simba

  1. Labani og

    JamiiForums Tanzania Simba waamua kutembeza bakuli kuchangia faini ya CAF

    Bakuli lishaanza kutembezwa. Mlivyokuwa mnatoa viti mnasema Ubaya Ubwela[emoji23][emoji23][emoji23]Haya toeni pesa. Na Zile za Uwanja zipo wapi kwanza? Makolo waomba kuchangia faini ya 100 million Ili kulipa faini Baada ya kuvunja viti [emoji23][emoji23] NB: yawezekana hata sio makolo...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kibwana Shomari nilipokuona tu uko karibu na Mchezaji Mmoja Mstaafu wa Simba SC na Bingwa wa Miba nikajua tu Yao Kwasi amekwisha na limetimia

    Beki wa Yanga, Kouassi Attohoula Yao atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kisichopungua wiki nne na kisichozidi wiki sita baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na enka. Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Yao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wengi wa Simba wanaongoza kwa MAJUNGU na WIVU

    Sijui ni kwanini. Yaani hata iwe mitaani ukisikia familia imegombana ujue chanzo ni jungu lililotengenezwa na jirani shabiki wa Simba. Iwe ni kazini/ofisini ukiona ghafla Boss anakuchukia ujue tayari kuna Kolo katengeneza jungu. Jamaa huwa hawapendi kuona mwingine akistawi. Na ndio maana...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ina mashabiki "passionate" wenye hisia na timu yao

    Ndiyo, adhabu ambayo CAF wameipiga Simba ikiwepo ya pesa na kutoingiza mashabiki inauma na hakuna mwanasimba aliyeifurahia. Ni muhimu tukakumbuka kuwa Simba si timu ya kwanza kupewa adhabu hiyo. Wydad, Al Ahly, Esperance na USMA, ni miamba wengine wa Africa wamewahi kupewa adhabu ya namna hiyo...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba yapunguziwa adhabu mechi Moja bila watazamaji

    Caf Wameona Hurumaa na sasa wamepunguza Simba watamisi mechi Moja kucheza bila washabgiliaji na sio 2 kama awali All dbest
  6. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga (mwalimu Yanga) ataka kuikana ahadi aliyoitoa iwapo Simba ikiingia robo fainali CAFCC

    Alitaka kujizima data, apata kigugumizi. Ni fundisho kwa watoa ahadi wa humu JF akina Pdidy, Labani og, Minjingu Jingu, Chief Godlove, Gunner Shooter
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Che Malone awaomba radhi Wanasimba

    Beki wa kimataifa Che Malone kupitia ukurasa wake wa Instagram anewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya ikiwemo lililoigharimu Simba January 13, 2024 nchini Angola dhidi ya Bravos , kwenye mchezo huo Simba alipata sare ya moja moja na kuipa nafasi ya...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Kocha Mnafiki Ibenge baada ya jana kufika Bei na kuwaachia 'Calculator FC' ndiyo kaamua Kuidhalilisha hivi Simba SC?

    Katika Mtandao wa Sokavibe6 ameonekana Kocha Ibenge akiwa na Ali Kamwe na Privaldinho kutoka Yanga SC akisema kuwa Simba SC huwa wanaweka Dawa Vyumbani kwa Mkapa ili kuzifunga Timu za Kigeni na kwamba Yanga SC huwa hawana huo Utaratibu. Huu ni Udhalilishaji mkubwa na kutaka tu kuichafua Klabu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa Simba kuna dogo mmoja fundi wa mpira Bravos aliingia kipindi cha pili mfupi na anaitwa Mathew, mali ile

    Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa. Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
  10. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

    Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ni jumapili tulivu, Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports atashuka dimbani dhidi ya wenyeji wake Bravos ya Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika. Katika mchezo wa kwanza, Simba akiwa nyumbani aliibuka na ushindi wa 1-0, je ataendeleza...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Short Story: Simba wa Mizimu

    SIMBA WA MIZIMU Siku moja nilikwenda katika kijiji kimoja kilichokuwa kikishambuliwa na ndovu mara kwa mara. Nilipokuwa nikipitia njiani, nilimwona mtu mmoja juu ya dungu lake akiezeka paa la dungu kwa makuti ya mkoche. Nilipopita pale chini la dungu, yule mtu akanitazama kisha akacheka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simba kwenye uumbwaji

    Hapo mwanzo Simba haikuonekana timu tishio. Kila mshabiki wa Simba hakuwa na tumaini na timu yake. Ndipo Mo akasema, anarudi kwenye uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi. Ikiwa jioni, ikawa asubuhi siku ya kwanza. Mo akamleta Camara akasaidiane na Manula, Salim na Abel. Mo akamwambia Camara, kwa...
  13. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Hii picha nimeona ameposti shabiki wa Yanga

    Angekua amepost shabiki wa Simba ningejua anamaamisha simba anaonea huko madogo maana yeye ni timu kubwa. Ila kwakua ameposti shabiki wa yanga anamaanisha Simba anacheza kombe la watoto (kubwa jinga).
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Simba na Yanga kimataifa msimu huu

    Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni. Msimu huu kuna mambo kadhaa yanafanana kati ya Simba na Yanga katika mechi za kimataifa: 1. Simba na Yanga zote zilicheza ugenini...
  15. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Karibuni sana simba na yanga na wana michezo wote

    Naomba tujiunge group letu pendwa la watani wa jadi Tanzania wewe ukitaka kujiunga gusa hapa tu : SIMBA VS YANGA utakuwa umeungana na wana michezo wenzako karibu sana mdau wa soka unakaribishwa kutoa hoja kuhusu Soka
  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Simba kwa mara ya kwanza anapata ushindi kaskazini mwa Afrika

    Ni mechi ambayo ilihitaji wachezaji wanaokimbia sana kiwanjani , kulikuwa na matumizi ya mipira mingi mirefu , power play kwenye nyakati nyingi : Simba walianza na plan nzuri sana dhidi ya Sfaxien . 1 : Walihakikisha wanawafanya Cs Sfaxien hawanufaiki na mipira ya juu yote ya juu (wanacheza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga wanamweka benchi mshambuliaji hatari kabisa Jean Baleke vipi Simba imng'ang'ania Mukwala ambaye hana faida yoyote

    Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni. Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Asanteni Singida Big Stars na walio nyuma yenu, mliiandaa Simba kwa mechi ya leo dhidi ya Sfaxien

    Wahenga walisema "baraka inaweza kujificha". Siku chache zilizopita Simba ilienda Singida ikakutana na mechi ngumu ya kukamiwa. Walio nyuma ya Singida wakawaahidi wachezaji wao mapesa mengi. Kilichotokea, wachezaji vijana wa Simba kina Ahoua walizidi kupata experience ya kucheza mengi ngumu...
  19. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikishinda ugenini dhidi ya waarabu CS Sfaxien

    1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76. 2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli. 3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba. 4. Kuna namna lionel ateba anaanza...
  20. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Mechi baina ya Simba na Yanga, waamuzi watoke nje ya Tanzania kwa usalama wao pamoja na familia zao?

    Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani. Kama mtu anaweza kujiua kisa tu Simba kamfunga yangu au Yanga kamfunga Simba, wewe unafikiri...
Back
Top Bottom