simu

  1. JamiiForums Tanzania Mmeona meseji ya kupunguza gharama za tozo/makato twa mitandao ya simu?

    Uchaguaji huja na mambo mengi MNO...mnaumizwa kwa miezi kadha wa kadha af mnapozwa kwa miezi kadhaa....ULIMBO HUU bwana Migulu kashakaa kuseti majambo😄😅
  2. JamiiForums Tanzania Je, Kodi kwa Mikoa, Wilaya na Mitaa inafaa kwa sasa katika Taifa letu

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza. Hivi ni lini tutaweza kutoza Kodi Mikoa, Wilaya, Kata na Kijiji/ Mtaa? Ili wanavyopelekewa fedha za Umma kwaajili ya maendeleo wanapaswa waonje uchungu, wawe makini na waweze kuweka nidhamu ya fedha. Karibu.
  3. JamiiForums Tanzania Apk ya kujua afya ya battery ya simu yako (android phones)

    HABARI YAKO. Najua utakua umewahi pitia changamoto kwenye simu yako (Android phones) na kujiuliza sana kua "Mbona simu yangu inawahi kuisha chaji haraka sana?" bila kujua shida ni nini. Kwa upande wa iOS devices ninamaanisha iPhones hua wanakuonesha hali ya afya ya battery yako kwa mfumo wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua duka la jumla la simu na vifaa confine vya electronics anitaarifu ninashida

    Msaada tafadhal
  5. R

    JamiiForums Tanzania Usimamizi wa 'Mikopo ya Dharura kupitia simu' nchini Tanzania

    Utangulizi Kuwa kwa kasi kwa huduma za kifedha za kidijitali nchini Tanzania kumeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa mikopo na huduma za malipo kwa mamilioni ya wananchi. Miongoni mwa ubunifu huu ni kuibuka kwa huduma za mkopo wa dharura kupitia simu za mkononi, zinazojulikana kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Matokeo ya uraisi kupingwa mahakamani, wakala wa mgombea kuingia na simu kwenye kituo Cha kupigia kura

    Kama kawaida nawaletea za ndani kabisa. Ikumbukwe wiki hii niliwaletea habari kuwa bunge halitovunjwa Hadi August, na imekuwa hivyo. Sasa ndani ya mwezi July kutafanyika marekebisho madogo ya katiba na kanuni za uchaguzi. Marekebisho hayo ni kuwa Kwa mara ya kwanza matokeo ya uraisi yataweza...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni ushauri wenu nichukue hii simu au imekaa kishamba

    Infinix hot 50 pro+ Sifa zake; Display, Amoled Resolution, 1080x2436 pixels OS, Android 14 Chipset, mediatek helio G100 (6nm) CPU, (2x2.2 GHz Cortex-A76 & 6x2.0 GHz Cortex-A55) GPU, Mali G57-MC2 Memory, 16GB RAM - 256GB ROM BETTERY Type, 5000mAh Charging, 33 wired 50% in 26min Sijawahi kutumia...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Followers na Kutengeneza TZS 2,000,000+ Kwa Mwezi Kwa Kutumia Simu Yako Tu

    Katika dunia ya leo ya kidigitali, social proof ni kila kitu. Watu wanataka kuonekana wanafuatiliwa, na biashara nyingi zinahitaji followers ili kuwashawishi wateja wao. Hii ndiyo sababu kuu iliyoifanya biashara ya kuuza social media followers kuwa fursa halali, rahisi, na yenye faida kubwa —...
  9. JamiiForums Tanzania Simu yangu haliishi lisaa inaniambia kuna junk files nizifute

    Mimi nimekulia kwenye simu zile za kukoroga kama unapiga hendeli Hizi simu za smart sizijui sana. Simu yangu haliishi lisaa inaniambia kuna junk files nizifute Nikiangalia unakuta junk zinakuwa na ukubwa wa 900MB hata na zaidi kufikia GB naomba msaada ni wapi nimekosea Ni mpya aina ya Galaxy M23
  10. JamiiForums Tanzania Nauza simu OnePlus 9RT

    OnePlus 9RT 256 STORAGE 8 RAM 350,000/= 0769681330 Dar Es Salaam
  11. JamiiForums Tanzania Spika Tulia awaka Wabunge kuongea na Wajumbe kwa Simu Bungeni, atishia Kamera kuwamlika

    Spika Dkt. Tulia alivyowataka Wabunge kupunguza sauti na kuepuka kuongea na Simu na Wajumbe Bungeni; "Mnaanza kidogo kidogo, halafu zinapanda" "Waheshimiwa Wabunge mnajadiliana mambo ya msingi sana lakini punguzeni sauti, wale mnaoongea na simu mnaanza kuongea kidogo kidogo lakini baadaye...
  12. JamiiForums Tanzania Muhimu: Aina 5 Za Simu Zinazopendwa na Vijana hasa Wanachuo Tanzania

    #mwanakidigitali najua pengine kuna muda unakuwa unapesa yako lakini unapatwa na kigugumizi sana hasa unapo fikiria simu gani unataka kununua na itakayo kufaa . Leo nitakutajia listi ya simu aina 5 ambazo vijana wengi wa Tanzania hupenda zaidi kutumia hasa kwa wanachuo wengi kwa sababu tofauti ...
  13. W

    JamiiForums Tanzania USB cable zipi za kuchajia simu ni nzuri kwenye maduka ya mtaani ?

    nahitaji kwenda kununua usb type c cable ya kuchaji simu, naombeni ushauri wenu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Simu ya zamani Samsung galaxy grand prime + Inasumbua

    Nimekua nikitumia simu hii kwa muda mrefu tangu mwaka 2019 hadi nilipopata changamoto ya kugoma kuwaka baada ya kuinstal App ya kudownload content mtandaoni ambayo niliitoa nje ya playstore. Baada ya kuipeleka kwa fundi aliniuliza kama naweza kukumbuka email na password za google akaunti yangu...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli kuwa simu ya mama ni ya familia ila simu ya baba inabaki kuwa ni ya baba tu

    Wakuu haya si maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mtu wangu mmoja ninayemwamini sana kwa kunipa uzoefu na nasaa juu ya mambo mbalimbali ya kimaisha.
  16. JamiiForums Tanzania Fundi simu hapa uliza chochote

    Una changamoto gani kwenye simu yako nikupe solution na bei ya matengenezo Ulizq chochote notakujibu kwenye comment Whatsapp 0757937196
  17. JamiiForums Tanzania Nauza simu yangu

    Infinix hot 30 play 6000 battery Used 150,000 Nipo Dar
  18. C

    JamiiForums Tanzania Tume 'huru' ya Uchaguzi pokeeni simu, niwape makavu!

    Mara kadhaa nimejaribu kuwapigia kwa simu mlizoandika kwenye website yenu. Ila hapokei simu, why? Pokeeni mle za uso
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania kuzalisha battery ambazo zitajaa kwa mda wa dakika 5 lengo ni kuokoa muda unaotumika kuchaji

    Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mambo tutakayofanya kama nchi ni kuzalisha battery zitakazotumia dakika 5 kujaa na hii itakuwa sio tu battery za simu, bali itajumuisha battery za ndege, helicopter na rockets Fahamu battery ya ndege inatakiwa baada ya km 2000 ndo liishe na lijazwe kwa dakika 5...
  20. U

    JamiiForums Tanzania IRGC inasema Israel inatumia teknolojia ya kufuatilia simu za mkononi kutekeleza mauaji ndani ya Iran, ikiwa ni pamoja na wanasayansi wa nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote. Shirika la Habari la Fars linaloshirikiana na IRGC liliripoti Jumatatu. "Israel inatumia ufuatiliaji wa simu kuwaua watu nchini Iran. Hapo awali ilimuua Ismail Haniyeh kwa njia hiyo hiyo huko Tehran," chombo hicho kilisema. Fars aliongeza kuwa hata kuzima simu za rununu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…