Mpira kwangu ni burudani tena haswa timu hizi mbili zikiwa zinacheza Yanga(chama langu), au simba(watani).
Nichukue nafasi hii kuwapa pole wanasimba wote kwa kupoteza dhidi ya Berkane, kusema kweli mpira wa leo ulinipa kimuhemuhe kwani laiti watani wangu wangeshinda hakika Berkane wangepaa...