simba

  1. F

    Rais wa CAF ni Mzulu Patrice Motsepe kutoka Afrika Kusini. Simba pulizeni dawa muone Wazulu walivyo wabaya

    Nawakumbusha tu simba.. Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona.... Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
  2. Tukimaliza Kuicheka Simba SC Kufungwa na Kaizer Chiefs FC tusisahau kuwa nasi huku VPL tunaharibu na Azam FC hao wanakuja kutupita

    Kisaikolojia Kumcheka Adui yako Mkubwa kwa Kuanguka ( Kufeli ) Kwake huwa ni Jambo la Kawaida ila halijawahi kuwa Suluhisho la kumaliza Matatizo yako ya kudumu uliyonayo. Tunawacheka Simba SC kwa Kipigo cha Kufungwa Magoli Manne ( 4 ) na Kaizer Chiefs FC juzi ila tusijisahaulishe kuwa nasi huku...
  3. J

    Simba 5 Mufulira Wonders 0

    Tunakumbushana tu Lolote laweza kutokea Simba vs Kaizer Chiefs. Nawatakia Dominica yenye baraka!
  4. N

    Story ya kuuza mechi ya Simba Cairo na mkasa wa Shafii Dauda. Zimbwe jr, Kapombe vs Kaizer Chiefs

    2003 simba sc ilitikisa afrika nzima kwa kuwatoa mabingwa watetezi zamaleki waliokuwa kama weeks mbili nyuma wametoka kutoa draw na real madrid ya kina zidane,gutti kwenye club bingwa ya dunia Marahemu james siang'a mkenya aliyekuwa kocha wa simba anasema kuna mtanzania mwenye asili ya kiasia...
  5. M

    Bora nichukiwe na Wana Simba SC ila ukweli huu Mchungu uliochangia Kipigo Kitakatifu cha Mzulu na Mkaburu Kaizer Chiefs FC niuseme

    Kama Mwamamichezo Halisi ( japo sijifichi ni mwana Simba SC ) nianze kwa Kuwapongeza Kaizer Chiefs FC kwa Ushindi wa Goli Nne na niwape pia Pole Simba SC kwa Kufungwa Mchezo huu wa Kwanza leo. Zifuatazo ni sababu zangu Binafsi za Kiuchambuzi Mimi Krav Maga kwanini Simba SC tumefungwa na Kaizer...
  6. Nani mbabe (Ep 2): African Lion vs Silverback Gorila

    Katika muendelezo wa wababe katika viumbe leo hii tunawakutanisha wafalme wakali wawili kutoka barani Afrika. Je, ni nani ana advantages kubwa kumshinda mwenzake? The king of the jungle or the dangerous Gollila nani atashinda pambano hili? Simba na Sokwe/gollila karibu wote wanakuwa na uzito...
  7. FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

    Timu mbili kutoka Nchi marafiki, Afrika Kusini na Tanzania zinakutana leo Jumamosi ya Mei 15, 2021 kwenye uwanja wa kwanza Afrika kuchezwa fainali za Kombe la Dunia, ambapo Kaizer Chiefs wanakabiliana na Simba SC katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika, mchezo...
  8. M

    Kila la heri kwa Simba Sports Club: Visit Tanzania.

    Leo timu yetu ya Tanzania itapeperusha bendera ya Tanzania huko Afrika ya kusini na dunia yote itatazama. Tutumie uzi huu kuitakia ushindi Simba dhidi ya Kaizer chiefs. Naitakia Simba ushindi wa kishindo!! Karibuni.
  9. Mechi ya Kaizer Vs Simba Sc kuchezwa bila mashabiki

    Kaizer Chiefs vs Simba match on TV but NOT every fan will get to watch it! Kaizer Chiefs fans will get to watch their team live on the South African Television for the first time in the CAF Champions League this season. Amakhosi take on Simba SC of Tanzania in the first leg of Africa’s premier...
  10. K

    Mliompotosha tuambieni Ramadhani Singano yuko wapi

    Kuna mchambuzi mmoja aliyejaribu kuleta presha na kutengeneza majungu akiamini kwa njia hiyo Simba itafanya lolote alitakalo. Mchambuzi huyo aliyepachikwa jina la "taka taka" alihusika sana kumpotosha huyo kijana na kupelekea hadi hivi ninavyoandika hapa, huyo kijana hajulikani alipo na sina...
  11. M

    Naona wachawi wanaoitakia mabaya Simba wameshakata tamaa

    Mpaka muda huu kina generalist\all rounder na chizi maarifa wangekuwa wameshatupia nyuzi za kuiponda Simba na kuitabiria kushindwa! Lakini naona kimyaaaa! Hii ni dalili kuwa hatimaye utopolo wamekubali matokeo kuwa Simba si saizi yao! Naitakia Simba ushindi mnono huko kwenye nchi ya mzee Madiba!
  12. J

    Serikali yaamuru Wananchi warudishiwe fedha zao walizolipa kuwaona Simba na Yanga wakicheza

    Serikali ya CCM kupitia Waziri wa Habari, Mhe. Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia Wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.
  13. K

    Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  14. H

    Mchezo wa Simba na Yanga kuchezwa tena, Mashabiki kurudishiwa tiketi zao

    Taarifa mpya ya maelekezo toka serikali
  15. Kwanini nakubaliana na Msemaji wa Simba kuwaita baadhi ya Wachambuzi wa Mpira na Watangazaji wa Michezo Takataka?

    1. Wengi wao wako katika 'payrol' ya Yanga. 2. Wengi wao ni Wanafiki sana. 3. Wengi wao wana Chuki na Simba. 4. Wengi wao wana Wivu na Mafanikio ya Simba. 5. Wengi wao wana Upendeleo katika Uchambuzi. 6. Wengi wao wanatumika Kuichafua Simba. 7. Wengi wao wana Husuda binafsi na Mwekezaji Mo...
  16. Mechi ya Simba na Yanga iliaihirishwa na Mzee Ruksa?

    Viongozi wetu wakuu nchini ni wapenzi wa waziwazi wa simba na yanga. Mfano, Mheshimiwa Makamu wa Rais na waziri wa fedha ni shabiki lialia wa Yanga, Waziri Mkuu na Spika ni mashabiki lialia wa simba. Viongozi hawa wote walikuwa kwenye birthday na uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi siku na...
  17. Kurudishwa pesa Simba vs Yanga ni uongo wa hali ya juu na haiwezakani

    Baada ya sintofahamu iliotokea siku ya jumamosi tarehe 8 palipo kua na mchezo mkubwa wa mpira wa miguu Simba vs Yanga, katika nchi ya Tanzania na Africa kwa ujumla baada ya mechi iyo kuota mbawa pasipo kua na sababu maalumu. Kichekesho kikubwa ni hiki kuludisha pesa kwa waliokata tiketi ivi huu...
  18. K

    Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa. ======== Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
  19. Rais Samia, fanya haya katika suala hili la kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga

    Mama Samia mimi bado nakupenda na nataka ufanikiwe katika miaka yako hii minne iliyobaki, na kama ukifanya vizuri njia nyeupe kwako 2025 - 2030. Ni kweli kwamba kuhairishwa muda kwa mechi ya Simba na Yanga kwa kisingizio cha ajabu kabisa kumetia doa urais wako, tena mapema sana katika awamu...
  20. Waziri Mkuu aitaka Wizara kutoa taarifa haraka kuhusu Mechi ya Simba na Yanga pamoja na Viingilio vya Mashabiki

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoa taarifa haraka sana kwa Watanzania juu ya tarehe ya kuchezwa kwa mchezo huo na pia ieleze utaratibu kuhusu hatima ya waliolipa viingilio ili kushuhudia mchezo huo. Pia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasihi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…