simba

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

    Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo Haya mashindano...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

    Orodha ya vilabu bora africa baada ya hatua ya makundi
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Simba atakutana na zamalek robo fainali

    Huu ndio ukweli mchungu mbumbumbu fc wanaenda kuaga mashindano haya ya looser kama kawaida Yao Kwa aibu ya mwaka ambapo itakutana na kichapo Cha mbwa Koko kutoka Kwa wababe Hawa kutoka misri kinachosikitisha mbumbumbu wataaibika kwenye kombe la kina mama
  4. N

    JamiiForums Tanzania Uzalendo kwanza:Tunaomba 'CAF' wairuhusu Simba iwape Yanga alama mbili ili wafuzu kuingia robo fainali!

    Habari wana jukwaa... Kwa heshima na taadhima tunaliomba shirikisho linalosimamia mpira wa miguu Afrika 'CAF' waturuhusu tuwape utopolo alama mbili Ili wafuzu hatua ya robo fainali. Yanga atakuwa na jumla ya alama kumi ambazo zitaiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simba tupeleke kileleni leo, inshaallah

    Ewe mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, mwenye majina tisini na Tisa, ulisema niombeni nitawapa, sisi tunakuomba utujaalie ushindi leo uwanja wa Taifa dhidi rangi ya mitume. Sisi sio wale waliokukufuru na kudiriki kusema kuwa wana uwezo wa kucheza na shetani au malaika, sisi ni waja wako...
  6. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Tunapolipa team ziikazie Simba. Tunawasadia Simba zaidi kujinoa na Wachezaji wetu kulegea. Saed Ramovic ameongea

    Nliwahi waambia wenzangu kwenye group letu la Wa Kimataifa kuwa sawa tunatoa bakshishi wapinzani wa Tz wawabanie sana Simba. Simba wapate ugumu. Hii inawanoa Simba sana. Simba wanapata ushindi kwa mbinde kila match kwao ngumu. Hapo wanajifunza mbinu mbalimbali. Sisi kuna matches tukicheza...
  7. Mkulima na Mfugaji

    JamiiForums Tanzania Mbona hatumuoni shabiki mwenzetu wa Simba bwana Mchome tukifurahi nae baada ya Yanga kutolewa Ccl na Simba kuingia Robo fainali CCC

    Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
  8. P

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

    Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho barani Africa, Simba SC leo wataingia uwanjani kupambana na CS Constantine kutokea Algeria kwenye mechi ya mwisho ya makundi Mechi hiyo ni muhimu kwa timu zote mbili kwani ndio itakayoamua nani ataongoza kundi lao. CS Constantine wapo nafasi ya...
  9. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Simba ni mwakarobo, je Yanga ni mwaka?

    Simba ni mwakarobo, je yanga ni mwaka.....? Tusaidianeni tuwapatie jina hawa wazee wa four figure na calculator.
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Aliyefikiria kupeleka mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga alifikiria mbali sana

    Huyu jiniasi aliyefikiria kwenda kuweka screen ya mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga ujiniasi wake ni levo za kina Newton na Einstein, tumlinde kwa wivu mkuu sana. Uto tumekuja kwenu kuwaonyesha siyo tu jinsi ya kwenda robo fainali ukiwa na mechi moja mkononi, lakini pia jinsi...
  11. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Fatma Dewji awapelewa Mashabiki wa Simba Mwembe Yanga

    Tajiri ametoa ofa ya kuwapeleka wana simba wote kutazama mechi yao ya mwisho kwenye TV screen kubwa huko Mwembe Yanga; Ingependeza sana angewapeleka Mwembe Simba https://www.youtube.com/watch?v=s3hCZxEz0kE
  12. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Simba wamegeuka kuwa marafiki wa Mzize. Hakika wamemkubali

    I salute you kinsmen. Mjue mimi kama mchambuzi nguli kabisa hapa JF nimekuwa nikishangazwa na tabia ya ndugu zangu mashabiki wa Simba sc.! Wao wana tabia za ajabu sana na zinashangaza sana. Leo hii wamejifanya marafiki wa mzize ..! Sote tunajua mzize amepata ofa kutoka wydad zaidi ya 3 na...
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Klabu ya simba inachofanya ni utapeli serikali iingilie kati wajinga wanaibiwa

    Viongozi wa hii taasisi wameanzisha kampeni ya utapeli ambayo sisi kama raia wema tunaomba serikali yetu tukufu iingilie kati sababu raia masikini wanakamuliwa bila kujitambua yaani wanampa tajiri pesa unaambiwa wanachangisha milion 100 ila je inayozidi inaenda wapi kama sio Kwa matapeli ambao...
  14. 1

    JamiiForums Tanzania Nawasihi mashabiki wa Simba tusiende kabisa uwanjani Jumapili vinginevyo tutaiingiza timu yetu kwenye zahma nyingine, twendeni Mwembe Yanga kuona gemu

    Jumapili mnyama anakwenda kushika nafasi ya kwanza katika kundi, mechi hiyo haitakuwa na mashabiki kwa sababu ambazo tayari zimeshatajwa na viongozi wetu. Nawasihi sana mashabiki wa Simba wote twendeni Mwembe Yanga na wale ambao hamtakuwa na nafasi tubakie nyumbani kumwangalia Elia Mpanzu...
  15. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya usajili mpaka sasa simba wamepata hasara kubwa kuliko klabu zote.

    I salute you kinsmen. Usajiri ule wa dirisha kubwa na hili dogo team mbalimbali zimesajili ikiwemo simba na yanga . Usajili ni patapotea ila kwa kiasi kikubwa usajili ni akili ya viongozi na utashi wao wasiingie chaka. Simba ndiyo team inayoongoza kupata hasara kwa wachezaji iliowaleta msimu...
  16. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Sio tu kulipa faini sisi mashabiki wa Simba tuko tayari kuchangia timu ifanye usajili wa maana na hata kulipa wachezaji mishahara

    Tajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu Hizo kelele na kebehi za mashabiki wa Yanga usizingatie sisi tuko tayari kuichangia timu yetu kipenzi simba ili isonge mbele zaidi ya ilipo sasa Tuko tayari kuipigania timu yetu simba...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Simba SC mpaka muda huu tayari Mashabiki wa Simba SC wameshajichangisha Milioni 32 kati ya Milioni 100 za CAF ili ikalipwe kama Faini

    Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
  18. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wajinga ndio waliwao huu ni uthibitisho kwa Simba, Rage huna baya

    Kuna bakuli linaendelea kwenye Klabu ya Simba ambapo Wajanja ambao ni Viongozi wa Simba wameona sehemu ya kupiga pesa kwa Mashabiki wao ambapo sasa inachangishwa million 100 na hapo Sasa mpaka muda huu imeshapita hicho kiasi ila kuna watu bado wanaendelea kupigwa eti inajiita Klabu kubwa inakosa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba naomba muweke mkeka wa wanachama, mashabiki na viongozi wote waliochangia hadi sasa ili tuanze kusutana wenyewe kwa wenyewe

    Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli lakini kwenye kuchangia timu wako mbaali. Timu yetu imewasilisha hoja ya kuchangia adhabu...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Sipendezwi na wanachama wa Simba wanaotoa taarifa za klabu kabla ya klabu yenyewe

    Hili nitalielezea kwa ufupi sana ila naomba ujumbe uwafikie wahusika na wawajibike. Kuna haka kamtindo na katabia ka baadhi ya wanachama wa Simba, nimewahesabu wawili mpaka sasa ambao wana mtindo wa kujitokeza na kutoa taarifa za klabu ya Simba kabla ya taarifa rasmi kutolewa na klabu yenyewe...
Back
Top Bottom