simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tabora iliyomfunga Yanga ni nyingine na inayocheza na Simba siku zote uwa ni nyingine, zile kelele za GSM huwezi kuzisikia leo!

    Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine huwa wanakuwa Tabora wenyewe Huwezi kusikia kelele za GSM anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango, but wakipigwa wengine utasikia...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tabora timu yao Iko vitani wao wanamshangilia adui uwanja mzima wamevaa nyekundu, nani awaambie Tabora ikishuka Simba hawataiona tena

    Somo la uzalendo limekuwa gumu sana hapa kwetu ,wenzetu huko epl na ulaya yote kwa ujumla timu ya nyumbani inapocheza hata na timu kubwa unayoishabikia uzalendo ni kuvaa jezi ya timu ya nyumbani ,skafu za timu ya nyumbani kuishangilia timu yenu ! Hakuna faida yoyote wakayooipata tabora ikiwa...
  3. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kweli nasema Simba leo akishinda nipigwe

    Sioni....kila nikitizama naona leo Mkia lazima achapwe. Tabora United wamemaliza mchezo na sasa wanaenda tu kukamilisha ratiba mzee saidi mitangano hongera sana. Hujawahi kutuangusha kamwe.ushauri wako umefanyiwa kazi na mkia wamejaa kwenye mfumo. Leo rasmi yanga tunajikita kileleni na...
  4. Vice J

    JamiiForums Tanzania Tabora akiifunga Simba kwa heshima na tahadhima naomba ban ya mwaka

    Kwanza Tabora wachezaji muhimu hakuna kama kawaida yao. Referee ni yule yule Rose Mhando Hawana fitness ya kueleweka Rage yupo kwenye kamati kuu Hata wakibana vipi dk za fidaa ata zifike 150+ patawekwa tuta na watafungwa Ni hayo tuu mods naomba mnitimizie nilichoomba
  5. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Umeliona ilo jimbo lake jipya la huyu bwana simba la masimba dangote 🔥🔥

    Wauni wana namba zao zinaitwa 45 na wengine wana namba zao zinaitwa 32 na wengi atuna namba ila chokoza Nenda kacheki video mjini youtube
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kila la heri Simba katika mchezo wa Leo, na hakika mtashinda

    Hii mtaani tusema "Utaoga lakini mjini huendi" Yaani Simba atashinda dhidi ya shoga aje Tabora United ila ubingwa atausilikizia redioni Yanga mkakatu wetu ni kuwafanya mfurahi kipindi hiki ili muache lawama Kwa uwekezaji wa GSM na pia mmuache Mangungu na Mo wale keki Yao hapo Msimbazi Tuna...
  7. Area 56

    JamiiForums Tanzania FT: Tabora Utd 0-3 Simba SC | NBC PL | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02 February 2025

    Ubaya Ubwela. Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi? Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga...
  8. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League Mwenyeji : Tabora United Mgeni : Simba Sc Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora Muda : Saa 10 Jioni. VIKOSI VYA LEO Game On 3' Tabora 0-0 Simba 6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki 12'...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wa mechi ya Simba vs Tabora ni Wanachama wa Simba

    Huwa tunajiuliza kwanini Tatu Malogo, Amina Kyando hawa mabinti Huwa wanapewa mechi za Simba? Licha ya kufanya makosa ya kujirudia lakini Huwa bodi ya ligi haikomi kuwapa michezo ya Simba Hawa Wanachama watiifu wa Simba sports club Pia Mzee wetu Rage japo aliwapa jina zuri Wanachama wa Simba...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Tabora United vs Simba huwa kuna upangaji matokeo ya wazi

    Imeripotiwa kuwa Tabora United imekosa kiasi cha million 20 ili kulipia vibali vya wachezaji wa kigeni. Lakini tukumbuke Mkuu wa mkoa wa Tabora ametoa ahadi ya million 50 timu hiyo ikiifunga Simba. Hiyo ahadi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora ni zuga tu, kama ana million 50 kwanini asiwape Wakamilishe...
  11. msindohr

    JamiiForums Tanzania Ni yapi maoni yakokuhusu game ijayo ya Simba na Yanga?

    Simba ataendelea kuwa mteja? Kocha mpya wa Yanga naye ataiona Simba?
  12. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Yanga tunasubiria baadhi ya wachezaji waachwe Simba tuwachukue

    Sioni kama tunatafuta mbadala ya hawa group stage failure. Wanasubiri tu waje kushindana na teams kama GOPCO waoneshe ufundi wao. Na Singida big stars, Ihefu, na JKT au DODOMA JIJI. Huku tunategemea Simba ikiacha au ikionesha little interest kwa wachezaji flani ndo tukabebe. Kwani uongo? Makapi...
  13. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Nadhani Simba wana mtu wao kule ndani CAF. Sielewi hizi takwimu, ina maana Eng. Hersi kashindwa kuipandisha Yanga?

    Wadau nmeikuta tena hii sehemu. Ina maana Hersi anashindwa kupenetrate kule ndani kuipandisha Yanga? Yaani Simba wapo Shirikisho. Bado wanapigiwa promo na kukuzwa kila sehemu? Why? Kwa nini?
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka ukipeleka mahakamani suala la uraia wa wachezaji SBS Usisahau Kibu wa Simba

    Wakili Madeleka ametangaza Nia yake kumpeleka pingamiza mahakama ya uraia wa wachezaji 4 wa Singida Black Stars ambao walipewa uraia wa Kimagumashi Nakukumbusha Madeleka huu uhuni watangulizi wake ni Simba na hapa Singida waliiga Kibu anadai alikuwa nchini Toka zamani mwaka 1998, lakini Kibu...
  15. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Nawaza hali ya "Mama Abdul" kwa sasa Baada ya Simba kupata Usukani

    Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nani anamlipa Eddo Kumwembe kubwabwaja dhidi ya Simba Sc?

    Vitu vya kuchambua vipo vingi, kama umeshindwa kuchambua soka nenda kachambue mchele
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said jifunze Ustaarabu na una mengi ya Kujifunza kutoka kwa Viongozi wa Simba SC

    Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya wapinzani watatu watarajiwa wa Simba hatua ya robo fainali CAF Shirikisho

    Katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya CAF Shirikisho, Simba enaenda kukutana na timu mojawapo kati ya hizi tatu, Stellenbosch ya Afrika Kusini, ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Al Masry ya Misri. Hii ni tathmini yangu fupi ya timu hizi tatu na aina ya upinzani ambao Simba iutegemee. AL...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dj wa JamiiForums tafadhali Sisi wana Simba SC tulioko hapa JamiiForums tunakuomba utuwekee ule Wimbo wenye Kiitikio cha Wivuuuuuuu........Wivuuuuuuuu

    Nitafurahi sana kwani kwa Kipindi hiki huo Wimbo unavutia sana Kuuimba hasa ukizingatia anayeona Wivu baada ya Wiki Moja na Nusu ijayo atakuwa Mkoani NBC Premier League halafu yule Mkali wa International Games and Competitions akiwa zake ama Afrika Kusini au Ivory Coast akiwa busy Kuwatafutia...
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Salamu za Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji baada ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

    Pokeeni salamu na shukrani
Back
Top Bottom