simba

  1. FIFA Imeiamuru Simba SC Kumlipa fidia ya Milioni 110 Mchezaji wa Congo Doxa Gikanji

    Mchezaji huyo alisajiliwa dirisha dogo January 2021 lakini kutokana na SImba SC kushindwa kukamilisha Usajili wake katika ngazi ya CAF...Makolo FC wakaamua kunvunjia mkataba mchezaji huyo baada ya kuona asingeweza kuwasaidia kwenye michuano ya CAF. Huvyo Doxa akabaki akiwa hana timu wakati huo...
  2. N

    Sifa hizi za kocha mpya wa klabu ya Simba, zina msaada wowote kwa timu?

    Imekuwa kila kukicha tunaelezwa uzoefu wa mwalimu mpya wa klabu ya Simba kwamba ametokea katika kufundisha timu kubwa na kwamba anafahamiana na walimu wengi na wakubwa katika mataifa ya nje. Swali langu ni je; sifa na umaarufu wa mwalimu huyo unamchango gani kwa klabu ya Simba?
  3. B

    Kesi ya Mbowe: Tathmini na Mwenendo

    Clip inawaonesha washitakiwa mahakamani buheri wa afya na nyuso za bashasha: Haiyumkiniki faulo zote ni dhahiri zaidi kwao kama watendwa. Yawezekana psychologically wako set wanajua nini watesi wao wamepanga. Mashahidi Kingai, Anita, Mahita na sasa Jumanne wote wanaongelea ukamataji tu...
  4. Mvimbiano wa Nyati kwa Simba

    Kwa wapenzi wa masuala ya wanyama na uhifadhi. Moja ya kanuni kuu ya Simba katika kumla Nyati, anahitaji awe pekee yake. Wakiwa kundi na wakavimba kwa umoja wao, simba hamli nyati. Wanaishia kurushiana miguu tu. Kwenye video hii, yaelezwa msuguano wa simba na Nyati ulitumia takribani dakika 30...
  5. Admin wa Social Media za Simba SC hastahili, atafutwe mwingine

    Huyu Admin amekuwa anapost kwenye ile page ya Simba SC kama vile ni page ya familia yake. Anaweza kupost kwa siku zaidi ya mara tano na mara nyigi anapost mipasho na kejeli zisizo na maana ikizingatia ile page ya Simba na timu kubwa nchini. Ukienda timu za wenzetu huwezi kuona huu upuuzi. Juzi...
  6. Hizi ni Sababu 5 za Kwanini Simba SC Hawajamuwekea Kipengele Cha Malengo Coach Pablo Franco

    Tofauti na Makocha waliopita kama vile Didier Gomes na Patrick Aussems. Ambaye alipofika tu alikutana na target za kwenye klabu ambazo ilikuwa ni lazima wazifikishe timu kwenye hatua fulani ya mafanikio kama vile Ubingwa wa Ligi Kuu & Nafasi za juu za CAFCL. Huyu Pablo Franco hajawekewa...
  7. Tatizo la Simba ya sasa ni kocha mzuri au wachezaji wazuri?

    Sioni namna Pablo kocha mgeni Simba atakavyoweza kupata matokeo mazuri kwa wachezaji waliopo Simba. Kocha ni wa kawaida na wachezaji ni wa kawaida pia. Pablo angekuwa kocha mzuri sana angeshanyakuliwaa na timu za Barcelona, Man U, au Tottenham zilizokuwa zinatafuta makocha wazuri. Ni kocha wa...
  8. CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

    Soka la Tanzania linakuwa kwa kasi sana. Inabidi sasa mambo ya ndumba na kutegemea wagaga wakienyeji tuachane nayo. Hii hapa ni website ya kocha wetu mpya wa Simba https://en.pablofrancomartin.com/ Wenzetu ulaya kila kitu kinawekwa wazi. CV yake hii hapa chini kwa ufupi tu
  9. M

    Mshahara wa Kocha mpya Simba SC Pablo Franco unalipa Mshahara wa Nabi, Kazi, Zahera, Manara na Bumbuli huku Chenji ikibaki pia

    Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari...
  10. M

    Wana Simba SC mnaoweweseka na Tetesi za Clatous Chama kwenda Yanga SC mmeanza Kuijua na Kuifuatilia Simba SC lini? Mnaniangusha

    Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu. Nimeshangaa na Kushangazwa mno kuona wana Simba SC leo wakiwa wameshtushwa na wengine hata Kuogopa baada ya Tetesi za...
  11. Mtazamo: Simba SC Wamekosea Kuajiri Kocha Asiye na Uzoefu wa Soka la Afrika.

    Sote tumeona aina ya Kocha ambaye ameajiriwa na Simba SC. Kocha ambaye amechukua nafasi ya Didier Gomes. Tukiamua kutumia jicho la tatu la kiuchambuzi kila anakubariana na mimi kuwa Simba SC inaenda kupitia changamoto nyingine ya kibahati nasibu. Uzoefu:- Yes anauzoefu wa kufundisha katika...
  12. Simba inaendeshwa kwa hasara kuliko Utopolo

    Napingana na Engineer kuwa Utopolo inaendeshwa kwa hasara kwani Mo Dewji aliposema Simba inaendeshwa kwa hasara walimtukana wakiongozwa na Msukule wao .. Yanga pamoja na waandishi Mazuzu walimsema vibaya Sana Mo... kwamba anakula mpunga kijanjajanja pale Simba! Hivyo Engineer sikubaliani nawewe...
  13. Kwanini yanga wanaumia sana simba isipocheza vizuri!?

    Nimefuatilia kwenye mitandao ya kijamii, kila mtandao nakutana na mwanayanga aka UTO akilalamika kwanini simba mpaka sasa haiongozi ligi. Nimejaribu kifuatilia masuala ya kisaikolojia na mental illness nikagundua, mashabiki wengi wa yanga wanaipenda sana simba. Simba imekuwa national club...
  14. Simba kumtambulisha kocha wake saa mbili usiku huu

    Kupitia ukurasa wa klabu ya Simba kwenye mtandao wa Twitter, wametangaza kuwa usiku wa leo saa mbili watamtangaza kocha mpya! Hivyo mashabiki wakae mkao wa kula!! Unahisi kocha wa Simba atatoka nchi gani?
  15. Ukweli mchungu: Mwaka jana (2020), Raundi ya 5 Simba ilikuwa ikiongoza Ligi

    Pamoja na kwamba Yanga ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni msimu uliopita lakini ligi ilipofikia Round ya 5 Simba ndiyo iliyo kuwa ikiongoza ligi wakiwa wote wanalinga point lakini Simba akiwa juu kwa tofauti ya magoli FACT1 Mwaka jana SIMBA alikuwa na magoli mengi ya kufunga mara mbili...
  16. M

    Baada ya Mkwara wangu Kuzaa Matunda na leo Simba SC imeshinda japo kwa taabu naomba Kikosi hiki ndiyo kiwe kinaanza mwanzo mwisho tafadhali

    FIRST ELEVEN YA USHINDI TUPU 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Zimbwe 4. Kennedy Wilson 5. Joash Onyango 6. Jonas Mkude Deco de Souza 7. Duncan Nyoni 8. Rally Bwalya 9. Meddie Kagere Mkombozi 10. Ibrahim Ajib Fundi wa Mpira 11. Kibu Denis Mpambanaji SUBSTITUTES WA USHINDI...
  17. M

    Simba mtateseka sana msimu huu kama staili yenyewe ndo hii

    Ni ajabu na kweli timu iliyokuwa inajinasibu kuwa na kikosi bora imebaki kutegemea mbeleko ya kadi nyekundu na penalty ili kupata matokeo,,,na licha ya kupata matokeo wanatoa machozi jasho na damu kupata angalau kagoli kamoja mbele ya timu inayocheza pungufu kwa muda mrefu. Kama mpinzani akiwa...
  18. Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

    NBC Premier League kuendelea leo. Mabingwa watetezi Simba SC wakitoka kupata sare mchezo uliopita, leo saa 1:00 usiku kuwaalika Namungo FC ambao nao pia walitoka sare mchezo wao uliopita. Je, leo nani kuondoka na alama 3? Kwa upande wa Simba, Mkude Anarejea katika nafasi ya kiungo baada ya kuwa...
  19. M

    Simba vs Namungo, unadhani mechi ya leo mnyama atapata penalt dk ya ngapi?

    Mimi nishaweka sawa mkeka wangu mnyama Kama kawaida yake ataendelea alipoishia penalt ya 4 leo inapatikana ikishindikana kuna mtu anakula umeme tunashindaa bila jasho, ivyo vitu ndo mwokozi wetu kwa sasa mtatusameh kwakweli tunapozidiwa uwa tunakula mpaka Majani🤣🤣🤣🤣
  20. M

    Wachezaji wa Simba SC leo mkitoka sare au mkifungwa na Namungo FC kwa Mkapa tafuteni vichochoro vya kukimbilia tumeshachoka kuwavumilia

    Wengine kwa Mpira wenu Mbovu na Matokeo mabaya sasa tumeshakonda na tukiona Soka zuri, la Kitabuni, linalovutia la Yanga SC na Ushindi wao mfululizo ndiyo Hasira zinatupanda na Machungu kutuzidia Mioyoni na Rohoni. Wachezaji wa Simba SC ukomo Wetu wa Kuwavumilia umeshafika Kikomo na leo Ole...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…