Hawa jamaa mpira wanaucheza. Wana aina yao ya mpira ambayo inabaki kuwa yao. Naona toka amekuja huyu coach kama wameanza kukaa sawa. Simba wana cheza mpira mzuri wa kuvutia.
Lakini naamini sisi Yanga tutachukua Ubingwa kwa hali na mali. Hilo halina ubishi. Huyu Sakho na Kanoute ni maingizo bora...