simba

  1. D

    JamiiForums Tanzania Simba SC wageukia Madhabahu. Wamuomba Mtume Mwamposa "ahudhurie" mchezo wa tarehe 9/04

    Katika ibada ya Leo tarehe 6/04, Mtume Boniphace Mwamposa amekiri kupokea mualiko wa Simba SC kuhudhuria na kuwaombea kuhusu mechi ijayo ya tarehe 9/04/2025. Ameahidi kuhudhuria au kutuma wawakilishi katika mechi hiyo na atawaombea. Hongereni Simba SC kwa kuachana na Matunguli. Shikilieni hapo...
  2. JamiiForums Tanzania Simba akifuzu nipigwe ban ya wiki

    Kiukweli kwa simba hii ikifuzu mimi nipigwe ban ya wiki moja .mimi shuka chini nikotayari. Kwa ban hiyo
  3. JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi tafuta matokeo ya Simba huko Egypt

    TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2 Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi Pia bodi ya ligi imegundua kuwa Al Masry wakifunga magoli ya counter attack, Simba alionewa kwanini afungwe...
  4. JamiiForums Tanzania Simba atapigwa na Al Masry, mechi ameipa pressure kubwa bila sababu

    Hii mechi Simba angetuliza kichwa angeshinda goli nyingi ila ametia pressure nyingi mkiita hamasa hili ndo litawagharimu Nimeshangaa viongozi wakubwa wa Simba wakipuuza mbinu ya Al Masry aliyotumia kuwafunga goli 2 bila Viongozi wa Simba wamesema eti Al Masry ni timu dhaifu. Al Masry awe dhaifu...
  5. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiniambia kuwa unawatia Moyo wana Simba SC Wajaze Uwanja Jumatano sawa, ila Kumfunga Al Masry tarehe 9 sahau sawa?

    Ni bora nichukiwe kwa kusema Ukweli na kutokuwa Mnafiki kuliko Kuwafurahisha Wapumbavu na Washamba wa Mpira.
  6. JamiiForums Tanzania Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
  7. JamiiForums Tanzania Simba ndiyo wakali wa hizi kazi, inafuzu kwenda nusu fainali vizuri tu

    Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la 0-1. Yote kwa yote, yaliyopita si ndwele. Sitaki tena kuangalia kilichotokea kule Misri. Hizi mechi...
  8. JamiiForums Tanzania Wallace Karia na RC wa Tabora, Paul Chacha kuwa wageni maalum kwenye mechi ya Simba SC dhidi ya Al Masry

    Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masry. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar...
  9. JamiiForums Tanzania Kisa cha Emmanuel Mbele kumpiga mwamuzi mpaka kutungiwa wimbo

    Huyo kwenye picha ni Emmanuel Mbele aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Sunderland na baadaye kuitwa klabu ya Simba kwenye miaka 1960s hadi 1970s. Huyu bwana mkubwa aliwahi kumpiga mwamuzi mwaka 1968 wakati Sunderland akipokea kipigo kutoka kwa Yanga magoli 5-0. Jitu moja lina matege yake na mbavu...
  10. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wakapimwe akili

    Najalibu kujiuliza nguvu ipi wanaipata mashabiki ambao timu yao imefungwa mala nne mfululizo na mechi ya tano wameingia mitini kwa kuogopa kipigo lakini bado wanajipa moyo kujifanya wanatamba, wamezidiwa kwa makombe lakini bado wanatamba, ndio timu iliyofungwa magoli mengi zaidi na mechi nyingi...
  11. JamiiForums Tanzania Imeandikwa kuwa Samson alipambana na simba hadi akamuua yule simba.Swali huyo simba jangwani kama parestina alitoka wapi?

    Sina uhakika hapo zamani za kale Palestina waliishi wanyama. Kiasili lile eneo ni jangwa hadi leo yaani ni kame ikiwa pamoja na Israeli. Maandiko yanasema. Walipofika huko kwenye mashamba ya mizabibu, mwanasimba mmoja akatokea akamngurumia Samsoni. Basi, roho ya Mwenyezi-Mungu ikamwingia...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya jana dhidi ya al masry ..Simba waliona mbali kukimbia derby

    Baada ya matokeo ya jana 2-0 dhidi ya al masry ambayo ni sawa na kmc au coastal union,ni dhairi kama wangecheza na yanga wangekutana na kiama/kipigo kitakatifu. Kama ni karata basi mangungu na walace karia walilamba dume kuikimbia yanga
  13. JamiiForums Tanzania Huwa tunawacheka nyumbu wengi wakiteswa na simba mmoja. Leo nchi zote duniani zinateswa na US.

    Binadamu ni wanyama tu kama wanyama wengine. Tuache kuwacheka nyumbu wengi wakifurumushwa na simba mmoja. Historia fupi hadi tumefika hapa: US ameanza kuisumbua dunia mara tu baada ya vita kuu ya pili ya dunia. US ndiye aliibuka walau yupo salama, viwanda vyake vikifanya kazi na mashamba yake...
  14. JamiiForums Tanzania Mwana Simba SC anayeamini kabisa kuwa Simba SC ya Jana Misri itaifunga Al Masry Goli 3 na Kufuzu CAFCCSF awahi sasa Hospitali ya Wendawazimu akatibiwe

    Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo bado wana uhakika wa kupata Goli 1 na hapa namaanisha kuwa kama Simba SC itashinda Goli 3 basi Wao...
  15. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais , nitaanza na kufuta Simba , Yanga , Ccm na baadae kuwafunga wakamalia wote gerezani kwa muda wa mwaka mmoja.

    Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais Nitafuta Kamali Simba Yanga Ccm. Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja . Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Simba imuomba msamaha Aishi Manula na mrudishe Golini.

    Jana kilo kapigwa mbili bila ukitazama magoli yote kachomesha golikipa wao wanayemuona namba moja pon pon camera ambaye kiuwezo hamfikii hata robo Aishi Manula. Magoli yote yale huwezi kumfunga Manula. Wanachotaka kufanya Simba ni kumuomba msamaha Manula na kumrudishia namba moja kwenye first...
  17. JamiiForums Tanzania Simba forwdline and teamwork

    Nimewahi kusema mechi za nyuma , SIMBA wanacheza vizuri sana kuanzia nyuma hadi katikati.... Inachokosekana uwezo wao wa kuvuruga defence pinzani. Magoli mengi yanatokana na krosi za full back zao au penalti....na sio ubunifu wa kati. Utaina mechi ya AL MASRY ambayo walijaa nyuma baada ya goal...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba ateue mchezaji (Captain) mwenye hamasa na timu na angalau anayejua lugha ya kingereza kuongea na mwamuzi

    Ubaya Ubaya! Katika mechi ya dhidi ya Al Masry, Simba imefanyiwa vitendo vya dhulma kwa kunyimwa penalty wakati Ateba amefanyiwa faulo na golikipa wa Al Masry. Tegemeo langu lilikuwa ni kumuona angalau kapteni shabalala akihamasisha wachezaji wenzake wamlazimishe refa kwenda kuangalia kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Wilson Oruma awatia gundu Simba SC huko Misri

    Mimi nilijua tokea awali kuwa makolo hawawezi kutoboa katika ardhi ya firaun , hasa baada ya kumlipia tiketi ya ndege pamoja na malazi, mchambuzi mwenye njaa na makasiriko ya Yanga sc , ndugu wilson oruma a.k.a ngiri boy
  20. JamiiForums Tanzania Simba tusione aibu kujifunza kwa Yanga jinsi ya kuvuka quarter-finals kwa ushindi home/away

    Young africans sc 2 - 0 Marumo gallants Marumo gallants 1 - 2 Young africans Vinginevyo laana ya Robo fainali haitavunjika. Tusione aibu kujifunza kwa waliotangulia.Wenzetu ni wazoefu zaidi katika hii michuano.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…