Kama ukiwasikiliza wazee wa Simba unaweza kusema ni wazee wa mtaani tu.
Wazee wa Simba wanaongea, kusema na kutenda kama vijana wengine wa simba.
Wazee wa Simba walipaswa kushauri viongozi wa Simba wakatae udhamini wa Azam kwenye ligi maana Azam anayo timu inayoshiriki ligi kuu ya NBC pia...