simba

  1. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Simba haiwezi ondoka na points tatu Kagera. Hilo wasahau. Wakipata moja washukuru sana

    Game imeshaisha. Ngoma ya watoto haikeshi. Kagera si mnyonge na hawezi anza leo kuwa mnyonge. Simba wakipata point moja washukuru sana. Wakachinje na ng'ombe. Kagera huwa kwao wanapocheza na mikia si team ya mzaha. Hawana urafiki kabisa na mikia. Tunashukuru huwa hawatuangushi.
  2. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Simba anatwaa ubingwa 2024/25 wala halihitaji ramli!

    Wengi wanaponda upangaji wa kikosi wa mwalimu fadlu davis mbinu zake,kwanza kabisa mimi sio shabiki wala mpenzi wa klabu ya simba mimi ni shabiki na mwanachama wa Coastal union mangushi ya Tanga ila sasa navutiwa na timu ya mkoa wangu wa asili Tabora united. Niseme ukweli bila kupepesa Simba...
  3. Dabil

    JamiiForums Tanzania CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

    Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo. Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
  4. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

    Mtanange mkali sana leo. 21/12/2024. MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA. Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera. Mwenyeji : Kagera Sugar FC Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam Muda : 10 jioni. KIKOSI. KIKOSI CHA SIMBA
  5. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Uchawi unaichelewesha Simba.

    Habari wanasports. Katika mambo ambayo yanaikwamisha simba kupiga hatua hasa ndani ya uwanja ni UCHAWI. Wachezaji wanarogana sana hivyo timu inakua ngumu kufikia malengo yake kwa wakati. Kramo, Fraga, Kwassi, Mugalu, Ngoma(alienda kwao kurekebisha mambo, sasa mambo yanakaa poa na anataka...
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Badala ya kuilipisha Simba, tuhoji zoezi la kubadili viti vya Uwanja wa Mkapa limeishia wapi?

    Ni zaidi ya mwaka sasa, toka enzi za uzinduzi wa African Football League (AFL) tuliambiwa kuwa viti vyote vya uwanja wa Benjamin Mkapa vingeenda kubadilishwa kama sehemu ya matengenezo makubwa ya uwanja. Cha ajabu viti vimeendelea kuchakaa na vingine kung'oka huku hakuna kilichofanyika mpaka...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Matendo ya kihuni yaliyofanywa na mashabiki na viongozi wa Simba 2024

    Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, hebu niweke mambo ya ajabu yaliyofanywa na Simba mwaka 2024 1. Kung'oa Viti 256 uwanja wa Taifa na kuwadhuru warabu wa Tunisia, Taifa limepata aibu kubwa 2. Kuvunja vioo na milango uwanja wa CCM Kirumba 3 Kumdhalilisha Mkuu wa mkoa wa Mwanza pamoja na police...
  8. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba SC ikiibuka na ushindi dhidi ya Kengold

    1. Simba imecheza vizuri mno/kikubwa kipindi cha kwanza. Kongole kwa Awesu Awesu, Muzamiru yassin, Fabrice Ngoma, Kelvin Kijili na Ladark Chasambi. 2. Sub ya Okejepha, Ahoua na Mutale imeharibu mpira wa Simba kipindi cha pili. 3. Jean Charles Ahoua haitendei haki nafasi anayocheza, simba...
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mpanzu ni usajili wa kisiasa kuna uwezekano asicheze kabisa Simba

    Elie Mpanzu aka Joshua Mutale toka kongo. Huu ni usajili wa kisiasa na inawezekana asichezee kabisa Simba msimu huu. Simba ni mabingwa wa kufanya sajili za kisiasa kutuliza joto la mashabiki. Lakini pia Mpanzu hana quality ambayo wengi wanaamini anayo ni winga wa kizamani wa kucheza kwenye...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  11. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Simba leo ana sare na Kengold

    Nawapa za ndani na kichambuzi Simba UWEZO wao ni mdogo sana CHASAMBI hawezi kupata number ata team ya mtaani kwetu Kwa uchezaji wake.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Adhabu wanayostahili Simba ni kufungiwa kucheza bila mashabiki

    Kwa uharibifu mkubwa uliofanywa na mashabiki wa Simba kung’oa viti vya Uwanja wa Benjamini Mkapa kipindi ambacho marekebisho mbalimbali yanaendelea kufanywa na serikali katika Uwanja huo, adhabu pekee wanayostahili Klabu ya Simba ni kufungiwa kucheza bila mashabiki kwa kipindi cha mwaka mmoja...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ikifungiwa itaujaza uwanja wa Uhuru na shangwe zitasikika

    Kuna watu waliokatia tamaa maisha, wikendi hii wakavalisha wenzao Sanda ili kuichafua image ya Simba iliyojengwa kwa muda mrefu kwa machozi, jasho na damu. Sasa hivi hao watu wanapiga kelele kutaka Simba ifungiwe kuingiza mashabiki, wanadhani CAF ni shangazi zao. Watu wanachukulia mambo...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu simba hawezi fuzu kwenye kundi lake

    Kwa watu wenye weledi wa mpira ni kuwa simba ana kibarua kigumu sana cha kufuzu mbele ya hili grupo lake kutokana na namna wanavyocheza na wapinzani wao sio wanyonge. Ili simba apite inabidi amstopishe bravo ugenini na kitu kigumu kwa wale jamaa mana wameshaona simba ni wepesi kwa hiyo itakuwa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yalaani vurugu zilozofanywa na Klabu ya CS Sfaxien jijini Dar

    Klabu ya Simba inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa; Tarehe 15 Desemba 2024, katika mchezo wake wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika uwanja wa Benjamin Mkapa, zilizuka ghasia zilizoanzishwa na timu pinzani licha ya kupokelewa na kupewa...
  16. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mwana Simba alishiriki kung'oa viti basi ni mpuuzi na anatakiwa aone aibu kwenda tena uwanjani

    Ulevi, bangi na elimu ya kukalilishwa ni tatizo kubwa kwa nchi yetu. Haiwezekani timu imeshinda halafu kuna watanzania wachache wapuuzi wanakimbilia kupigana na wageni tena kwa kung'oa viti ambavyo ni mali yao wenyewe. Mimi ni mwanasimba ninae miliki kadi ya uanachama ila upuuzi kama huu...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba yatakiwa kulipa gharama viti kung'olewa kwa Mkapa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua klabu ya Simba kuhusu ung'olewaji wa viti uliofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jana. Kupitia taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano serikalini...
  18. pet geo pet

    JamiiForums Tanzania Refa alikuwa sahihi katika mchezo wa Simba vs mwarabu ..

    Nimejaribu kupitia sheria kuhusu dakika za nyongeza lakini ki uharisia na sheria refa yupo sahihi kwa 100% .someni na nyie kanuni za fifa nimeweka hapa chini
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa tamko baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti Uwanja wa Taifa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien. Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis afunguka baada ya kuibeba klabu yake ya Simba mechi na CS Sfaxien

    Kibu Denis amefunguka baada ya kuibeba klabu yake ya Simba kwa kufunga magoli kwenye mechi na CS Sfaxien
Back
Top Bottom