufanya mkutano eneo ambalo CHADEMA walipanga kufanya mkutano huko Singida Magharibi

    Serikali inajipiga kifua kwamba katika Uongozi wa MAMA SAMIA RAIS WA JMT ,Demokrasia imestawi. Kiukweli usawa wa uendeshaji wa shughuli za kisiasa unabinywa chini kwa chini karibia kila Kona ya Nchi yetu. Kesho Jumanne Tarehe 11/6/2024 kutakuwa na Mkutano wa MHESHIMIWA TUNDU LISSU (MAKAMU/KITI...
  17. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KWA SINGIDA HII IJAYO SITOOSHANGAA SIMBA KUWA YA NNE

    ANGALIZO TU TUNUKUU TAR YA LEO .KWA USHINDAN WA TIMU ZIJAZO LIGI YA NBC SIMBA NIWAPE TAHADHARI MSISHANGAE MKAWA WA NNE LIGI INAPOKWISHA NA MSISHANGAE N MABADILKO NCHI TUUU ANDIKA TAR YA LEO NA SIKU YALEOO
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Singida: DED azuia Mkutano wa Hadhara wa Tundu Lissu, Mwenyewe apinga asema lazima Ufanyike au la Patachimbika

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Huko Singida Mjini kumepangwa kufanyika Mkutano wa Hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu 8/6/2024, kwenye viwanja vya Stendi ya Zamani. Taratibu zote zimekamilishwa na kwamba Polisi wameahidi kutoa ulinzi , lakini cha ajabu Mkurugenzi wa...
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchebe kasaini kufundisha Singida black stars

    Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars. Singida safari hii wanawekeza sana.
  20. micind

    JamiiForums Tanzania Bei za viwanja Singida Manispaa

    Habari zenu wadau wa ujenzi. Kama title inavyojielezea. Nahitaji kujenga hapa Singida mjini na mimi sio mwenyeji sana, naomba kuuliza kwa wakazi wa Singida bei za viwanja hapa Manispaa kwa wastani ni sh ngapi? Na pia ni maeneo Gani mazuri zaidi kwa kuweka makazi. Nitashukuru sana nikipata...
Back
Top Bottom