Simba tuvaeni Nembo za Gsm mapinduzi cup ila NBC pl hapana

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Epl Arsenal anadhaminiwa na fly Emirates ambao kwa kiwango kikubwa walishiriki kwenye management ya Arsenal hadi kuja na plan ya kujenga uwanja wa Emirates
Lakini kwa saivi Fly Emirates wamekuja na Emirates FA cup ambapo timu zote shiriki zimekubali kuvaa hivyo ikiwemo man City inayomilikiwa na Sheikh Mansur anaetumia shirika lake la ndege la Ethad airways kuidhamini man City

Hivyo sijaona sababu ya Simba kususia Mapinduzi cup ila kwa NBC kanuni zipo wazi mdhamini mwenza anatakiwa akae kwenye mabango ya uwanjani na sio kwenye jezi

Ila kesho uto anakufa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom