Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,394
- 3,078
Game tumeimaliza. Jamaa wamejaa kwenye mfumo. Hongereni sana Singida kwa kutuheshimisha.
Yanga buana😂Game tumeimaliza. Jamaa wamejaa kwenye mfumo. Hongereni sana Singida kwa kutuheshimisha.
Tulia weKUNDU wa msimbaziNyuma mwiko kazi imeanza
Nyuma uboo.Singida daima mbele
Ungeomba ban sasa akatambikr ili iwejeGame tumeimaliza. Jamaa wamejaa kwenye mfumo. Hongereni sana Singida kwa kutuheshimisha.