simu

  1. JamiiForums Tanzania Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?

    Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti? Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
  2. JamiiForums Tanzania Kampuni za simu, mbona mnaunyamazia utapeli wa kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na data?

    Kuna matangazo mengi ya kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na Data mitandaoni na watu wanaamini na kupigwa pesa kila uchao. Lakini pamoja na mitandao husika kutajwa bado wao wako kimya kama vile hayawahusu. Je, ni kweli huduma ya kuungiwa vifurushi imebinafsishwa? Au ni wizi ambao na...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi hizi simu wanazonunua mbovu zinaenda wapi??

    Nimejaribu sana kuwaza hilo swala wale watu wanapita na makelele majumbani tunanunua simu mbovu shida nini na zinaendaga wapi zikinunuliwa?? Tulishazoea chuma chakavu. Pesa mbovu. Hivi sasa wananunua na simu mbovu aisee. Majuzi niko bar naona mtu na mkewe wana sumaku mkononi wanaokotaaa...
  4. JamiiForums Tanzania Ringtone ya simu yako ni wimbo wa msanii gani?

    Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
  5. JamiiForums Tanzania Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    Kwema Wadau? Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena...
  6. JamiiForums Tanzania Madhara yanayotupata kwa sababu ya kutumia simu muda mwingi

    Unaweza kujikuta unakuwa sio mfanya mazoezi Tena sababu kuu ikiwa ni simu kuniletea Dunia karibu vitu kama vyote live sasa muda wa kujiweka fit umechukuliwa. Unaweza kujikuta wengi wa vijana tunaishia kujichua wengine hata Mara nne Kwa siku Kwa sababu una access ya porno all the time hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Ni ipi tofauti ya simu za Redmi na Xiaomi?

    Naona zinanichanganya nashindwa kuelewa ni kampuni moja au tofauti Kama ni kampuni moja iweje na matoleo ya majina tofauti kwa mfano Kuna Xiaomi 14 na Kuna Redmi note 13 simu zote hizo utakuta kama ni Redmi kwenye body kava imeandikwa Redmi na kama ni Xiaomi basi imeandikwa Xiaomi Tofauti na...
  8. JamiiForums Tanzania Sheria ya makosa ya shule inasemaje mwanafunzi anapokamatwa na simu?

    Je, simu hiyo anapaswa kurudishiwa, au kuitaifisha au kufanya nini? Tafadhali nijibu kulingana na sheria inavyosema na sio kwa kuzingatia maadili.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Saa 3 usiku mpaka saa 11 asubuhi simu inatumika

    Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa. Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze kioo cha Simu aina ya Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
  11. JamiiForums Tanzania Namba za kupiga na kutambua kama Simu yako imehakiwa au inafuatiliwa, kuibiwa n.k

    Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua. Pia kama umeibiwa simu yako unaweza kujua taarifa zake kwa urahisi zaidi. Kujua namba ya utambuzi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kampuni za simu

    Nashauri hii usemi nikiunga bando nawapa hela mnasema ndugu mteja ombi lako linashuggulikiwa utapata ujumbe ... . hapana mana hilo sio ombi Semen amri yako inashughulikiwa
  13. JamiiForums Tanzania Nigeria: Wananchi wapinga Tozo ya Usalama wa Mtandao kupitia Miamala ya Benki na Simu

    Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu. Benki Kuu ya Nigeria (CBN) imeziagiza taasisi za fedha kwamba ushuru wa 0.5% unaokusudiwa kuongeza pesa ili kuimarisha...
  14. JamiiForums Tanzania Miwani ya kuzuia mionzi hatari ya kompyuta, simu na tv

    - Hutakiwi kuikosa miwani hii, miwani hii ni PHOTOCHROMIC, inabadilika na kuwa nyeusi kila unapopigwa na mwanga wa jua na kuweza kukukinga na mwanga mkali wa jua. - Itakukinga na mionzi mikali ya KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV inayopelekea kichwa kuuma chenyewe, Macho kutoa machozi na kuwasha...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi unatumia vigezo vipi unapotaka kusajili laini ya simu?

    Hivi unatumia vigezo vipi unapotaka kusajili laini ya simu? tushare pamoja hapa kwenye comments
  16. JamiiForums Tanzania Unapoongea na simu kuwa makini na nyakati hii

    Leo sina mambo mengi kabisa yaan,,ni hivi wakati muhimu kabisa wa kujua siri za mzungumzaji upande wa pili wa simu ni pale mnapomaliza mazungumzo na kukata simu. Yaan mda huo kama utaagana na mtu kwenye simu basi kawia kidogo usikate simu mapema yaan hapo utasikia kitu fulani ambacho...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Router za dukani ni bei kubwa, kuna mtandao wa simu unaouza router za huawei zinazoweza kufunguka kusoma lain zote ??

    router za dukani ni gharama kubwa sana almost laki na kitu. Router za mitandao ya simu huwa wanauza kwa hasara ama bila faida wanategemea mteja utafidia kwenye vifurushi. Ni mtandao upi wa simu kwenye maduka yao wana router za huawei ? Nimechagua huawei sababu kuna features nyingi na support...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Vocha za Mitandao ya simu zadaiwa kupandisha bei kiholela Mbozi

    Wafanyabiashara katika Mji wa Mlowo, Mbozi wamedaiwa kupandisha vocha za mitandao ya simu toka bei halisi na kuongeza kiwango kati ya shilingi 100 hadi 200 kutokana na eneo hali ilioibuka malalamiko kwa watumiaji wa mitandao ya simu. Wakiongea malalamiko yao mbele ya mwandishi wetu wamedai...
  19. E

    JamiiForums Tanzania ‘Sim card’ hazisomi kwenye simu mpya

    Salaam, Nimenunua simu kwa njia ya mtandao (huawei p8 lite) Imenifikia tyr lakini laini hazisomi, wataalamu shida ni nn Labda sikua makini kwenye kuangalia (mtandao ni KIKUU)
  20. JamiiForums Tanzania Haya njooni mnipe hizo program za kuflashia simu

    wakuu kichwa cha habari kinajielza njooni mnipe program za kuflash simu nipo kijijini nijitafutie hela ya vocha hapa maana kuna changamto ya kuflash simu NAWASILISHA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…